Sababu ya ndege ya ATCL kusukumwa hii hapa..

Sababu ya ndege ya ATCL kusukumwa hii hapa..

Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.

Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.

Jitahidini next time kwenye hiyo faida mnunue japo tractor la kusukumia ama kuvutia bombadia... Haipendezi faida kuhudumia wengine na kwingineko wakati msababishaji anateseka kwa upungufu wa vitendea kazi

Jr[emoji769]
 
Nashukuru kwa kuelewa hili. ila Nyama ya Mbuzi inapakiwa kama mizigo mingine, Na inafanyka sio Air Tanzania peke yake, hata mashirika mengine.
Yakupasa ushukuru kwa kutolewa ujinga. ... ukiendelea tena kubisha tutajua kwamba unakipaji kama vipaji vingne cc. Mwlm J.K nyerere
Na vipi kuhusu kupakiza mbuzi Mkurugezi kasemaje?
 
Pilot aliingiaje kwenye runway iliyofunga in the first place? Jee hakuna alama (temporary signs) kuonesha hilo? Jee hakuna mawasiliano na control tower ilnayomwambia to take off kwenye runway number ngapi? Ni uzembe wa kiwango cha Phd. Huyu pilot anaweza kutuwa baharini halafu museme kwa lugha ya aviation inaitwa aviation equatic landing!

Mambo ya aviation si ya kuyachukulia mzaha kama mulivozowea kutufanyia kila kukicha. Its time you started to be serious and stop playing with people lives!
You made my day... Ingekuwa gari sawa... Lakini ndege ambayo pilot anaweza kuuona uwanja wote toka juu... [emoji119][emoji119][emoji119].. Na hao wa control tower walikuwa wapi? Alama za kuongozea ndege je? Lingetokea janga watu wangetumbuliwa na kuunda tume kumbe kuna mambo kibao hayajakaa sawa

Jr[emoji769]
 
Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.

Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Mnazungumza kuhusu matokeo tu,na kujifanya hamjui kuhusu mizizi ya mambo haya. Jiwe ndiyo chanzo cha watu wake kuombea mabaya. Unasema tuendelee kupingana kwa itikadi,umesahau kuwa haya yamekatazwa?Kuna watu wametekwa,na wengine kupigwa risasi unadhani ndugu zao wataiombea mazuri serikali
 
Mm sishangai kile kitendo cha kusukumwa kwa ndege mm nawashangaa wanaokuja kutetea kusumwa kwa ndege kuwa ni jambo la kawaida
 
Magufuli nunua hii kitu, uvunje ukimya...
Aeroflot_Tupolev_Tu-154M_RA-85643_Mishin-1.jpg
 
Mkurugenzi wa Air Tanzania amesema kuwa ni kweli kuwa ndege yetu imesukumwa kurudi nyuma katika uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya Rubani kuingia kwenye Runway iliyokuwa imefungwa.

Uwanja wa Zanzibar hauna magari maalum ya kusukuma ndege kurudi nyuma.

TUJIFUNZE.

Kitendo cha kusukuma ndege kurudi nyuma ni cha kawaida kabisa pindi inapolazimu kufanywa hivyo.

Kitendo hiki huitwa "Aviation Pushback" kitaalamu na kwa lugha ya wenzetu hutafsiriwa hivi:-

Aviation, pushback is an airport procedure during which an aircraft is pushed backwards away from an airport gate by external power.

Pushbacks are carried out by special, low-profile vehicles called pushback tractors or tugs.

Kwa nini husukumwa kwa kutumia External power?

Ndege husukumwa Kurudi nyuma kwa kutumia nguvu toka njee kuepuka kuleta madhara kwenye engine. Si kwanba ndege haiwezi kurudi nyuma yenyewe lah Hasha Ila kitaalamu ukitumia gia kuirudisha nyuma huleta madhara makubwa kwenye engine.

Kuna mlolongo wa sababu:-

√. Ndege hurudishwa nyuma kwa External power kuepuka makelele ya engine.

å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa sababu Pilot anakuwa haujui uwanja vizuri kama anavyoujua dereva wa Tugs au Tractor.

å Hurudishwa nyuma kwa kutumia External power kwa Sababu dereva wa Tugs anauwezo wa kuona mazingira yanayozunguka ndege si rahisi kwa rubani kuona nyuma.

å Ni njia nzuri ya kubana matumizi ya mafuta.

å Ni njia nzuri ya kuzuia uharibifu wa engine kwa kuwa kitendo cha kurudisha nyuma kwa kutumia gia engine hufyonza mchanga.

Fuata link link hii kujifunza zaidi..

https://www.quora.com/Why-do-flight...-from-the-gate-then-goes-out-on-to-the-runway

Ndege zetu ni nzima kabisa na Mkurugenzi kathibitisha hilo.

Tuwe mabalozi wazuri wa Mali zetu wenyewe. Tusiwajengee hofu abiria wanaotumia shirika letu la ndege.

Faida inayopatikana ATCL ndio inayotulipa mishahara sisi wafanyakazi, ndio inayonunua madawa, ndiyo inayo tengeneza mabarabara na ndiyo inatumika kutoa Elimu Bure.

Tunaweza kuendelea kupingana kwa itikadi Ila si kuhujumu maendeleo yetu.
Nimekuelewa Sana ndugu yangu na komredi ktk maendeleo
 
Back
Top Bottom