BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
hahahahah lol! Nyama ya kwenye sambusa please!!!! :yo::yo::yo:na orange juice iliyochanganywa na maji ya ukwaju ya bariiiiiidi!!!
kwa hiyo siye tulioangukia kinyume nyume ndo hatupendwi!
hii iisue iko so subjective bana!
kila mtu na mapendezeo yake!
hakuna formula bana!
nyama hata kweye sambusa zipo!