Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

KEEPIT UP COMRED KAGAME, PROTECT UR COUNTRY

  • A%20S%2013.gif

 
What's the hullabaloo all about? So what if Rwanda has rejected the guy? Rwanda has every right to do so. Has not Tanzania done the same in the past? Sioni hatia juu ya serikali ya Rwanda. Nina imani watakuwa na sababu nzuri juu ya uamuzi huu. Hawafungwi kimataifa kutaja sababu. Huwezi kulazimishwa mgeni ndani ya nyumba yako.

unapomkataa mtu eti unasema ni jasusi, inabidi ueleze ulijuaje?
 
Chondechonde tz tuombe balozi wetu apokelewe,tunataka tukawamwage maji mabinti wa kinyarwanda
 
watusi kwa kujitekenya na kucheka wenyewe hamjambo! MWANAUME NI VITENDO NA watanzania kwa hili sisi ni mfano wa kuigwa katika ukanda huu, afrika na dunia nzima!
mkuu mbona husimamii maneno yako nyuma ulisema hatuna zana bora za kivita hata vita na uganda tulilshinda kutonakana na uzalendo na umoja wetu nw unasema tz ni bora katika ukanda huu na duniia nzima? bora katika nni?
 
nakumbuka kagame hakuwepo kwenye sherehe za muungano, alituma mwakilishi, naamini mwakilishi hakumpa boss wake mrejesho wa alichokiona pale uwanjani...i mean maonyesho ya silaha zetu

Mbwa mkali habweki.
 
Halafu bado mnashauri kuharakishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki inayojumuisha Rwanda. Ningekuwa Rais wa TZ ningefunga ubalozi wa TZ kule Rwanda.

Mbona hauhoji uharakishwaji wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, au ndio ushajisahau...
 
Sasa Unachokijua Wewe Ni Kipi????? Inaonekana Kumbe Huwa Unachukia Sana Ninavyotoa Makombora Humu tena Ya Ukweli. Na Nikumbushe Ni Wapi Nimeidharau TISS Yetu au JWTZ Zaidi tu Ya Mimi Kusema Ukweli na Kutoa tu Tahadhari? Nani Aliyekuambia Kuwa Ninapenda Mapigano au Chuki au Vita Kati Ya Rwanda na Tanzania? ACHA KUDANDIA TRENI KWA MBELE MBWIGA ( JUHA ) MKUBWA WEWE!!!!!!!!!!!!!!!! Mbona Huwakaripii Na Hao Wanaochochea Rwanda Ipigwe na Tanzania? au NDIYO " KUNYA ANYE KUKU na AKINYA BATA tu KAHARISHA? " Namalizia Kwa Kukuambia tena Kuwa HUNA UWEZO WA KIJESHI WALA WA KIUSALAMA WA KUSHINDANA na Rwanda na Nina Sababu Zangu Takriban Saba tena Za Kiushahidi Wa Kijasusi Wa Kutoka Rwanda na Tanzania ila Kwa Maadili Yangu, Ya Nchi Yangu na Kwakuwa Mimi Ni Mpenda Amani na Utulivu Sizitaji na Kila Siku Nimekuwa Nikiomba Mahusiano Ya Kidiplomasia Baina Ya Dar es Salaam na Kigali Yarudi Kama Kawaida na Tushirikiane Kwani Wanyarwanda Wanatuhitaji na Sisi Watanzania Tunawahitaji Wao.

hahahaahhahhahahahaha:der:
 
tatizo cc watz ni wazembe sana hasa prezd wetu anachekacheka tu

Huyo huyo aliwapiga M23, Huyo huyo ndie kagame anayemuogopa, na kama sisi wazembe mbona mnaogopa jasusi wetu? si mngemuachia tu kwa sababu mzembe? Nchi nzima mnaogopa mtu mmoja?
Mbona sisi majasusi wenu kibao tunawajua, wengine tumewaachia mpaka bungeni....SISI NA NYINYI NANI WAZEMBE?
 
Back
Top Bottom