Sababu kuu ya Wanaume kupenda makalio

Sababu kuu ya Wanaume kupenda makalio

Status
Not open for further replies.
Kweli wanaJF, wanaume wengi kwa sasa wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, ukipigwa pasi au ukiteleza chooni/bafuni ujui soko lako ni lamatatizo!
 
Wana bonge la joto kunako kifaa ukizama tu kama siyo mjuzi wadhungu waaaaaaaaa.............!:rockon:
kwa hiyo sisi tuliopigwa pasi wanaume zetu hawaenjoy kabisa.......?
 
Kweli wanaJF, wanaume wengi kwa sasa wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, ukipigwa pasi au ukiteleza chooni/bafuni ujui soko lako ni lamatatizo!
kila mtu ana preference zake..........na soko linategemea tabia yako otherwise hata ukiwa na makalio makubwa utaishia kuwa kiburudisho kwa muda kwa wanaume kama tabia zako hazifai.......
 
Wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa au wanataman wenye makalia makubwa? Me nadhan tutofautishe kupenda na kutamani

Binafsi what i know kwa watu wanaonizunguka najua wanatamani wanawake hao kingono zaid, yan akipita mwanamke mwenye mkia mrefu huwa wanawaza kumvua tu nguo na kuona mzgo ndan nothing else na akishafunua ndo bas tena mchezo umeisha no love!
 
kwa hiyo siye tulioangukia kinyume nyume ndo hatupendwi!
hii iisue iko so subjective bana!
kila mtu na mapendezeo yake!
hakuna formula bana!
nyama hata kweye sambusa zipo!
 
kwa hiyo sisi tuliopigwa pasi wanaume zetu hawaenjoy kabisa.......?
na mi ndo nashanga!
kuinjoy ni mada pana sana!it got nothing to do with makalio makubwa wala madogo!
 
kwa hiyo siye tulioangukia kinyume nyume ndo hatupendwi!
hii iisue iko so subjective bana!
kila mtu na mapendezeo yake!
hakuna formula bana!
nyama hata kweye sambusa zipo!

Hahahahaha. Mtt ww mafix sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom