Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

Wakati mwaka huu unaanza Kakakuona aliulizwa kuna nini mwaka huu akasema kutakuwa na vita.Hivi kakakuona naye ni mtabiri?
 
Hapo ndo patamu ajaribu rusha makombora aone cha moto na tank lenyewe kuukuu ilo ndo apeleke akalinde mipaka kweli lagame empty head
 
Ngoja tuone how it ends...ila itakuwa ni makosa ya kifrika kutaka kuanzisha vita kubwa maana kuna mtu ataishia kuwekwa chini ya ulinzi kama mtuhumiwa. PK angalia sana what you plan to do.
 
Mfa maji haachi kutapatapa. Kaamua kwenda kuwa-hit huko huko! Sasa kwa nini asisubiri wai-cross ile line ndo awa-hit.
 
Wakati mwaka huu unaanza Kakakuona aliulizwa kuna nini mwaka huu akasema kutakuwa na vita.Hivi kakakuona naye ni mtabiri?
Duh, kama pweza! Vipi alipoulizwa nani atashinda alijibu nini?
 
Kitawaka sasa hivi huyo PK sijui anapewa kiburi na nani?asije kutuulia majeshi yetu tu huko congo
 
Hii ilikuwa jana walikuwa wanasafirisha wanajeshi, Vifaru pamoja na Helkopta za Kijeshi kwenda Congo - Hii inajulikana
fdd-2-57ea3.jpg

p-3-9c028.jpg

a-6600e.jpg

v-6-1de2e.jpg
 
Kitawaka sasa hivi huyo PK sijui anapewa kiburi na nani?asije kutuulia majeshi yetu tu huko congo
Ndio target yake kubwa, wamekasirika baada ya askari wao wa RDF waliokuwa wanapigana bega kwa bega na M23 kuuwawa kwa wingi juzi na jana. Na hata supply alizokuwa anawaongezea M23 zilishambuliwa.

Yeye hasira zake ni Intervation Brigade (FIB).
 
Ikiwa ataanzisha vita na UN congo bila shaka kagame atakua ana kichaa. Tangu ameingia madarakani na genge lake la watutsi hakuna amani eneo lote maziwa makuu. Itakua nafasi kwa dunia kumtwanga na kumng,oa. Rwanda inahitaji kiongozwa na mtu mwenye busara sio kiongozi muuaji anayetoa maneno ya ufedhuli na dharau kwa watu wengine hata kama ni rais wa nchi jirani.
 
Alafu zamani walikuwa wanakimbilia Tanzanai, sasa Watz nao wamewatukana, sijue watakimbilia wapi kikinuka, aichelewi kuwa kama Somali; seriakali inaongoza nchi kutokea Nairobi.
 
Hapo ndo patamu ajaribu rusha makombora aone cha moto na tank lenyewe kuukuu ilo ndo apeleke akalinde mipaka kweli lagame empty head

Usiwe unabwabwaja kama bar maid kapewa tip..hujui vita kaa kimya pimbi wewe
 
But in a sign that the conflict could spill over the border, a large convoy of military vehicles loaded with troops, tanks, artillery cannons and heavy weaponry was seen leaving the capital of Rwanda, Congo's neighbor to the east, which is accused of funneling arms and troops to the M23 rebels.

Rwandan leaders said they were acting to defend their border, after shells and rockets, allegedly fired from the Congolese side of the Rwanda-Congo border landed in Rwandan territory, killing a mother and seriously wounding her 2-month-old baby.

Late Thursday, Rwandan Foreign Minister Louise Mushikiwabo said on her official Twitter account "Deliberate shelling of Rwandan territory unacceptable. Rwandan civilians are falling victims. A provocation that will no longer B tolerated." On Friday, she tweeted: "Rwandan troops are not in DRC (yet); when they are, you will know."

The heightening of hostilities with Rwanda comes as Congolese and United Nations troops appear to be making significant gains against the M23 rebels. The U.N. intervention force has pounded the M23 rebel positions with attack helicopters and artillery fire.

bf935c36ff2a4ec2a83cb6659729fe17-a6e6a01623e34a37a86388e59cf2e086-3.jpg
 
hivyo vifaa vitapigwa kwa helicopter za sa kwa masaa kama sita tu hivi,ni afadhali angevipeleka kimya kimya!!!!!
 
Hawa M23 hata iweje wasikubali kufanya nao suluhu tena ni kuwafagilia mbali hata huko Rwanda, BBC inasema usiku huu kuwa wamerudishwa nyuma 30km
The M23 rebel group in eastern Democratic Republic of Congo has said it will stop fighting, following days of clashes with UN-backed forces.

M23 official Museveni Sendugo told the BBC its forces had already pulled back 5km (three miles) from the frontline.

_66481995_m22.jpg

_69563083_019101443-1.jpg

_69564202_019090419-1.jpg
 
Ikiwa ataanzisha vita na UN congo bila shaka kagame atakua ana kichaa. Tangu ameingia madarakani na genge lake la watutsi hakuna amani eneo lote maziwa makuu. Itakua nafasi kwa dunia kumtwanga na kumng,oa. Rwanda inahitaji kiongozwa na mtu mwenye busara sio kiongozi muuaji anayetoa maneno ya ufedhuli na dharau kwa watu wengine hata kama ni rais wa nchi jirani.

Vita ipo siku nyingi na huyu kijana J Kabila ni pandikizi la Kigali.baba yake aliyemuadopt L Kabila alishauliwa.ndio maana F.I.B.wakiadvan
 
Kitawaka sasa hivi huyo PK sijui anapewa kiburi na nani?asije kutuulia majeshi yetu tu huko congo

Hawana Ubavu wa kuwatandika Watanzania wala South Africa. Kagame anajua vema uwezo wa JWTZ. JWTZ huwa hawakosei.
 
Back
Top Bottom