Sababu ya ndege ya ATCL kusukumwa hii hapa..

Sababu ya ndege ya ATCL kusukumwa hii hapa..

Ndege ya ATCL ni manual, iligoma kuwakaa, wakajaribu kuishtua kwa mbele kwa giaa namba mbili, ikagoma kabisaaaaaaaaaa.
Ndipo wakairudisha nyuma ili iwashwe kwa rivasi
Tatizo unatuonyesha kabisa ni kwa jinsi una experience ya matrecta mabovu. Ndege haziko hivyo best.
 
Na vipi kuhusu kupakiza mbuzi Mkurugezi kasemaje?
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha na watu atajaziwa.
1550522187641.png

Mzungu aaah, Poa tu!
 
Haya ni mahindi kitaalam kwa lugha ya wenzetu maize.
 
Mwalimu kashasha unazungumziaje ndege zetu kusukumwa na mikono?

Mwl kashasha: hii kwa kitaalam inaitwa manual flyover pushback

Kwako jese.

Sent using Sukhoi Su-57
 
Na vipi kuhusu kupakiza mbuzi Mkurugezi kasemaje?

Hata Emirates,Flydubai,Oman Air,Qatar Airways nk zote hizo zinachukuwa nyama ya mbuzi kama Emirates wao wanchukuwa karibu tone 11 kwa flight moja..kwahiyo ni kawaida maana Air Tanzania ni commercial Airline ambayo ina leseni ya kubeba abiria pamoja cargo
 
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.

Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
 
Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.

Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.

TUJIFUNZE.

Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.

Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-

Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.

Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.

Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?

Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.

Kuna mlolongo wa sababu:-

√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.

å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.

å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.

å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.

å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.

Fuata link link hii kujifunza zaidi..

https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway

Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.

Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.

Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.

Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Hakika mitandao ina nguvu sana !
 
Pilot aliingiaje kwenye runway iliyofunga in the first place? Jee hakuna alama (temporary signs) kuonesha hilo? Jee hakuna mawasiliano na control tower ilnayomwambia to take off kwenye runway number ngapi? Ni uzembe wa kiwango cha Phd. Huyu pilot anaweza kutuwa baharini halafu museme kwa lugha ya aviation inaitwa aviation equatic landing!

Mambo ya aviation si ya kuyachukulia mzaha kama mulivozowea kutufanyia kila kukicha. Its time you started to be serious and stop playing with people lives!
 
Nenda huko "Eti,Aviation pushback"

Issue iliyopo Ni ndege kusukumwa na Watu

#Misukule ya Lumumba katika ubora wenu
 
Back
Top Bottom