Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

Rwanda yatishia kuishambulia kijeshi DRC

Naombeni tempo ya jeshi jamani.
Kagame aking'oka tu nastaafu na kurudia kazi yangu ya sasa.
 
mabomu kuangukia nchi ya mwenzako huo ni uchokozi! Ni vema kuheshimu mipaka ya mwenzako labda kama ni sababu ya kutaka kupima maamuzi ya Rwanda!

kweli aisee ni makosa tena makubwa ila sasa hapa tatizo ni kwamba huyu jamaa(PK) haaminiki tena uwezekano mkubwa wa kuwatumia m23 kurusha mabomu ni mkubwa ili kusudi yeye apate sababu ya kuingia DRC kuwasaidia watu wake wa M23 baada ya kuona wamezidiwa
 
Mawazo hayo hayana tofauti na mawazo na maneno ya CCM juu ya tukio la Soweto hivi kuna uwezekano kweli ukajirishia mabomu na kuua raia wako? hayo ni mawazo ya kipuuzi

nilikua sitaki kuchangia lakini nlipoona post yake, nimegundua umelala usingizi mzito sana. Hivi hujawahi kuskia baba akimtoa mtoto wake wa kumzaa kafara ili apate utajiri? Ivi unafikiri kagame atashindwa kutoa wachache kafara ili afanikishe mpango wake? Amka kijana kumekucha
 
mzozo wa mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya kongo unaonekana kuchukua sura mpya na ambayo inaanza kutia wasiwasi baada ya rwanda kutishia kuchukua hatua za kijeshi endapo drc itaendelea kurusha mabomu kwenye ardhi yake. Rwanda imeyasema hayo baada ya mabomu kumi kuanguka nchini rwanda mfululizo na kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa

source dw(kiswahili)

waje tu tunawakaribisha kwenye mtego!
 
Kama kweli mabomu yamerushwa rwanda, hii ni hatari, siwezi kukubali huu upuuzi...
 
sikilizeni nyie wanyarwanda
msiwe mnasahau kirahisi hivyo. Miaka kadhaa kagame na jeshi wamekuwapo drc wakipiga mabomu na risasi na kuua watu.............nikuulizeni kuna sheria gani inaruhusu jeshi la rwanda kuingia ndani ya nchi nyingine?

Kgame na jeshi lake alishawahi kupigana na wanajeshi wa uganda kwenye ardhi ya congo wakigombea madini.....nani aliwapa mamlaka hayo.

Kagame & co. Watulie tu, wembe uleule uliowakata wacongo kwa zaidi ya muongo mmoja ndiyo huohuo utawakata.

watuliee tuli wanyolewe na wembe wa jwtz unaonyoa mpaka wadudu! Rwanda ni lazima ijue kwamba tanzania ilienda kongo ikijua fika inaenda kupigana na rwanda na kosa kubwa watakalolifanya rwanda ambalo daima hawatalisahau ni kujibu shambulizi lolote la kijeashi ndani ya nchi yao.
 
Mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaonekana kuchukua sura mpya na ambayo inaanza kutia wasiwasi baada ya Rwanda kutishia kuchukua hatua za kijeshi endapo DRC itaendelea kurusha mabomu kwenye ardhi yake. Rwanda imeyasema hayo baada ya mabomu kumi kuanguka nchini Rwanda mfululizo na kumuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa

source DW(KISWAHILI)

Hivi hawa RPF wanajua JWTZ ikiwatoa DRC hayaishii mpakani? Naona waachwe wavamie ili ipatikana sababu ya kuweka serikali rafiki pale Kigali.
 
Natamani tumpige kagame tuchukue tarafa ili heshima iendelehe maana uyu kimbau mbau anasumbua vichwa vya watu
 
Wewe Kagame na wapambe wako umeongea kimipasho sana kwa Rais wetu,sasa unajibiwa kwa vitendo!kaa vizuri unyolewe,mwanaume vitendo si maneno. ( itikadi baadae)
 
Tummalize kagame ili east afrika kuwe na aman huyu -------- tumpeleke ICC na heshima itakuwepo kote
 
Kagame anatafuta mwanaume wa kumlala.....anachokoza wanaume subiri tu... sasa hivi tumeshajua akili zake za kushtuliwa kama gari bovu...
 
Mbona majeshi yatanzania ndio yanatumia mizinga congo! hiyo inajulikana,subirini jamaa wakizama congo mtausikia mziki wao,mnasema m 23 inasaidiwa na rwanda,hamujui mziki wao,mkisikia wameingia hakutakua cha angola,zimbabwe,drc,fdlr,tz yani ni kiboko mbele kwa mbele,waache waendelee kuchokoza.

Kagame hana jeuri hii ndugu yangu km uamini ipo siku utaamini maneno yangu.kwani tunajaribu kumshitua kidogo ili atimize ahadi yake ya I will wait you on the right place and hit you.Kagame bado ni mchanga on international war.Na bado tutaendelea kutupia mabomu mengine km anaweza bas aingie wanjani na ndo utakuwa mwisho wa utawala wa Kagame nchini Rwanda
 
Kiboga nafikiri utakuwa wewe unayeshabikia vita nyuma ya keyboard huku ndugu wa yule Major aliyeuawa wanamajonzi na masikitiko juu ya mpendwa wao hii yote ni sababu ya sifa za kijinga wanazotaka hawa viongozi wetu.

you are not worth to be called a man or a Tanzanian,,,soldiers are trained to kill and dying is a part of the game,,,,hujui kwa nini Tpdf ipo kule na hali ya watu wa kongo waliokufa na wanaokufa kwa zaidi ya muongo ilhali nasi wabantu tumetoka huko,,there could not be Tanzania without DRC,,,
 
Mbona majeshi yatanzania ndio yanatumia mizinga congo! hiyo inajulikana,subirini jamaa wakizama congo mtausikia mziki wao,mnasema m 23 inasaidiwa na rwanda,hamujui mziki wao,mkisikia wameingia hakutakua cha angola,zimbabwe,drc,fdlr,tz yani ni kiboko mbele kwa mbele,waache waendelee kuchokoza.
Mukamasimba mbona leo ulikuwa kimya sana au ndio ulikuwa unafanya kautafiti kidogo!
 
Rwanda, Rwanda, Rwanda! kwa nini Rwanda? Jirani huyu vipi? mbona haishi visa? Rwanda imeshutumiwa kuwa inawaunga mkono M23. Imebisha na kupiga kelele kuwa haiwaungi mkono. Maafisa waandamizi wa M23 walipotakiwa kuwekewa vikwazo na UN, Rwanda ikagoma. Tukumbuke kuwa wakati Tanzania ilipokuwa kwenye mchakato wa kupeleka kikosi kule DRC Rwanda waliishauri Tanzania isipeleke kikosi kule. Swali ambalo hatukujiuliza ni kwa nini Rwanda haikupenda Tanzania ipeleke vikozi kule wakati usalama wa Mashariki mwa DRC upande wa Mashariki ni muhimu sana kwa nchi ya Rwanda? Kama Rwanda haina Maslahi fulani kwa mgogoro huo kwa nini ilichelea Tanzania kupeleka kikosi huko?
Kwa kuwa mambo yanaanza kubana Rwanda sasa inatafuta kisingizio cha kuingia DRC ninachohofia hapo ni kuwa Rwanda haina nia njema na usalama wa Ukanda wa Maziwa makuu. Nani asiyejua alivyoingia madakani Rais wa Rwanda? Nani asiyejua mgawanyo anaotaka kuuleta Africa ya Masharika? Kwa lugha rahisi Mikono ya Kagame siyo safi hata kidogo. Nani asiyejua ubabe alio nao? Mwaka kesho ni miongo miwili ya kumbukumbu ya umwagaji mkubwa wa damu katika eneo la Maziwa Makuu ambapo Kagame anajua ushiriki wake katika dhahama hizo dhidi ya wanadamu. Je ni damu za waliuawa 1994 zinamlilia kiasi cha kutaka kumwaga damu nyingine? Hilo sijajua labda wadau mnijuze.
 
Back
Top Bottom