Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
Hao Rwanda wanaolalamika kila siku ambao hakuna mjadala kwamba wana-intervene DRC's domestic affairs...je, DRC sio sovereign state? Kagame ni tatizo katika ukanda huu...huwezi kushauriwa kufanya mazungumzo kumaliza mizozo halafu unakuja juu! Kama anadhani AK47 ndio suluhisho, kwanini hamalizi basi? For how long is he going to end this using AK 47? By the way, who named FDLR kwamba ni terrorist group? US, or? Huyo US mwenyewe ambae ni hodari kwa kuwa-brand wenzake kwamba ni magaidi mbona aliomba kufanyika kwa mazungumzo na Taliban? Is Taliban no longer terrorist group? Hivi kuna gaidi ukanda huu zaidi ya Kagame?
Mbona wakati wa mauji ya harahiki Tz amkufanya chochotekusaidia? Leo nchi imetulia imekuwa taabu!!!
 
Mbona kuna FDLR kibao walirudi Rwanda? Tofauti yao na hawa kina Twagiramungu ni nini, wote si 'genocidaires'?

Mkuu waliorudi walijutia makosa yao na kuwa integrated back into society. This is testimony to the harmonized and welcoming plight to greet any Rwandese willing to give up the life of hatred and embrace freedom and unity in its stead. Wanaorudi wanaishi vizuri tu. Ni wale wauaji wasiotaka kurudi ndio wenye kuleta chokochoko. By the way, when are your UN forces going after the FDLR? It's been months now. Ha ha ha ha.
 
Mbona wakati wa mauji ya harahiki Tz amkufanya chochotekusaidia? Leo nchi imetulia imekuwa taabu!!!
Tanzania sio Rwanda au Uganda ambazo zinaweza kuingia ndani ya mipaka ya nchi nyingine kiholela bila go ahead ya UN or AU. Ulitaka TZ iingie Rwanda ili isimame upande wa nani? Narudia, Tanzania sio Rwanda na ndio maana hata Kabila Mkubwa alipoingia Zaire, Tanzania haikupeleka majeshi kumsaidia Kabila. Na kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Kabila aliposhika madaraka, TPDF walipeleka wataalamu kutoa mafunzo ya kijeshi kwa Jeshi la Ulinzi DRC. Unfortunately, baadae mapigano yakaibuka tena DRC...Tanzania ika-withdrawal majeshi yake. We're not warmongers like Kagame or Museven; MUKAMASIMBA anatuita eti waoga; kwake kupigana ndo sifa hata kama ni reckless war.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu waliorudi walijutia makosa yao na kuwa integrated back into society. This is testimony to the harmonized and welcoming plight to greet any Rwandese willing to give up the life of hatred and embrace freedom and unity in its stead. Wanaorudi wanaishi vizuri tu. Ni wale wauaji wasiotaka kurudi ndio wenye kuleta chokochoko. By the way, when are your UN forces going after the FDLR? It's been months now. Ha ha ha ha.
Come on dude, gimme a break! Sasa hao wengine watajutia vipi makosa yao na kuwa integrated into the society ikiwa hutaki kuzungumza nao?!
 
And to make it short, Tanzania ni taifa huru! Hakuna wa kutupangia nani aingie na nani asiingie nchini mwetu! Hakuna wa kutupangia nani tujadiliane nae na nani tusijadiliane ndani ya ardhi yetu! Kama kuna anayeona tatizo katika hilo; hiyo ni juu yake na sio juu yetu! Kama anaweza kupigana na apigane badala ya kulialia!

Sawa sawa hapa ni kwetu wala hatujapanga,hatuhitaji masharti ya kuishi masharti akampangie mama yake.
 
Piga tu huyo nzi. FDLR na RNC wakiunganika wataleta amani na demokrasia ya kweli rwanda. Kagame ameleta udikteka kwa kisingizio cha mauaji ya kimbari wakati yeye na genge lake ndio chanzo cha uhasama ulioleta mauaji ya kimbari. Eneo lote maziwa makuu amani ilipotea kutokana na kagame, museveni na genge lao kuendeleza sera za kimbari. Viva rwanda bila kagame.
 
Mkuu waliorudi walijutia makosa yao na kuwa integrated back into society. This is testimony to the harmonized and welcoming plight to greet any Rwandese willing to give up the life of hatred and embrace freedom and unity in its stead. Wanaorudi wanaishi vizuri tu. Ni wale wauaji wasiotaka kurudi ndio wenye kuleta chokochoko. By the way, when are your UN forces going after the FDLR? It's been months now. Ha ha ha ha.

Unasema ati waliorudi walijutia makosa yao yepi hayo wakati mahakama zipo. ipo ya kimataifa ya ICTR, zipo zile feki za gacaca...n.k Hawa wana umuhimu gani mpaka eti 'wamesamehewa'. Ukweli ni kuwa majority ya members wa FDLR ni wakimbizi wa tu wa kihutu. Their only crime ni kutokukubaliana na mapinduzi ya Kagame 1994, jambo ambalo ni haki yao. Hao waliorudi ni kama watu waliohama CHADEMA kwenda CCM. Ndio maana wengi wa viongozi wa FDLR leo wamepewa post kubwa kubwa ndani ya Serikali. Hivi kwa akili ya kawaida kama propaganda za kuwa FDLR ni kundi la wauaji hili lingewezekana vipi? akina rwakabije, rucagu, gashinzi.....
Mbona hakuna orodha yoyote ya watu specific ndani ya FDLR wanaotuhumiwa kwa makosa? Ukweli ni kuwa kagame prefers kuwa dunia ione kwamba FDLR nzima ni magaidi, ndio maana ya propaganda ya kutuaminisha kuwa FDLR wote ni genocidaires, bila kusema exactly nani alihusika kwa sababu hana ushahidi huo.
 
Mbona wakati wa mauji ya harahiki Tz amkufanya chochotekusaidia? Leo nchi imetulia imekuwa taabu!!!

we umezaliwa juzi nini, sisi ndio tuliweka mazungumzo ya amani pale arusha kuepusha hayo mauaji, guess who broke them? baada ya hapo nani alihifadhi wakimbizi, wapi ipo mahakama ya hayo mauaji? Halafu nani anamtishia maisha rais wa nchi nyingine? bahati yako hakuna button ya kusonya!!
 
Rwanda wana chokochoko na sijui wanatutafuta nini

Hata hivyo,suala hili ni serious.Sasa waziri wa mamabo ya nje Bernard Membe,Waziri wa Afrika Mashariki na au Msemaji wa serikali ndugu Assah Mwambene atoe ufafanuzi kuhusu hili

Kama Rais amefanya mazungumzo na watu waliosema wataiondoa serikali kwa mtutu wa bunduki basi ni kosa la kidiplomasia.Hapa ni lazima tuwe makini.Huwezi kufanya mambo kizembe namna hiyo
 
Ikiwa umepanga nyumba ya Mlokole ama Ansal Sunn, ama mtu yeyote asiyependa kabisa kuhusu pombe, basi hata wewe mpangaji utachelea kurudi nyumbani pale unapokuwa umeutwika kisawasawa! Lakini ikiwa umepanga nyumba ya chapombe mwenzako, hofu ya nini?! Kimsingi nakubaliana na wewe kwa 100% kwamba hilo ni kosa la kidiplomasia; hata hivyo Kagame ameshatamka hadharani tena mchana kweupe na mbele ya kadamnasi kwamba yeye na diplomasia; hapana, hataki wala kusikia coz' amani asilani haiwezi kuletwa kwa mazungumzo/njia ya diplomasia bali ni lazima AK 47 ichukue nafasi ya diplomasia! Na kama wanaamini tumewakosea kidiplomasia basi simple tu; wamuite balozi wao nyumbani ili kuonesha dhahiri kwamba wameghadhibika. But all in all, hawa Wanyarwanda, hususani media guys ni kama wanaweweseka bila sababu! FDLR si waasi wa kwamba wala mwisho kupata si tu kuja bali hata kuishi hapa Tanzania. Chief Accomplice of Kagame, Yoweri Kaguta Museven, nae alitokea huku huku Tanzania. Kimsingi, hata Museveni nae alikuwa ni muasi. Au ndo ile hofu kwamba, Kaguta akitokea TZ; akainyakua UG, Laurent Kabila huku akitokea TZ akainyakua DRC kwahiyo kitakachopita akilini mwa Kagame ni kwamba badi hata hao FDLR watainyakua Rwanda kutokea TZ...hii ni hofu ya vicheche! Kama ambavyo wao wasipofanya kosa wanapopata japo dakika moja ya kuwa na mademu wa wenzao, basi hata wale wa kwao wakiwakuta angalau tu wamesimama na jamaa, pressure juu! Na kwa hakika Kagame ana kila sababu ya kuwa pressure juu kwa maana hata yeye alitokea Uganda kama muasi akainyakua Rwanda...ama kweli, mkuki kwa nguruwe, wala huna haja ya kumtundika nao mwanadamu, mgusishe tu na kale kancha kake uone atakavyong'aka kwa kihoro na hofu huku akisahau kabisa kwamba ni jana tu alitumia maguvu yake yote na utalaamu wake wote wa kulenga shabaha ili mradi tu umpate bwana nguruwe kisawasawa!!! Tumkumbushe tu Comrade Kagame kwamba ukiwa hodari wa kuvamia na kuvimeza vya wenzako vilivyo vitamu basi hata vilivyo vichungu huna budi kuvimeza! Na ikiwa utalazimika kuvitema, basi usiviteme kwa chuki na hasira huku ukiwa umekunja ndita kwa hasira na kisirani kiasi cha kutamani kummeza yeyote atakayejaribu kupita jirani nawe! Kagame is a big threat to our national interest; but am not talking of war, but if that is only what it takes to preserve our interests, then let it be.
 
Kuna kitu gani cha ajabu hapa?.

Kwa mtu anayeifahamu historia ya Tanganyika/Tanzania katika kupigania haki za wanyonge wa kisiasa siyo barani Africa peke yake, bali duniani kote hawezi kupatwa na mshangao kusikia kuna kundi la watu au wakimbizi nchini wanaoishi au kupanga mikakati ya namna ya kuondokana na unyanyaswaji katika nchi yao.

Rais Paul Kagame akiwa ni mmoja wa wanufaika wa hisani ya Tanzania kabla ya kwenda Uganda na Rwanda na kuanza kubadili sura yake kiutawala na kuwa oppressor lazima atakuwa anafahamu vizuri mtazamo wa Tanzania katika kupigania haki za msingi za wanyanyaswaji na hasa cadres of the liberation movement.

Marehemu Mandela zaidi ya kumpa a warm welcome, ilibidi pia tumsindikize kwa kumpatia pasi ya kusafiria while also availing places to live and train Umkhonto we Sizwe. Hatukuwajibika kujibu kwa yoyote yule.

Rais Kagame na Mseveni wakati wanapata mafunzo ya kivita nchini, hatukuwajibika kujibu kwa yoyote yule.

Tanzania hatujawahi kuchaguliwa rafiki au adui na ndiyo maana hata tuliamua mwaka 1964 kuwa kwenye Non-Aligned countries. Hatuawajibiki kuiambia nchi nyingine nini tunakifanya na hasa kama kile tunachokifanya kitakuwa kwanza kwa maslahi yetu kama nchi na kikubwa kabisa, hakuna international or East African member countries arrest warrant kwa hawa candres wa mapambano nchini Rwanda.
 
Those stupid utterance have a good or bad end. you will never, never dictate your discriminatory ideology and practice to TANZANIA. You can flare whatever at the end of everything Tanzania does not receive orders from Kigali. As for eac you made a wrong decision to think that will influence Tanzania to be sympathetic tour criminal course

Marekani haikuwahi kutuzuia kuongea na Fidel Castro
Uingereza haikuwa kutuzuia kuongea na Mugabe au Nkomo
Raila Odinga amekulia Msasani na kupewa paSsport yenye nembo ya Adam na Hawa
Thabo Mbeki haijulikani kama amesharudisha passport yake
Waisrael hawakuwahi kuhoji ubalozi wa Palestina pale Upanga
John Garang si kuwa ni alumni wa UDSM bali ameshawahi kutuma mwakilishi kuja UDSM kuongea
ANC walikuwa na makazi mazimbu, PAC wakawa nayo Chunya
Mreno hakuwahi kutuzuia kumhifadhi Mondlane au Machel

Kwa kifupi ni kama alivyosema mimi baba hapo juu
 
Nauliza tena; ni lini majeshi ya UN yatashambulia FDLR??? Acheni propaganda za kutaka kumuondoa Rais halali wa Rwanda - Paul Kagame. Umoja wa Mataifa hauna mamlaka ya ki-maadili kuonyeshea vidole, wenyewe unahusika moja kwa moja kutaka kumpindua Pres Kagame. If it wasn't for enlightened world bigwigs like former Pres Clinton, the good Republican Senator Inhoffe and others, the UN would have already invaded Rwanda. Shame shame.
 
aah kama ye aliingia madarakani kwa kupindua na yeye apinduliwe tu au ndo mkuki kwa nguruwe .....
 
we umezaliwa juzi nini, sisi ndio tuliweka mazungumzo ya amani pale arusha kuepusha hayo mauaji, guess who broke them? baada ya hapo nani alihifadhi wakimbizi, wapi ipo mahakama ya hayo mauaji? Halafu nani anamtishia maisha rais wa nchi nyingine? bahati yako hakuna button ya kusonya!!

He? Hata wewe jmali unajiita mtanzania? huna hata aibu mimi nimekufuatilia kwa makini sana wewe 100% ni interahamwe iliyotoroka gacaca,we subiri zamu yako utapelekwa rwanda kichwa chini.
 
aah kama ye aliingia madarakani kwa kupindua na yeye apinduliwe tu au ndo mkuki kwa nguruwe .....

Kwataarifa yako kachaguliwa mara ya pili na wanyarwanda,nafikiri watanzania mkubali kwamba hapa mmekosea,mnayo yafanya siyo,rwanda ni najirani wenu,kusaidia wauaji nikujiharibia sifa yenu,kingine naona mnahamu ya vita,ni waulize kifua mnacho? au ni uswahili tu vitisho vya mdomo?
 
Sawa sawa hapa ni kwetu wala hatujapanga,hatuhitaji masharti ya kuishi masharti akampangie mama yake.

Sasa punguzeni maneno,waungwana huomba msamaha,mlifikiri mmejificha ahahah wenzenu wameivuta hiyo,mngekua wawazi basi kwani jk na hao materahamwe wafanye mkutano kwa kujificha,jk akubali kwa pk si maji yake!,na kwa taarifa yako jk anamfahamu fika pk kua ni smart kumzidi,hayayote anayofanya ni uoga tu,kinacho nisikitisha ni kwamba watakao athirika ni watanzani wasio na hatia,just kwa sababu ya interest aijuae yeye mwenyewe jk.
 
Nauliza tena; ni lini majeshi ya UN yatashambulia FDLR??? Acheni propaganda za kutaka kumuondoa Rais halali wa Rwanda - Paul Kagame. Umoja wa Mataifa hauna mamlaka ya ki-maadili kuonyeshea vidole, wenyewe unahusika moja kwa moja kutaka kumpindua Pres Kagame. If it wasn't for enlightened world bigwigs like former Pres Clinton, the good Republican Senator Inhoffe and others, the UN would have already invaded Rwanda. Shame shame.

mkuu hiyo sahau nilisoma article moja kwenye net ni kwamba wapiganaji wa fdlr na wale wa jeshi la congo huwa wanashirikiana hata kwenye vita si unajua tena the enemy of your enemy is your friend!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom