Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

mabomu kuangukia nchi ya mwenzako huo ni uchokozi! Ni vema kuheshimu mipaka ya mwenzako labda kama ni sababu ya kutaka kupima maamuzi ya rwanda!

tanzania ilipeleka majeshi drc ikijua fika inaenda kupambana na rwanda, no m 23 without rwanda, vita kongo itakoma baada ya kagame kuondoshwa madarakani.
 
Mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaonekana kuchukua sura mpya na ambayo inaanza kutia wasiwasi baada ya Rwanda kutishia kuchukua hatua za kijeshi endapo DRC itaendelea kurusha mabomu kwenye ardhi yake. Rwanda imeyasema hayo baada ya mabomu kumi kuanguka nchini Rwanda mfululizo na kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa

source DW(KISWAHILI)
Lakini leo imebainika kuwa mabomu hayo yanarushwa na M23! ili kuwapa excuse rwanda kuivamia congo na ku-neutralize brigade ya UN source: Aljazeera
 
huo uchumi wa kupeleka jeshi congo na kupambana atautolea wap!? UN wana hela hta wapigane miaka 100! hakuna vita hapo propaganda tu,maana kuna watu wanamngoja atoke wao waingie rwanda!
 
tanzania ilipeleka majeshi drc ikijua fika inaenda kupambana na rwanda, no m 23 without rwanda, vita kongo itakoma baada ya kagame kuondoshwa madarakani.
Ni kweli kabisa.......hii si vita na M23 bali ni vita na Rwanda na swahiba wake mkuu Uganda.
Pasipo kumng'oa PK madarakani vita haitaisha Congo.....na ushirikiano wa EAC utakuwa wa migogoro kila leo.Lazima Tanzania tuhakikishe tunazungukwa na nchi zenye serikali rafiki kwa ajili ya utawi wa maendeleo wa nchi zetu......and that task we have done before and yet we can do it again and again......'We have to stand tall...'because that's is How We Are!
 
Bila shaka kawaambia M23 warushe mabomu kwake na ionekane ni askari wa DRC ili apate sababu ya kuingia huko. Asisahau kuna askari 3,000 wa Tz na South Africa na ikibdi SADC yote hasa wanaume wa Angola na Zimbabwe wanaweza kuingia huko

Unakumbuka hawa askari wa South Afrika waliokuwa kule Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAFR) walipigwa na waasi wa SELECA na kupelekea zaidi ya kumi kuuawa kwenye mapigano walipojifanya kupigana dhidi ya waasi ili kumlinda Francois Bozize aliyekuwa raisi wa nchi hiyo. So kwenye battleground hao wanajeshi wa South Afrika sio wa kujivunia sana kwa maana hawana historia ya kupigana ingawa nchi yao huenda ina silaha nyingi za kisasa compared na nchi nyingi masikini kama bongo!
 
asubuhi nimeona malori ya jw yamepakia vifaru maeneo ya chalinze, nikabaki na maswali kibao.!

Aisee vifaru vyetu ni vya kizamani kama vile vya DRC, duh...tuko nyuma. Ndo maana Museveni kaamua ku-modernize jeshi lake. Sasa hivi jeshi la Uganda lina ndege za 4th generation kwenye air force. Sisi huku bado tuna ndege zilizotengenezwa sixties na 70s! Tusiombee vita kamili maana siyo ya advantage kwetu bongo. Uchumi wetu ni kusua sua na hatujajitosheleza hata kwa chakula. Vita vya ku-engage ni vile ambavyo vitaonekana kweli kutishia usalama na utangamano wa taifa. Hivi vita vingine ni vya kutafuta umaarufu usiokuwa na malipo!
 
==>> Thubutu....karwanda tunapiga na kudandia juu...kagame KACHANGANYIKIWA....TUNAPIGA HADI DUNIA ITASHANGAA...
Nadhani weye umeiona vita katika sinema tu, au kwenye ndoto mororo usingizini. Ukweli ni kuwa nchi nyingi zimeanza vita kwa kuona zina uwezo wa ushindi wa haraka haraka!
 
aisee vifaru vyetu ni vya kizamani kama vile vya drc, duh...tuko nyuma. Ndo maana museveni kaamua ku-modernize jeshi lake. Sasa hivi jeshi la uganda lina ndege za 4th generation kwenye air force. Sisi huku bado tuna ndege zilizotengenezwa sixties na 70s! Tusiombee vita kamili maana siyo ya advantage kwetu bongo. Uchumi wetu ni kusua sua na hatujajitosheleza hata kwa chakula. Vita vya ku-engage ni vile ambavyo vitaonekana kweli kutishia usalama na utangamano wa taifa. Hivi vita vingine ni vya kutafuta umaarufu usiokuwa na malipo!

jidanganyeni, hata amini 1978 alijiaminisha ana jeshi la kisasa na silaha za kisasa lakini aliishia kuangukia pua.
 
so kama m23 hawatakiwi na rwanda na drc then waungane wawamalize m23,
Paulo kagame ana jina la ukristo bal ni ibilsi live
 
jidanganyeni, hata amini 1978 alijiaminisha ana jeshi la kisasa na silaha za kisasa lakini aliishia kuangukia pua.
Iddi Amini alikuwa na jeshi zuri mwanzoni wakati anapindua serikali ya Obote 1971 kabla hajaanza kuwaua cream waliosoma na wazoefu; akaja kuwajaza kabila lake waliokuwa na elimu kama yake! Jua kwenye vita sio makelele tu na majigambo. Israel huwa inawashinda waarabu kwa akili na mazoezi ya jeshi ya muda wote. Kelele hizi za nyuma ya keyboard hazisaidii. Endelea kuwa shabiki wa vita kama vile unashabikia Man U ama Barca!
 
Rwandan troops heading towards Congo border, war looms
jammas.hussain20130831005448067.jpg

A trailer carrying a tank leaves the Rwandan capital Kigali en route to the border town of Gisenyi, August 30, 2013.

Rwandan troops are heading towards the western border with the Democratic Republic of Congo, raising the prospect of another war in the Great Lakes region of Africa.


On Friday, a large number of people in the Rwandan capital Kigali watched a military convoy including troops, tanks and trucks loaded with artillery leaving for the border, The Associated Press reported.

According to reports, the Rwandan army troops are headed to Gisenyi, which borders the city of Goma in eastern Congo.

Congo's adventurous neighbor is reportedly planning to launch a military offensive against a country with which it fought two wars in the past two decades.

Earlier in the day, Rwandan Minister of Foreign Affairs Louise Mushikiwabo said his country would defend its borders after rockets landed in Rwandan territory.

On Thursday, Rwanda accused the Congolese army, the FARDC, of firing bombs and rockets into its territory and said such "provocation" will not be tolerated.

However, the UN mission in Congo, known as MONUSCO, said late on Thursday that it had seen only M23 rebels firing artillery into Rwanda.

"MONUSCO has not witnessed any shelling by the FARDC into Rwanda. These are areas where FARDC are not present," said deputy UN peacekeeping chief Edmond Mulet.

Also on Thursday, the United Nations said that Rwandan military officers are fueling deadly violence in eastern Congo.

The UN said it had "consistent and credible reports" of Rwandan troops entering Congo to back M23 rebels.

The UN and Kinshasa have repeatedly accused Rwanda of helping the rebels in Congo. Rwanda has always denied the charges that it is backing the M23, but Kigali has never publicly condemned the militia, which occupied the city of Goma in eastern Congo for 10 days last November.

The M23 rebels and several other armed groups are active in the eastern Congo and are fighting for control of the country's vast mineral resources, such as gold, the main tin ore cassiterite, and coltan (columbite-tantalite), which is used to make many electronic devices, including cell phones.

Since early May 2012, nearly three million people have fled their homes in the eastern Congo. About 2.5 million have resettled in Congo, but about 500,000 have crossed into neighboring Rwanda and Uganda.

Congo has faced numerous problems over the past few decades, such as grinding poverty, crumbling infrastructure, and a war in the east of the country that has dragged on since 1998 and left over 5.5 million people dead.


Follow link: http://www.presstv.ir/detail/2013/08/31/321331/rwandan-troops-head-to-congo-war-looms/
 
Rwandan troops heading towards Congo border, war looms
jammas.hussain20130831005448067.jpg

A trailer carrying a tank leaves the Rwandan capital Kigali en route to the border town of Gisenyi, August 30, 2013.

Rwandan troops are heading towards the western border with the Democratic Republic of Congo, raising the prospect of another war in the Great Lakes region of Africa.


On Friday, a large number of people in the Rwandan capital Kigali watched a military convoy including troops, tanks and trucks loaded with artillery leaving for the border, The Associated Press reported.

According to reports, the Rwandan army troops are headed to Gisenyi, which borders the city of Goma in eastern Congo.

Congo's adventurous neighbor is reportedly planning to launch a military offensive against a country with which it fought two wars in the past two decades.

Earlier in the day, Rwandan Minister of Foreign Affairs Louise Mushikiwabo said his country would defend its borders after rockets landed in Rwandan territory
 
Back
Top Bottom