Sababu kuu ya Wanaume kupenda makalio

Sababu kuu ya Wanaume kupenda makalio

Status
Not open for further replies.
kumbe yuko msibani(mpe pole zangu)
...back on our topic mume wa mke bonge anaibwa sababu anayeiba
na yeye anataka awe bonge

Kwahiyo wewe unaona kuwa bonge ni deal?
 
Makalio makubwa bila "kushughulika" hamna kitu! Makalio ni "added advantage" tu ktk sifa mhm za mwanamke hususani kujishughulisha kwenye 'jando na unyago'.
 
kwa hiyo siye tulioangukia kinyume nyume ndo hatupendwi!
hii iisue iko so subjective bana!
kila mtu na mapendezeo yake!
hakuna formula bana!
nyama hata kweye sambusa zipo!

Sawa mwalimi snowhite lakini raha ya kula nyama ushikemo finyango uhangaike nayo..ukte na mfupa uutafune..sasa nyama za kwenye sambusa zinashikika? Si unazila kimahisia tu kwamba na hii ni nyama?
 
Last edited by a moderator:
indicates fertility?
hiyo sijui ina maana gani.....
kama ni maana ninayoijua mimi sidhani kama ndugu zetu wachina wangefikia kuwekewa sheria ya kuwa na mtoto mmoja...
na wajep miaka fulani walikuwa wanalalamikiwa kwa kuzaa sana....... infact wa-Asia wote naona wanazaana sana na bado wamepigwa pasi
 
Sawa mwalimi snowhite lakini raha ya kula nyama ushikemo finyango uhangaike nayo..ukte na mfupa uutafune..sasa nyama za kwenye sambusa zinashikika? Si unazila kimahisia tu kwamba na hii ni nyama?

Ahahaha kitu lenzi mbonyeo +lenzi mbinuko!
 
Last edited by a moderator:
ukiwa unapiga kazi kwa mwenye makalio makubwa raha ipo sana...
 
kwa hiyo sisi tuliopigwa pasi wanaume zetu hawaenjoy kabisa.......?
hayo ya wanaume kupenda makalio makubwa ni assumptions za wanaume tu, hayo matak.o kubwa hayana kazi yoyote wakati wa shughuli yenyewe, tena unaweza hata usiyakumbuke kunako shughuli unless otherwise unatumia mtandao. i used to have girls with normal boots, last week i tried big boot, its real big, sija faidi chochote. I can say they are good for eyes nor for sex.
 
wanaume hamnaga fomula nyie wala hamfai kusikilizwa unakuta mtu mkewake makalio pasi mademu wanje makalio makubwa kwa kifupi hamsomeki, mimi na na zigo langu nyuma linaelemea lakini tukiwa kule mahala hatasiku moja hasemi embu niyaangalie basi sanasana nianakimbilia mojakwamoja kwenye yale mambo yetu ya msingi wala hakumbuki habari ya makalio tena. wanaume nyie viumbe vya ajabu hamjui mnachopenda wala mnachotamani wala mnachotaka.
 
ni ufinyu wa mawazo.......kama kuenjoy kunaletwa na makalio makubwa basi leo hii wapigwa pasi tusingekuwa na wanaume.

Hahaha si mnao kwa sababu wamekosa wenye makalio makubwa! Si unajuwa simba anapokosa nyama kabisa anaishia kula majani japokuwa sio chaguo lake?
 
Hahaha si mnao kwa sababu wamekosa wenye makalio makubwa! Si unajuwa simba anapokosa nyama kabisa anaishia kula majani japokuwa sio chaguo lake?
preference zinatofautiana na ukijua hvyo hutokaa ushangae kwa nini huyu anapenda hiki............ni kama kuna watu wanapenda konyagi ( viroba), mwingine anapenda soda, wine , gongo........etc........kama umeelewa swala la PREFERENCE basiiiiiiiiiiiiiii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom