Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
Nyote mnaoweka jukwaani picha za watu waliouawawa kikatili mnapashwa kupigwa ban.

neno sahihi ni....."mnapaswa"..........

"mnapaswa"...kufungiwa
"mnapaswa"...kula chakula bora
"mnapaswa"....kutumia maarifa na kusoma kwa bidii....

"mnapashwa"...Habari/taarifa
"mnapashwa"...moto/joto
 
By the way tangu hiyo kum hit shit itokee mbona wameshakutana,nyie mmebaki na ujinga wenu...move on it was non issue

....that is/was not kuvizia.......BTW JK alishajibu kuwa maneno yale hayatapuuzwa......
 
What has Laurent Nkunda got to do with Tanzania? We have so many internal problem why do we want to make Rwanda our problem too?

You have got to look at this matter in a bigger picture/beyond that picture.......I'm sorry/afraid you missed this one!
 
Ndoto za mchana hizo.

MUKAMASIMBA Najua wewe ni miongoni mwa watu wanaolipwa na Rais Poul Kagame kwa kufaya kazi hapa jamiforums ukimdanganya ati ni intelligence firm based in dar es salaam mwambie maadui zake ni akina Jaco Z uma anaehifadhi wapinzani wake live bila chenga wengine ni USA na UN na wengine wapo ubeligiji kila siku TANZANIA au kwa akili zenu zinazoshia kwenye urefu wa pua zenu mnahisi Tanzania ni weak target mnajidanganya siku tukiingia kigari our aim will be to sweep and to clear the RPF and slim killer once and for all, hata pata mda wa kurudi Rwanda na kuwaomba msamaha wanyarwanda kwa kuwaingia vitani , meteseka miaka mingi uhamishoni nyinyi tulieni mfaidi kua huru msione simba kanyeshewa mkadhani paka mnataka kushika sharubu, haya kagame kashika mkia wa mbuzi afu anatuuliza eti anayea wapi? MAY GOD BLESS TANZANIA AND EAST AFRICA EXCD RWANDA
 
Call it a comedy; it is true your not my level; you are simply a stupid cant obsessed by genocidal illusions and hallucinations; fanatic of murderous behavior paraded by Paul Kagame in TUTSI EXTREMISM.

Haaaa aaaaahhh we si upo Kigali?lianzishe huko huko bana,unachoandika humu go public hapo ulipo tumechoka na mikwala mbuzi yako
 
You have got to look at this matter in a bigger picture/beyond that picture.......I'm sorry/afraid you missed this one!

Just be honest ogah...hivi Kuna tatizo gani serious btn these 2 countries au ni ushabiki tuu na agenda za siri za baadhi ya wachangiaji humu?
 
M23 ni wakimbizi wameomba hifadhi,siyo kufanya mikutano ya kushambulia congo,tofauti na hao waliopokelewa na jk,wao wametangaza kweupe kuipindua serikali ya pk kwa mtutu,hawa M23 wamesaini mkataba wa kuacha vita milele,sasa msitake kuutetea ujinga,kikwete amejitangaza kua adui wa rwanda kwa kuwakaribisha hao watu,na kama wewe hujui kinacho endelea tulia si muda murefu utaelewa.

sijui kwa nini unajaribu kuwapamba M23. Vipi kuhusu Laurent Nkunda? Kagame ni bure kabisa na hatuna haja ya kusikiliza uchafu wake. Amewapa hifadhi siku zote waasi wa Congo, akiulizwa anasema hapana. Wamepigwa na kuingia tena Rwanda sasa anasema hana mkataba wa kubadilishana wafungwa na Congo. Wewe unasema ni wakimbizi.

kwa nini anadhani TZ ina jukumu la kumusaidia ujinga wake.

Baada ya hotuba yake iliyopita kuhusu kupambana na wanaoipinga serikali yake, nimempa sifuri kabisa! Rais anaunga mkono mauaji ya raia wake, hata kama wako ugenini! Hebu aje amchukuwe Pinda wakaunde serikali. Wapigwe tu, liwalo na liwe.
 
Kwa hiyo mlidhani kumtisha Rais halali wa Tz ni personal issue kama kumtusi Obama...te te te...this is Tz...

Na utofautishe kati ya tusi toka kwa rais kwenda kwa rais mwenzake na comments kama za humu JF dhidi ya marais...PK ni rais hivyo alipaswa kuwa calculative kwa kila anachozungumza kama angekuwa smart enough...


Wewe mtu kamshauri ki ustaharabu...'tumia mazungumzo maana vita imekushinda'; alipaswa akubali au akatae ...badala yake imekuwa nong'wa; anaropoka utasema kawekewa mota mdomoni...leo hili kesho lile


Anatukanwa Obama kila usiku na kutishiwa lakini mbona sijawahi ona watu wasting their time and go ballistic kama nyie,you guys are just exaggerating.. upuuzi mtupu,hizo energy mazotumia towards Kagame mngewekeza kwenye real issue to fight corruptoons and a daylight robbery unaofanywa na mafisadi
 
Anatukanwa Obama kila usiku na kutishiwa lakini mbona sijawahi ona watu wasting their time and go ballistic kama nyie,you guys are just exaggerating.. upuuzi mtupu,hizo energy mazotumia towards Kagame mngewekeza kwenye real issue to fight corruptoons and a daylight robbery unaofanywa na mafisadi

kwa hiyo unaona ukituchanganyia-changanyia kiingereza na kiswahili ndo tutaona una akiiiiili! boooozi mkubwa wewe. aliekwambia tumekaa kimya kuhusu corruption nani?
 
kwa hiyo unaona ukituchanganyia-changanyia kiingereza na kiswahili ndo tutaona una akiiiiili! boooozi mkubwa wewe. aliekwambia tumekaa kimya kuhusu corruption nani?

Samahani mkuu Mimi sipendi kuchanganya lakini nasahau lakini Napenda pia niandike kiswahili safi ila ngumu
 
Anatukanwa Obama kila usiku na kutishiwa lakini mbona sijawahi ona watu wasting their time and go ballistic kama nyie,you guys are just exaggerating.

Obama ni Obama na Kikwete ni Kikwete majina tofauti toka nchi tofauti zenye watu tofauti.
Tanzanians are not copy cats who copy and paste what Americans do at their internet cafe.
 
Mkuu nipo pamoja nawe.safi sana WaTz kwa uzalendo kwa nchi yetu .nimeona wote tumeondoa tofauti zetu za siasa na dini na kuwa kitu kimoja .big-up wakuu .mungu ibariki Tanzania
 
Ignorant,misinformed, exiled Hutu,wahutu wa bongo in full force today...PK is my hero.

Here in Tanzania, a hero can be a hutu, tutsi or anyone who does a heroic thing, especially those who save peoples' lives, not those who take it. Those who foster peace and development, not those who torpedoe them, those who value democracy and human dignity, not otherwise. We have eyes, ears and other senses, we heard, saw and felt what happen in Rwanda from 1990 to 2014. That is why when you bring that "informed political gibberish" here no one is buying it. We do not rely on any official sexed up information about killings. We did receive hutu and tutsi refugees, and all came with first hand information of what happened, we still have them even now as we speak, and they were there when genocide was taking place, not in Uganda, Tanzania or Kenyam, there were there on the ground. You can fool westerners with that arrogant informed "ignorant, misinformed exiled hutus and bongo hutus", not us.

By the way, we have brothers who are hutus, and brothers who are hutus, and their minds are not murderous as yours, and have bled for Tanzania, fought for Tanzania, fought for peace, forught for dignity, respect and are loyal to the land that gave them peace, the land that gave them shelter, the land that gave sense of security to study and pursue whatever they want.

The way you speak your mind does not make you any different with Colonel Bagosora, i just hope you will soon be discoverd that you are serving his course, and endangering future of tutsis even those who live in Tanzania.

Let PK be your hero, do not expect PK will be a hero in Tanzania, in Tanzania we have our own heroes, and they will always be so.
 
Mkuu nipo pamoja nawe.safi sana WaTz kwa uzalendo kwa nchi yetu .nimeona wote tumeondoa tofauti zetu za siasa na dini na kuwa kitu kimoja .big-up wakuu .mungu ibariki Tanzania

Ni kweli naona MAGAMBA wanafanikiwa sana katika haka kamchezo,uchaguzi unakaribia.
 
Nawewe ni walewale WAHIMA,urudi kwenu na mizigo yako kabla hujarudi na nguo zako tu.Fanya hima
hata kiswahili hujui vizuri halafu unajifanya mtz sana kuliko mimi,jk kashaonyesha dalili nyingi kuwa ni failure,wewe toka povu tu,anajiingiza sana kwenye mambo ya nje wakati kwake hoi hata mishahara anashindwa kulipa,anataka kumuiga nyerere aliyetengeneza wanamapinduzi hapa tz,times have changed..unajifanya mtz sana kumbe ukute wewe ndio mkimbizi.
 
Bongolander Very well documented.......The Problem is the Tutsi's not even all Rwandans.....These people are blood stinkers.......
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli naona MAGAMBA wanafanikiwa sana katika haka kamchezo,uchaguzi unakaribia.

U think so eeeehhhh? Watanzania ni wamoja...tumekua pamoja...tuko pamoja na tutasimama pamoja...Usitarajie katika upumbavu wenu huu wa kum attack rais wetu tutaingiza U CCM na UCHADEMA.
 
Tofautisha DRC na TANZANIA,-DRC wanawahifadhi na kuwa saidia waasi wa rwanda,je Rwanda ina wahifadhi waasi wa tanzania? najua hujanielewa,nasema nyie tanzania mnaugomvi upi na rwanda mpaka muwaarike waasi wa rwanda katika aridhi yenu? hivi ingekua kwamba kuna waaasi watanzani ndani ya rwanda nisinge shangaa hiyo move ya tanzania.

Kipindi cha utawala wa Makaburu kule South Africa.Kina Mandela na ANC walikua waasi...Tuliwakaribisha ...tukawapa makazi pale MAZUMBU morogoro...Tukawasaidia wakapambana na utawala dhalimu wa kibaguzi wa Afrika Kusini.....kwa sababu walikua the Oppressed society...Vivo hivo wale wanaopigania uhuru wa kweli tutawakaribisha daima na kuwasaidia.......By the way...TZ is a sovereign state...Kigali haiwezi kuichagulia marafiki......
 
Bongolander PK mwanaume bwana,ukubali usikubali ukweli utabaki palepale,anamzidi kwa mbali sana huyo luhanga wenu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom