Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
Hii hapa hotuba kama hamwezi kujmwandikia:

Tanzania imekuwa ikipokea taarifa mbalimbali kutka kwa Rais wa Rwanda taarifa mbalimbali zinazotishia uhusiano wetu. Ni hivi majuzi tu, kutokana na hila za Rais wa Rwanda ulikatishwa utaratibu wa kusafirisha mizigo kupitia Dar na mengine mengine yanye nia mbaya. Matamshi ya aina hii ya Rwanda na utaratibu wa kutaka kuingilia hadi taarifa za ndani kabisa unatia shaka na kuingilia masuala ya usalama ya nchi yetu ya Tanzania.

Kama Rais, sasa ninasema imetosha na iwe kweli au si kweli madai haya, ninnatoa wito kwa Rwanda kuachana kabisa na Tanzania kwasababu tutaipiga kwa muda mfupi sana kama tulivyofanya Uganda. Najua mna makubaliano na Uganda pamoja na Kenya kusaidiana Kijeshi lakini itakuwa kwa vikundi vya ugaidi tu na siyo kwa vita na Tanzania. Kumbuka Uganda ni sehemu ya Tanznia na tuliwapa wajitawale tu tena kwa mapenzi yetu na kwa hekima za Rais wetu Nyerere.

Ninatoa rai kwa mara ya mwisho kwamba sasa si muda wa utani tena na kuoneana huruma. Tumekamilisha kwa M23 na sasa tutaendelea na Rwanda kama nchi kama itabidi. Nikumbushe tu kwamba, udikteta hauwezi kuwepo kwa muda mrefu sana sehemu yeyote hata Rwanda. Msifanye wananchi wenu kama wajukuu zenu kwakuwa wana bibi zao.

Operation kimbunga itarudiwa tena kwakasi pamoja na tokomeza na ninatoa rai kwa raia wasiokuwa wa Tanzania kuhalalisha uraia wao ama kuondoka haraka sana. Na nyiyi mliojipenyeza kwenye vyombo vyetu, siku zina hesabika kuwa ni chache sana, tutawashughulikia. Nitoe rai kwa Watanzania wenzangu kuwabaini watu hawa mapema sna. Wale wakuu wa taasisi mlioajiri watu wa aina hii, ikibainika mtachukuliwa hatua kali pamoja na kushtakiwa kwa uhaini wa kutaka kuwaangamiza watanzania wenzako.

Mungu ibariki Tanzania na EAC isipokuwa Rwanda

Napita tuuuuuuuuuuuuu

hima himaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
So it is not wrong for Kagame to host Laurent Nkunda and M23 at his private home!

but jk is not kabila and m23 and nkunda are not fighting tanzania,naona jk baada ya kushindwa kuacha legacy yoyote anajaribu kutaka kumpindua kagame,..sipendi chokochoko hizi wakati tunakaribia kuitwa bankrupt nation.
 
It is stu.id as well as provocative to suggest that Tanzania is welcoming terrorists in the country. I may be not conversant with whether FDLR is designated as terror group.

If Tanzania hosted FDLR members there has to be a reason, a genuine one. But i do not believe that Rwanda can cry foul because Rwanda is itself doing so. If i am not mistaken there is a guy called General Rwarakabije, why is it a sin for Tanzania to host members of FDLR if Rwanda itself does the same?

You can never be a Catholic more than the Pope. Kama issue ndio hiyo basi waanze kulalamikiwa wanyarwanda wenyewe kwa kumkaribisha Rwarakabije, sisi hatuwezi kupambana na machinjachinja kuliko wanyarwanda wenyewe.

By the way huyu leo anayeitwa Paul Kagame tulimkaribisha mara ngapi wakati akiwa msituni? Vijana wetu wengi pale Shycom (japo watusi) walikwenda kujiunga na RPF. Inakuwaje iwe vizuri kumkaribsha yeye na sio wengine?
Au ndio unafiki.
 
Mkichokoza vita na Rwanda tutawapeleka mafisadi wote wa CCM pamoja na familia zao wakapigane hivyo vita,Tunachohitaji sasa hivi ni jinsi ya kulipunguza hili deni la taifa la shilingi trillioni 60,kupunguza tatizo la ajira,kupunguza mfumuko wa bei,kupunguza gharama za maisha kwa kufuta kodi na tozo za kipuuzi kwa watu binafsi,kwa wazalishaji na wafanyabiashara au kupunguza viwango vya kodi na sio hivi vita vya kipuuzi mnavyovitafuta.Damn it!!!
 
Despite all weaknesses that can be seen from outside, if Dar says today Kagame has to go he will go, not even Museveni will be in a position to save him. The trouble is, people are equating PK to watutsi, or PK to banywarwanda, the three are not same. If Tanzania says banyrwanda have to go, that will have to wait till God dies.

Unajua PK amelianzisha mwenyewe, wacha liendelee, inawezekana bado hajui Tanzania ni nini.
 
but jk is not kabila and m23 and nkunda are not fighting tanzania,naona jk baada ya kushindwa kuacha legacy yoyote anajaribu kutaka kumpindua kagame,..sipendi chokochoko hizi wakati tunakaribia kuitwa bankrupt nation.
When we talk of national interest, Kagame ni tatizo for our national interest. Usione tu Kenyatta ana-side na Kagame ukadhani kwamba Kenyatta ana mapenzi na Kagame, it's all about national interest, Kenyan interest! Achana na internal politics kwenye hili suala; Kagame ni tatizo regardless kama iliyo madarakani ni CCM, CHADEMA, CUF or whoever. Unapolinda mipaka ya nchi yako isn't all about "huyu hajanishambulia mimi" au "hajanichokoza mimi" it's all about studying the reckless behavior of a particular leader. Katika masuala ya usalama ni muhimu sana kuangalia tabia za jirani yako. From 1980 to 1988, Kuwait alimsaidia sana Saddam Hussein kifedha kwenye vita kati ya Iraq na Iran. Lakini miaka miwili tu baada ya kwisha vita ya Iran-Iraq, Saddam Hussein yuleyule aliyesaidiwa na Kuwait akaivamia nchi iliyomsaidia! Paul Kagame, ni aina ya viongozi sawa na Saddam Hussein.

Ya nini kwenda mbali kote huko! Huyu Paul Kagame alitokea Uganda wakati majeshi yake yanaingia Rwanda. Aliishi Uganda na kuitumikia serikali ya Museven kama Mganda! Hata hivyo, majeshi ya maswahiba hawa wawili wala hawakuacha kupigana walipokutana kwenye ardhi ya kigeni...! Never trust people like Kagame or even Museven.
 
PK lazima apate kitu cha kum-keep busy ili DRC na maziwa makuu kwa ujumla kuwe na amani, FDLR wakiwezeshwa wanaweza.
 
Mbaya zaidi ni kwamba anatafuta pa kushikia wakati amefumba macho...kinachofuata hapo ni kugusa nyaya za umeme ambazo hazipo insulated huku zikiwa ni high voltage...

Mkuu Kagame akili anayo hawezi kuanzisha full war na bongo.. Anajua kitakachomkuta.. Sema anajaribu ku-create tension ili kuhamisha attention za watu kutoka yale mauaji anayowafanyia wapinzan wale kwenda kwa majiran zake.. Huyu jamaa ni janga aiseee..
 
It is stu.id as well as provocative to suggest that Tanzania is welcoming terrorists in the country. I may be not conversant with whether FDLR is designated as terror group.

If Tanzania hosted FDLR members there has to be a reason, a genuine one. But i do not believe that Rwanda can cry foul because Rwanda is itself doing so. If i am not mistaken there is a guy called General Rwarakabije, why is it a sin for Tanzania to host members of FDLR if Rwanda itself does the same?

You can never be a Catholic more than the Pope. Kama issue ndio hiyo basi waanze kulalamikiwa wanyarwanda wenyewe kwa kumkaribisha Rwarakabije, sisi hatuwezi kupambana na machinjachinja kuliko wanyarwanda wenyewe.

By the way huyu leo anayeitwa Paul Kagame tulimkaribisha mara ngapi wakati akiwa msituni? Vijana wetu wengi pale Shycom (japo watusi) walikwenda kujiunga na RPF. Inakuwaje iwe vizuri kumkaribsha yeye na sio wengine?
Au ndio unafiki.
And to make it short, Tanzania ni taifa huru! Hakuna wa kutupangia nani aingie na nani asiingie nchini mwetu! Hakuna wa kutupangia nani tujadiliane nae na nani tusijadiliane ndani ya ardhi yetu! Kama kuna anayeona tatizo katika hilo; hiyo ni juu yake na sio juu yetu! Kama anaweza kupigana na apigane badala ya kulialia!
 
Mkuu Kagame akili anayo hawezi kuanzisha full war na bongo.. Anajua kitakachomkuta.. Sema anajaribu ku-create tension ili kuhamisha attention za watu kutoka yale mauaji anayowafanyia wapinzan wale kwenda kwa majiran zake.. Huyu jamaa ni janga aiseee..
Hilo mkuu wangu nalifahamu sana na hata humu jamvini kuna mtu nimemwambia hapo kabla kwamba Kagame isn't that fool hata afikirie kuanzisha vita na TZ! Nakubaliana na wewe, anataka kuhamisha attention ya watu na watu katu hatutahama. Tutajadili kila jambo at every right time.
 
Mkichokoza vita na Rwanda tutawapeleka mafisadi wote wa CCM pamoja na familia zao wakapigane hivyo vita,Tunachohitaji sasa hivi ni jinsi ya kulipunguza hili deni la taifa la shilingi trillioni 60,kupunguza tatizo la ajira,kupunguza mfumuko wa bei,kupunguza gharama za maisha kwa kufuta kodi na tozo za kipuuzi kwa watu binafsi,kwa wazalishaji na wafanyabiashara au kupunguza viwango vya kodi na sio hivi vita vya kipuuzi mnavyovitafuta.Damn it!!!
Acha kuleta siasa za ndani kwenye masuala ya kitaifa wewe.
 
,Tunachohitaji sasa hivi ni jinsi ya kulipunguza hili deni la taifa la shilingi trillioni 60,kupunguza tatizo la ajira,kupunguza mfumuko wa bei,kupunguza gharama za maisha kwa kufuta kodi na tozo za kipuuzi kwa watu binafsi,kwa wazalishaji na wafanyabiashara au kupunguza viwango vya kodi na sio hivi vita vya kipuuzi mnavyovitafuta.Damn it!!!

Aliyekwambia tunataka vita watanzania nani ? Wapi? Kinachoongelewa ni amani ya kudumu ipatikane kongo na Rwanda sasa na siku zijazo.Kongo na Rwanda tunapakana nazo watu wetu wanaenda kwao na wao wanakuja kwetu.Kukiwa na amani watu wa pande zote watafurahi na watu wetu watafurahi.Kukiwa hakuna amani kongo au Rwanda miaka yote Tanzania ndio tumekuwa tukiumia zaidi kwa kupokea wakimbizi wanaomaliza raslimali zetu na kutuletea matatizo makubwa kiuchumi na kibajeti.Ndio maana ufumbuzi ni muhimu kwa uchumi wetu na bajeti yetu.

Deni la taifa ni pamoja na gharama kubwa za ulinzi wa mipaka maeneo yasiyo na amani kama hayo ya kongo na Rwanda.Moja ni kuhakikisha nchi tunazopakana nazo zinakuwa na amani ili na sisi tulale usingizi.Hela za ulinzi zipungue na kodi za watu kugharimia ulinzi zishuke!
 
Na kwa bahati mbaya raia hatufahamu kwamba wakati watu usiku tunakoroma huku wengine wakibadilisha kiwanja hiki na kile ucku kucha, wala hatufahamu kwamba kuna wengine wanakesha kuhakikisha usalama wa nchi! Tunadhani, muda wa kulala ukifika, basi Watanzania woooooooote tunalala na wengine wanaenda kujirusha kumbe kuna vijana huko wanakesha kuhakikisha watu tunalala na tunaendelea kulala kila cku pasi na shaka!
 
Aliyekwambia tunataka vita watanzania nani ? Wapi? Kinachoongelewa ni amani ya kudumu ipatikane kongo na Rwanda sasa na siku zijazo.Kongo na Rwanda tunapakana nazo watu wetu wanaenda kwao na wao wanakuja kwetu.Kukiwa na amani watu wa pande zote watafurahi na watu wetu watafurahi.Kukiwa hakuna amani kongo au Rwanda miaka yote Tanzania ndio tumekuwa tukiumia zaidi kwa kupokea wakimbizi wanaomaliza raslimali zetu na kutuletea matatizo makubwa kiuchumi na kibajeti.Ndio maana ufumbuzi ni muhimu kwa uchumi wetu na bajeti yetu.

Deni la taifa ni pamoja na gharama kubwa za ulinzi wa mipaka maeneo yasiyo na amani kama hayo ya kongo na Rwanda.Moja ni kuhakikisha nchi tunazopakana nazo zinakuwa na amani ili na sisi tulale usingizi.Hela za ulinzi zipungue na kodi za watu kugharimia ulinzi zishuke!

Aah wapi!Deni la taifa limesababishwa na mikataba haramu ya miradi isiyo na tija kwa taifa hili iliyosainiwa na maCCM kama vile MDGs & Symbion projects chini ya Wamarekani.
 
Pres Kagame ni mtu makini sana. Hawezi kutaka vita na Tanzania kwani anajua wazi ndio mpango wa kumuondoa utakamilika. My heart bleeds to see my country Tanzania having a track record of backing Hutu extremist murderers. Kama kweli FDLR wamekuwa hosted na Tanzania basi nchi hii imepoteza mwelekeo. Naanza kuamini madai ya muda mrefu kuwa hata silaha wanazotumia waasi wa FDLR zinapitia bandari za Tanzania. Hii ni aibu. Kwa maoni yangu, Rais Kagame ana kila haki ya kushtushwa na hili la Tanzania allegedly hosting FDLR and those selfish, ungrateful RNC traitors. Huwezi kuwakarimu wauaji wa ndugu zangu halafu uje kunishauri eti nizungumze nao, it's simply preposterous.
 
FDLR has an international acclaim as a Terrorist group, President Kikwete should be careful with this, but we should not intervene in domestic affairs of a sovereign state.

Kweli kabisa!!!!
 
Mbona kuna FDLR kibao walirudi Rwanda? Tofauti yao na hawa kina Twagiramungu ni nini, wote si 'genocidaires'?
 
Those stupid utterance have a good or bad end. you will never, never dictate your discriminatory ideology and practice to TANZANIA. You can flare whatever at the end of everything Tanzania does not receive orders from Kigali. As for eac you made a wrong decision to think that will influence Tanzania to be sympathetic tour criminal course
Hit the nail on the head, thank you sir!
 
FDLR has an international acclaim as a Terrorist group, President Kikwete should be careful with this, but we should not intervene in domestic affairs of a sovereign state.

We facilitated peace talks between Kagame/RPA and Rwanda in 1994 when Kagame was a terrorist who had been attacking a sovereign state of Rwanda for four years! Why is it a sin now to only listen to the political wing of FDLR, who by the way WAS THE GOVERNMENT OF RWANDA in 1994?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom