RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

RwandAir imepata hasara kwa miaka minne mfululizo

..Tesla na Uber hazikuanzishwa na fedha za serekali / umma.

..Pia hivi Muzungu akifanya jambo na sisi inabidi tuige?

..Je, unataka kusema it is OK kwa ATCL kutuingiza hasara kwasababu Tesla ya Muzungu inapata hasara?


Hilo swali inabidi umuulize mleta Mada na chadema ambao kutwa nzima wanamchukulia Mzungu na asemacho kuwa ni sacrosanct.

Nani amekudanganya hazikuanzishwa kwa fedha za umma? Kwa taarifa yako IT companies zote USA kuanzia google, facebook, apple wote kuna fedha ya Serikali kupitia Pentagon kuna fungu maalumu la research ktk Pentagon kwa ajili hiyo hso akina Zuckerberg, ni zuga tu lkn hiyo yote ni CIA na NSA project!
 
Walichoharibu zaidi ni kuiandika "hapa kazi tu" pumbaafu kabisa!! Wasipofuta hili lineno lao sintokaa niipande hii ndege...
Hiki cha nje cha kuandika "hapa kazi tu" kinahakisi mchakato ulivyoasisiwa, kuanzia kwenye wazo hadi kununuliwa kwamba its way more political motives than economical freedom for all Tanzanians.

Let's see what tomorrow bring!
 
Ndoto za Alnacha (sera ya CCM)...
  • Tulikuwa hatupati watalii wa kutosha kwa sababu hatukuwa na ndege zetu.
  • Kwa vile sasa tunazo ndege zetu, watalii wataongezeka na taifa litanufaika kiuchumi.
  • Hata kama ATCL inapata hasara, hiyo hasara itafidiwa na mapato yatakayotokana na utalii.
  • Kwa sasa watalii wataweza kusafiri moja kwa moja kutoka nchi zao hadi Tanzania.
  • Hasara ni kitu cha kawaida kwani hakuna biashara inawezekana bila hasara.
Kwa kweli Watanzania tunazo nati kichwani ambazo zaonekana zimelegea na kwa tunavyokwenda siku si nyingi wote tutaanza kuokota makopo. Biashara ya kuokota makopo ina faida nyingi...
  • Itapunguza uchafu mitaani.
  • Waokotaji wataongeza vipato vyao.
  • Ajali zinazotokana na msongamano wa makopo zitapungua.
  • CCM itazidi kupendwa kwa sera ya kuongeza ajira.
  • Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani kuwa makopo free!
 
Hilo swali inabidi umuulize mleta Mada na chadema ambao kutwa nzima wanamchukulia Mzungu na asemacho kuwa ni sacrosanct.

Nani amekudanganya hazikuanzishwa kwa fedha za umma? Kwa taarifa yako IT companies zote USA kuanzia google, facebook, apple wote kuna fedha ya Serikali kupitia Pentagon kuna fungu maalumu la research ktk Pentagon kwa ajili hiyo hso akina Zuckerberg, ni zuga tu lkn hiyo yote ni CIA na NSA project!
Yaani kila mtu anaekosoa kinachofanywa na serikali unadhani ni CHADEMA mkuu? Mimi ndio hata nilikuwa ga sina interest na siasa na hata huu ni Uzi wangu wa pili mfululizo jukwaa la siasa sababu naona serikali inakengeuka.

Kwa vile unataka kutumia siasa kuargue na Mimi masuala ya msingi naamua kukudharau na kukuacha maana nimetahadharisha siasa haijawahi kusolve suala lolote Duniani bali imeleta matatizo na umaskini isipokuwa logic na facts vimeweza kufanya mengi mazuri na makubwa.

Baki na upumbavu wako!
 
Umetumia siasa kuwaza ndio maana uhalisia na logic vimekimbia unaandika tu Kama hayawani!

Siku ukipona urudi tena tuargue kwa logic and facts...na sio vijembe vya siasa.

Mnatumia siasa kuwaza ndio maana ndege yetu mmeiandika hapa kazi tu, huku Kenya yao wakiandika Serengeti plains.

Afrika no good!
Mkuu unapata tabu sana,toka panga boy mpk dreamliner inakunywa mafuta sana,we ulitaka inywe supu [emoji23] [emoji23]
 
Yaani kila mtu anaekosoa kinachofanywa na serikali unadhani ni CHADEMA mkuu? Mimi ndio hata nilikuwa ga sina interest na siasa na hata huu ni Uzi wangu wa pili mfululizo jukwaa la siasa sababu naona serikali inakengeuka.

Kwa vile unataka kutumia siasa kuargue na Mimi masuala ya msingi naamua kukudharau na kukuacha maana nimetahadharisha siasa haijawahi kusolve suala lolote Duniani bali imeleta matatizo na umaskini isipokuwa logic na facts vimeweza kufanya mengi mazuri na makubwa.

Baki na upumbavu wako!


Hakuna mahali nilipokulazimisha unijibu chochote, wee potezea tu hautakuwa wa kwanza hapa JF!
 
Bora hata ingekunywa mtori! [emoji23]

Swali la kipumbavu na Jibu la kipumbavu.
Narudia tena unapata tabu sana [emoji23] dreamliner nyingine ipo kwenye matengenezo,hiyo ikiingia utazaidi kupata tabu sanaaa [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hakuna mahali nilipokulazimisha unijibu chochote, wee potezea tu hautakuwa wa kwanza hapa JF!
Sababu ni ndogo tu sio kwa ajili ya chuki yangu kwako wala nini ni kwa sababu you can't comprehend my genius level talent. [emoji23]

Blinded by politics!
 
Maajabu. Ndege zinaongezaje watalii?
Hahaaha kazi kweli kweli. Magufuli analo, uzuri ni kwamba anaweza kuamua mwenyewe nini anataka utake usitake.

Kukuelewesha zinachochea vipi utalii ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa acheze
 
Tulitaka sana kuiona midege ya aina hii but kwa kununua ndege yenye uwezo ule kwa wakati huu, Haikuwa right time..sio muda sahihi.

Kila kitu ni hatua, kuna hatua tumeziruka tunataka kupita shortcut wakati inajulikana wazi shortcut is always a wrong way.

Tutarudi kuanza tu tulipoparuka.

Jibu sahihi lipo hapa, ---"hatua kwa hatua". Kuwa na mpangilio mzuri katika kila kazi ni jambo muhimu sana na hasa katika biashara ngumu sana kama hii ya shirika la ndege. Duniani kote, ugumu wa biashara hii unajulikana.

Ndio, ni jambo jema kabisa kwa nchi kama Tanzania kuwa na shirika lake la ndege. Lakini wakati tunapoingia kwenye biashara hii, tuache mbwembwe na kuhadaa watu kwa kutafuta sifa tu zisizostahili. Unaanzisha shirika ukiwa unajua ugumu wa kazi yenyewe kutoka kwa wengine. Unaweka mikakati madhubuti ya kupunguza ugumu huo na kupunguza hasara kwa vile unajua unaingia katika biashara hiyo kwa dhumuni kuu la kuweka hadhi ya nchi na sio lazima iwe kupata faida. Hili kwa nchi ni dhumuni halali; kwa hiyo unajua wazi kuwa itakuwa kazi ya serikali kutoa ruzuku.

Siku za nyuma uliweka ukumbini hapa nchi kuiga mataifa yanayofanikiwa, kama Japan, n.k. Ethiopian Airlines linafanya vizuri; pamoja na kwamba hata wao ruzuku wanapata. Kwa nini tusichukue muda kujifunza kutoka kwa wazoefu hawa ili nasi angalao tupate shirika lisilododa kabisa kiasi kwamba hata kuwapa ruzuku inatia kinyaa?
 
Wamewekeza sana na hasara imepungua sana na kufikia $1m
Utalii umesaidia pia
Biashara aina yoyote nyingi hushindwa miaka ya mwanzo
Wengine hupasua
Tukiona vipi tuta merge nao
 
Mkuu unapata tabu sana,toka panga boy mpk dreamliner inakula mafuta sana,we ulitaka inywe supu [emoji23] [emoji23]

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa JF raha sana,eti supu,hahaaaaaaaaaaaaaaa sio kisusio cha wachaga mkuu?
 
Umetumia siasa kuwaza ndio maana uhalisia na logic vimekimbia unaandika tu Kama hayawani!

Siku ukipona urudi tena tuargue kwa logic and facts...na sio vijembe vya siasa.

Mnatumia siasa kuwaza ndio maana ndege yetu mmeiandika hapa kazi tu, huku Kenya yao wakiandika Serengeti plains.

Afrika no good!
Na wala haja argue kisiasa kwani hats siasa yenyewe haijui zaidi ya ushabiki Wa kipumbavu tuu.
Mkuu endelea kuleta facts za kujadili, majinga kama hayo achana nayo. Hujaona watu huwa hawahangaiki na maandiko yake?
 
Jamaa wa Rwanda amemwingiza chaka wa kwetu ili tufe wengi. Wa kwetu kwa kuwa alitamka kuwa ni role model wake kaingia bila tafakari.

Hakika hii miaka 10 itakuwa ya hasara kubwa kwa nchi yetu karibu kwa kila jambo.
 
..serekali wawe wakweli kwamba shirika hili litatuletea hasara hivyo inabidi kulipa RUZUKU ili liendelee kuwepo.

..mapato yanayotokana na utalii yanapaswa kutumika ktk miradi ya maendeleo inayowagusa waTz moja kwa moja, kuhudumia jamii zilizo karibu na vivutio vya utalii, na shughuli za uhifadhi.

..ni makosa mapato ya utalii kuwekeza ktk mradi usioweza kujiendesha au anaoendeshwa kwa HASARA.
Hilo mkuu ndilo hasa ambalo hawataki tukubaliane. Serikali iache kutafuta sifa na kudanganya wenye pesa zao (wananchi) bali iseme wazi kuwa shirika linaingizs hasara na kuomba kibali chao kutoa ruzuku kuponya.
Na lazima kuja na sababu nzito kwanini fedha zitolewe kwenye miradi ya maendeleo kuponya shirika linalofilisika.
 
Back
Top Bottom