Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
hapa umenena
kikawaida huwa tunaangalia yanayotokea kwa wenzetu na kuyasemea,lakini pale tunapofanya kile tusipopenda wenzetu watufanyie hatuoni kuwa ni shida

Tofautisha DRC na TANZANIA,-DRC wanawahifadhi na kuwa saidia waasi wa rwanda,je Rwanda ina wahifadhi waasi wa tanzania? najua hujanielewa,nasema nyie tanzania mnaugomvi upi na rwanda mpaka muwaarike waasi wa rwanda katika aridhi yenu? hivi ingekua kwamba kuna waaasi watanzani ndani ya rwanda nisinge shangaa hiyo move ya tanzania.
 
Tanzania hivi hizi hostilities towards Rwanda zinatoka wapi?what I know TZ haijawahi kufanyiwa chochote kibaya au kuibiwa anything na Rwanda,seems Kuna some ignorance humu inaendelea na wachangiaji wemgine pausing as Tanzanian kumbe ni exiled hutu,na wengine ni wahutu wa mikoa ya mipakani wanaochukia watutsi tuu,msijidanganye na idiocy fantasy zenu na kama mnafikiri JK atalianzisha on your behalf that will never happen, mtaishia makelele tuu na Kesho mtawaona JK Na PK wakinywa coffee pamoja..kama Hamna Kazi kavueni samaki wapuuzi wote nyie.

Unasema hizi hostilities towards Rwanda zinatoka wapi? Aliyesema atamvizia Kikwete na kum-hit alikuwa ni exiled hutu?
 
Tatizo la watutsi kila nikiwasoma wao Wamekaririshwa maneno na MUNGU m2 wao PK
 
Unasema hizi hostilities towards Rwanda zinatoka wapi? Aliyesema atamvizia Kikwete na kum-hit alikuwa ni exiled hutu?
Anatukanwa Obama kila usiku na kutishiwa lakini mbona sijawahi ona watu wasting their time and go ballistic kama nyie,you guys are just exaggerating.. upuuzi mtupu,hizo energy mazotumia towards Kagame mngewekeza kwenye real issue to fight corruptoons and a daylight robbery unaofanywa na mafisadi
 
but jk is not kabila and m23 and nkunda are not fighting tanzania,naona jk baada ya kushindwa kuacha legacy yoyote anajaribu kutaka kumpindua kagame,..sipendi chokochoko hizi wakati tunakaribia kuitwa bankrupt nation.

Nawewe ni walewale WAHIMA,urudi kwenu na mizigo yako kabla hujarudi na nguo zako tu.Fanya hima
 
Unasema hizi hostilities towards Rwanda zinatoka wapi? Aliyesema atamvizia Kikwete na kum-hit alikuwa ni exiled hutu?

By the way tangu hiyo kum hit shit itokee mbona wameshakutana,nyie mmebaki na ujinga wenu...move on it was non issue
 
Tofautisha DRC na TANZANIA,-DRC wanawahifadhi na kuwa saidia waasi wa rwanda,je Rwanda ina wahifadhi waasi wa tanzania? najua hujanielewa,nasema nyie tanzania mnaugomvi upi na rwanda mpaka muwaarike waasi wa rwanda katika aridhi yenu? hivi ingekua kwamba kuna waaasi watanzani ndani ya rwanda nisinge shangaa hiyo move ya tanzania.

Acha propaganda wewe, wapi umeona waasi wa Rwanda nchini kwetu? Mnarudia uwongo mara nyingi ili iwe ukweli mpate kisingizio. Hakuna chombo chochote kilichoripoti uwepo wa FDLR nchini kwetu except propaganda zenu tu. Twagiramungu kusema anasapoti FDLR na kuja TZ ndio tatizo? hata wewe simama barabarani marekani sema unasapoti al-qaeda uone kama hata utakamatwa hovyo hovyo.
 
I wonder what is jk still waitin for,,,!!?somebody must do something...pk is such an asshole..!!
 
mali Kagame was a refugee in Uganda. He had every right to claim Rwanda and return to his home country. Mbona mnashangilia Mayahudi kurudi makwao?
 
Last edited by a moderator:
Marekani haikuwahi kutuzuia kuongea na Fidel Castro
Uingereza haikuwa kutuzuia kuongea na Mugabe au Nkomo
Raila Odinga amekulia Msasani na kupewa paSsport yenye nembo ya Adam na Hawa
Thabo Mbeki haijulikani kama amesharudisha passport yake
Waisrael hawakuwahi kuhoji ubalozi wa Palestina pale Upanga
John Garang si kuwa ni alumni wa UDSM bali ameshawahi kutuma mwakilishi kuja UDSM kuongea
ANC walikuwa na makazi mazimbu, PAC wakawa nayo Chunya
Mreno hakuwahi kutuzuia kumhifadhi Mondlane au Machel

Kwa kifupi ni kama alivyosema mimi baba hapo juu
mkuu JOHN GARANG alisoma pia Magamba Sekodari (asaiv SEKUCO)
 
except RPA was entirely tutsi! vita vya ukombozi vilihusisha nchi si makabila.

jMali sasa naona unavuka mpaka? unasema RPA was entirely tutsi macho makavu kabisa??? duh, kweli genocidaire mmeamua. Wahutu kwa mamia na wengine wasio watutsi wakikusikia watasikitishwa sana.
 
Nilishakuambia kavue samaki hakuna unachochangia zaidi ya kuonyesha ulivyo zero tuu
Kwa taarifa yako I am a WB Consultant in Rwanda. Narudia, siyo bure una kitu cha kihalifu (guilty concious) kinakusumbua; NITAFUTE
 
Kwa taarifa yako I am a WB Consultant in Rwanda. Narudia, siyo bure una kitu cha kihalifu (guilty concious) kinakusumbua; NITAFUTE

Peleka comedy zako to your level sio Mimi.
 
Kagame was a refugee in Uganda. He had every right to claim Rwanda and return to his home country. Mbona mnashangilia Mayahudi kurudi makwao?

Usidandie treni kwa mbele, rudi kwenye mtiririko uangalie najibu kitu gani. besides, wakimbizi wa Rwanda hata leo wapo nchi nyingi tu, wapi umesikia wameunda jeshi kama alivyofanya kagame? Wayahudi wanaporudi kwao wanarudi kwa vita? wapi kuna jeshi la waasi wa israel uliloliona wewe au ndio yale ya kufananisha watutsi na wayahudi?
 
jMali sasa naona unavuka mpaka? unasema RPA was entirely tutsi macho makavu kabisa??? duh, kweli genocidaire mmeamua. Wahutu kwa mamia na wengine wasio watutsi wakikusikia watasikitishwa sana.

1. navukaje mpaka, name one hutu commander in 94 tumalize mjadala! wapi kwingine ambapo RPA inatambulika tofauti na tutsi-rebels definition?
2. Tayari na wewe unaniita genocidaire kwa vile natofautiana na wewe.
3. wahutu na watutsi wanasikitishwa na watu kama nyinyi mnaopotosha ukweli.
 
What has Laurent Nkunda got to do with Tanzania? We have so many internal problem why do we want to make Rwanda our problem too?

si lazima kila kila mjadala uchangie, kama huoni umuhimu wa mjadala unaweza sepa tu kwani lazima? Halafu pili, anzisha hiyo mijadala ya 'internal' problems tuone mchango wako, sio kuponda umuhimu wa mijadala ya watu wengine.
 
Peleka comedy zako to your level sio Mimi.

Call it a comedy; it is true your not my level; you are simply a stupid cant obsessed by genocidal illusions and hallucinations; fanatic of murderous behavior paraded by Paul Kagame in TUTSI EXTREMISM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom