analopoka lopoka tu au wanaropoka ropoka tu. Mother tongue Mwanza.Nimeisoma na kuilewa hiyo thread na video iliyoambatishwa ni kweli sababu ya ndege kusukumwa imekaa kitaalaamu zaidi ili kulinda mitambo ya ndege, Ila wabongo wasioelewa wanalopoka tu
Hiyo katika maswala ya Anga Kitaalamu inaitwa "Aviation Goat lifting
Sent using Jamii Forums mobile app
JiongezeYani hili swala ndo limekua kubwa hivi,,,
mbovu kweli nn,,mbona nguvu kubwa inatumika ,,,!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Mbona ni kawaida sana. Jee ground handling companies za zanzibar zina pushback?????Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Uwanja wa ndege Zanzibar hauna vitendea kazi, pia sio jambo la ajabu hata huko zinakotengenezwa, huwa zinarudishwa nyuma kwa mikono, sio kila kitu kukandya tu, tafuteni taarifa nyingi za sahihi mpate uelewa mpana wa mambo.Una akili timamu kweli??!Sisi tunachopinga na kukishangaa siyo kitendo cha ndege kusukumwa kurudi nyuma bali ni kitendo cha ndege kusukumwa kwa mikono karne ya 21!!
Uwanja wa ndege Zanzibar hauna vitendea kazi, pia sio jambo la ajabu hata huko zinakotengenezwa, huwa zinarudishwa nyuma kwa mikono, sio kila kitu kukandya tu, tafuteni taarifa nyingi za sahihi mpate uelewa mpana wa mambo.
Akili ya kawaida tu, kama vingewepo hao jamaa wasingeisukuma hiyo ndege kwa mikono."Uwanja wa ndege wa Zanzibar hauna vitendea kazi"!.....Kadanganye watoto wadogo!! View attachment 1026296
Nimekujibu kupitia hii katuni,hujaelewa au?!Akili ya kawaida tu, kama vingewepo hao jamaa wasingeisukuma hiyo ndege kwa mikono.
Hata ujitetee vp ndio kishanuka tenaMkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.
Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.
TUJIFUNZE.
Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.
Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-
Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.
Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.
Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?
Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.
Kuna mlolongo wa sababu:-
√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.
å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.
å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.
å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.
Fuata link link hii kujifunza zaidi..
https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway
Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.
Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.
Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Hebu tuweke kando kwanza makosa ya kisarufi na matumizi ya r na l.... Mkurugenzi kasema pilot aliingia kwenye runway ambayo haitoki.. Hili laweza kuwa jambo jipya na geni kabisa kwenye tasnia ya viwanja vya ndege kwakuwa rubani wa ndege huongozwa pa kwenda hajiendei tu.... Sasa ni nani alimuongoza kwenda kwenye njia isiyotoka?Big up Mkurugenzi. Wale walopokaji wajifunze kuwa na subra. Ni jibu very professional aibu kwa wale wanaolopokalopoka.