matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,586
- 15,370
1: Mungu sio masikini. Siku anaumba mtu alimpa vitu vingi akamzuia kimoja. Hii inamaanisha mtu akiwa na katika uwepo wa Mungu atakuwa na vingi na kupungukiwa vichache.
2: Umasikini ni fikra. Mkristo anayejitambua fikra zake ni zakitajiri hata kama hana 100. Maana kuwa mkristo ni unarithi vitu vyote anavyomiliki Mungu. Ni vyako. Kila kitu ni chako.
1 Wakorintho 3:22
kwamba ni Paulo, au Apolo, au Kefa; au dunia, au uzima, au mauti; au vile vilivyopo sasa, au vile vitakavyokuwapo; vyote ni vyenu;
3: Mungu ni tajiri, ndio maana alitufundisha ufalme wake uje haoa duniani kama huko mbinguni.
Kama mbinguni hakuna njaa, umasikini, magonjwa, shida na wewe unapoomba hii sala itumie kukataa hivi vitu, ili ufalme wake halisi uje moyoni.
4: Mungu ni mfalme, na ubora wa serikali ya ufalme ni ustawi wa raia wake. Yaani ufalme tajiri unapimwa kwa utajiri wa raia wake. Ukiwa raia wa serikali ya Mungu alafu ukawa unakumbatia umasikini, uchovu na unyonge unamuabisha mfalme. Na utajiondoa kwenye ufalme na kuingia katika ufalme wa kale la adui ka Mungu kaibirisi.
Mwisho,
Anaweza akajupitisha kwenye njia flani ya kuishiwa ili akupe darsa kidogo ila wewe sio masikini na kupaswi kukiri hivyo. Yesu alikuwa tajiri mkubwa aliyejifanya kama hana kitu kabisa lakini hakuwahi kukiri umasikini wake maana alijijiua. Hii ndio inapaswa kuwa mentality ya kila anayemfuata Mungu.
Kama ni masikini na unakiri umasikini na unafikra za kichovu za kimasikini wewe itakuwa ni vigumu kuingia mbinguni. Mbinguni wataingia ambao wanaamini ni watoto wa Mungu tajiri na wameumbwa kwa mfano wa Mungu tajiri wa kila kitu, na kila kitu cha baba yao ni chao.
Kwa ufupi
Mungu no tajiri na watoto wake ni matajiri.
Kashetani ni Kamasikini ka kutupwa na watoto wake ni masikini, weziwezi.
Anza Kumuabudu Mungu mfalme tajiri usiingie mbonguni na akili za kimasikini usije ukamuibia baba vitu huko. Jizoeze plenty mentality tangu ukiwa huku duniani.