Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

mabomu kuangukia nchi ya mwenzako huo ni uchokozi! Ni vema kuheshimu mipaka ya mwenzako labda kama ni sababu ya kutaka kupima maamuzi ya Rwanda!

kagame alipokuwa naanza kumpiga Habyarimana, kuna mabomu yaliangukia karagwe? TZ ilimshambulia? huyu ni mshenzi tu....
 
Huenda umenielewa vibaya au sikujieleza vizuri; ni shabiki sana wa kujua mipango ya kivita ikiwa imeshatokea, siyo kuwa ni shabiki wa kutaka wengine wapigane. Kwa mfano huwa ninasoma sana rekodi mbalimbali za kivita kutoka kwenye rekodi za vita mbalimbali ziliyokuwa declassified.
umejitetea vizuri:wave:
 
Bukyanagandi Mkuu wangu wala usihofu Batallion inayopigana ni yetu hao watu wa mayenu wacha wakae nyuma wakishangilia, ndio maana nakubaliana na Mauza uza anaposema ...subiri muziki mukubwa ...PK ataisoma number soon!! Haya ni maandalizi ya muda mrefu sio kwamba wamekurupuka.ingawa ni twitter ya JWTZ ingia tu Mkuu ujue updates kuwa hu JF kuna vibaraka wa PK wanatutibua lkn kwao kimenukaJeshi la Wananchi Tz ‏@JW_TZ 31 Aug Katika umoja huu JWTZ ndio yenye wanajeshi wengi, tuna Bataliani moja, hivyo tumepewa nafasi adhimu na ya heshima kuongoza mipango ya vita
Thanks a lot mkuu 4 the info, once angain nashukuru SANA - pamoja mkuu.
 
Mawazo hayo hayana tofauti na mawazo na maneno ya CCM juu ya tukio la Soweto hivi kuna uwezekano kweli ukajirishia mabomu na kuua raia wako? hayo ni mawazo ya kipuuzi
Wewe ndo una mawazo mgando CIA wanakiri kuwa wakati mwingine inabidi ujidhuru ili upate sababu ya kupiga itakuwa huyo mtu m1
 
huu ndio mwisho wa kagame era. Anayebisha,sawa. Subiri tushuhudie. Kagame is bad for great lakes and security of all east and central africa. hakuna jema litakalotoka hapa kuhusu kagame and his mafias groups.
 
huu ndio mwisho wa kagame era. Anayebisha,sawa. Subiri tushuhudie. Kagame is bad for great lakes and security of all east and central africa. hakuna jema litakalotoka hapa kuhusu kagame and his mafias groups.

Hakuna mwisho wala mwanzo
 
Na huo ndio ukweli uliopo RDF sasa itaingia vitani kwa Madai ya kujilinda.wamesema kama mabomu yataendelea kurushwa Rwanda wanaingia vitani.siku mbili tatu hizi utasikia mabomu yamerushwa tenta hivyo inawabidi kujilinda kumbe wanayalipua wenyewe.
na hizo ndio zao kujirushia mabomu ili wapate kisingizio.
 
Tuachane na vita tujikite katika kuimarisha chumi za nchi zetu hatujaigana vita tuna hali mbaya kiuchumi je tukipigana itakuwaje Kagame kama kweli unawasaidia M23 Tafadhali acha mara moja
 
Hawa rwanda wasifikiri hatuna vichwa vya kufikiri.., M23 si ya wanywarwanda wenyewe.., hivyo wanajipiga mabomu wenyewe ili wapate kisingizio cha kuivamia kongo na kuendelea kunyonya rasilimali zisizo zao.., bandits..! tutawakomesha this time hakya nani tena..!
 
act ya kupeleka majeshi kongo (goma) ni mipango iliokua ya muda mrefu, na hii inalenga kulinda aman, pamoja na kuwapokonya silaha waasi, na sio vita. Mashambuliz ya risas yametokea 2 pale waasi walipokataa kusalim amri, na hatimaye ku2mia ulazima ktk kutimiza hili.
 
Back
Top Bottom