ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
- Mwamko Africa?,we would rather talk of the democratic Ghana that the Dictatorial regime in Rwanda.Bajeti ya Rwanda (2013/2014) ni tegemezi kwa kiasi kikubwa kwa hio hakuna la kujitapa hapa.Asilimia 49% inategemea misaada kutoka nje ikiwa ni pamoja na Grants na mikopo .http://www.minecofin.gov.rw/uploads/media/The_National_Budget_-_a_Citizen_s_Guide_2013-2014_01.pdf. Sasa kujitegemea huko kuko wapi?.
- Unaongelea Evidence ya Uhusika wa France kwenye Genocide.....Kwa nini msitoe hiyo evidence sasa? mnasubiri nini? kwa nini msiende mahakamani sasa? mnasubiri nini? Unajua msidhani watu wote ni wapumbavu na wavivu wa kufikiri .......Dont think watu wote wanadanganyika kwa simple arguments kama hizo.
- Mwaka 1994 Walikufa wote...Both watusi na wahutu...Ingawa watusi walikua wengi....Pia Genocide haipaswi kutumiwa kama njia ya ku oppress the Hutu society ...eti kwa sababu Genocide ilisababisha watutsi wengi wafe.....Utawala wa kidikteta wa Rwanda unatumia Genocide card pale unapokuwa challenged.....Jumuiya ya kimataifa sasaivi imewashtukia...Kwa sasa the Opressed class ni wahutu....mmewafukuza watu nchini kwao na sasa wako uhamishoni....Kama watutsi walivoichukua nchi wakitokea uhamishoni...Vivo hivyo wahutu wataichukua nchi...Yes..One day...Unless mkae katika meza ya mazungumzo.
- Sina haja sana ya kukueleza kuhusu nguvu ya Tanzania kijeshi,...wewe mwenyewe unajua M23 wako wapi kwa sasa.Niambie ni operation ipi ya Kijeshi Tanzania imewahi kushiriki na ikashindwa?
- Hakuna anaepanga mabaya kwa Rwanda...Tanzania ni kimbilio kwa wanaoonewa...Tumefanya hivo kwa South Africa,Tumefanya Mozambique...Zambia..Zimbabwe..Botswana ...Uganda....Commorro...Madagascar na kwingine....Wote wanaoonewa tunawakaribisha kwa mikono miwili na tunawasaidia kupata VICTORY
Waambie hawa jamaa.