Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
Mimi sina mengi kama uko mwanaume peleka pua yako rusumo tu na hao materahamwe wako utaona cha mtemakuni thubutu!
attachment.php

The still president of Rwanda Paul Kagame Should be arrested and brought to justice

Attachments

  • pk1.jpg
    pk1.jpg
    21.6 KB · Views: 267
Tanzania hivi hizi hostilities towards Rwanda zinatoka wapi?what I know TZ haijawahi kufanyiwa chochote kibaya au kuibiwa anything na Rwanda,seems Kuna some ignorance humu inaendelea na wachangiaji wemgine pausing as Tanzanian kumbe ni exiled hutu,na wengine ni wahutu wa mikoa ya mipakani wanaochukia watutsi tuu,msijidanganye na idiocy fantasy zenu na kama mnafikiri JK atalianzisha on your behalf that will never happen, mtaishia makelele tuu na Kesho mtawaona JK Na PK wakinywa coffee pamoja..kama Hamna Kazi kavueni samaki wapuuzi wote nyie.
 
Hayo mengine ya hawa wauaji
attachment.php
 
Attachments

  • pk2.jpg
    pk2.jpg
    93.9 KB · Views: 225
Tanzania hivi hizi hostilities towards Rwanda zinatoka wapi?what I know TZ haijawahi kufanyiwa chochote kibaya au kuibiwa anything na Rwanda,seems Kuna some ignorance humu inaendelea na wachangiaji wemgine pausing as Tanzanian kumbe ni exiled hutu,na wengine ni wahutu wa mikoa ya mipakani wanaochukia watutsi tuu,msijidanganye na idiocy fantasy zenu na kama mnafikiri JK atalianzisha on your behalf that will never happen, mtaishia makelele tuu na Kesho mtawaona JK Na PK wakinywa coffee pamoja..kama Hamna Kazi kavueni samaki wapuuzi wote nyie.

Haya maneno waambie team ya watutsi inayoleta chokochoko kama MUKAMASIMBA. Kwa nyongeza nilishudia 1994 ukatili wa aina yake wakutelekezwa vitoto vichanga vya wiki moja kwa sababu siyo watusi. Mahali Arusha AICC qtrs and Govt qrts. Hiyo siyo genocide kwa watutsi?

Wewe mwenye kazi hapa JF na sisi tuna kazi pia hapa hapa JF. Wewe si mpuuzi unapigania kuishi kumbukumbu ya maovu ya Kitutsi yanayokusumbua kichwani.

Usisahau ukipanda miba usitegemee kuvuna mahindi; na hasa baada ya kusitiriwa kama wakimbizi na kutoroka usiku usiku 1994 kwenda kukamilisha genoside Rwanda
 
Unajua ile pact yao ya ulinzi Rwanda->Uganda->Kenya ndo imempa tena kichwa PK. Mwanzo alifikiri yupo strong baada ya M23 kutolewa nduki akanyong'enyea kweli.

Ushawahi kusikia Kenya na Tanzania wanatishiana.Tulishawahi mpka kubadiliahana wafungwa wa kisiasa lakn hawakuwahi kuropokeana.
Tatizo la Rwanda wanakosa wanadiplomasia waliobebea, wote serikalini nahisi ni watu waliopata mafunzo ya jeshi na ujasusi tu.
 
Haya maneno waambie team ya watutsi inayoleta chokochoko kama MUKAMASIMBA. Kwa nyongeza nilishudia 1994 ukatili wa aina yake wakutelekezwa vitoto vichanga vya wiki moja kwa sababu siyo watusi. Mahali Arusha AICC qtrs and Govt qrts. Hiyo siyo genocide kwa watutsi?

Wewe mwenye kazi hapa JF na sisi tuna kazi pia hapa hapa JF. Wewe si mpuuzi unapigania kuishi kumbukumbu ya maovu ya Kitutsi yanayokusumbua kichwani.

Usisahau ukipanda miba usitegemee kuvuna mahindi; na hasa baada ya kusitiriwa kama wakimbizi na kutoroka usiku usiku 1994 kwenda kukamilisha genoside Rwanda

You dont know what you are talking about,ignorance and misinformation is the name of the game here, you prove my point...have a nice day.
 
Haya maneno waambie team ya watutsi inayoleta chokochoko kama MUKAMASIMBA. Kwa nyongeza nilishudia 1994 ukatili wa aina yake wakutelekezwa vitoto vichanga vya wiki moja kwa sababu siyo watusi. Mahali Arusha AICC qtrs and Govt qrts. Hiyo siyo genocide kwa watutsi?

Wewe mwenye kazi hapa JF na sisi tuna kazi pia hapa hapa JF. Wewe si mpuuzi unapigania kuishi kumbukumbu ya maovu ya Kitutsi yanayokusumbua kichwani.

Usisahau ukipanda miba usitegemee kuvuna mahindi; na hasa baada ya kusitiriwa kama wakimbizi na kutoroka usiku usiku 1994 kwenda kukamilisha genoside Rwanda

Duh naaona Wanyarwanda mmeliteka nyara jukwaa letu la Jamii Forums na kuligeuza kuwa uwanja wa mapambano wa kipropaganda kati yenu.
 
Ushawahi kusikia Kenya na Tanzania wanatishiana.Tulishawahi mpka kubadiliahana wafungwa wa kisiasa lakn hawakuwahi kuropokeana.
Tatizo la Rwanda wanakosa wanadiplomasia waliobebea, wote serikalini nahisi ni watu waliopata mafunzo ya jeshi na ujasusi tu.

Ndilo tatizo la hawa wanaoleta propaganda wakiamini kabisa kwamba Kenya inaweza wasaidia. Kenya wapo kibiashara tu hapo wametegeshea, jamaa wana calculate mambo si unaona S.Sudan wamegoma kupeleka majeshi. Tatizo nafikiri la PK, tunavyobishana na wakenya anafikiri ni kama uhasama wa wahutu na watutsi. Kumbe kinachobishaniwa kati ya Kenya na Tanzania ni sawa na simba na yanga, ama Leopard na gor mahia.
 
Ignorant,misinformed, exiled Hutu,wahutu wa bongo in full force today...PK is my hero.
 
Duh naaona Wanyarwanda mmeliteka nyara jukwaa letu la Jamii Forums na kuligeuza kuwa uwanja wa mapambano wa kipropaganda kati yenu.

Wambie mkuu....ahahahahha UMEISHAONA VITA YA WATUSI NA WAHUTU ahahaha utaiona mwakahu tena.
 
Ignorant,misinformed, exiled Hutu,wahutu wa bongo in full force today...PK is my hero.

Ukiona mtu anatoa povu bila kutoa hoja mbadala imemuingia. Your hero is a murderer and so are you. Innocence is my hero
 
Ndilo tatizo la hawa wanaoleta propaganda wakiamini kabisa kwamba Kenya inaweza wasaidia. Kenya wapo kibiashara tu hapo wametegeshea, jamaa wana calculate mambo si unaona S.Sudan wamegoma kupeleka majeshi. Tatizo nafikiri la PK, tunavyobishana na wakenya anafikiri ni kama uhasama wa wahutu na watutsi. Kumbe kinachobishaniwa kati ya Kenya na Tanzania ni sawa na simba na yanga, ama Leopard na gor mahia.
Uoga wanini kaka? tulia rwanda inajitosheleza kuwadhibiti, wametulia hawana wasiwasi,hizi habari nikuwaelewesha kwamba mnachopanga wanakielewa siyo uoga.
 
Tatizo la Rwanda wanakosa wanadiplomasia waliobebea, wote serikalini nahisi ni watu waliopata mafunzo ya jeshi na ujasusi tu.

Uko sahihi Rwanda haina wanadiplomasia waliobobea.

Rwanda kuna waimba kwaya wajuao kuimba nyimbo mbili tu.
Wimbo wa kwanza ni wa kumsifu Kagame na wa pili ni kuimba kuhusu Genocide.Wasioimba hizo nyimbo hawawataki wanawalenga mitutu tu ya bunduki.Kungekuwa na wanadiplomasia waliobobea wangeisaidia Rwanda kwenda vizuri mbele ya jumuiya ya kimataifa.Lakini kwa kuwa wengi ni waimbaji basi wanabaki tu majukwaani kote wakiimba nyimbo hizo mbili tu hawasikii cha ushauri wa Kikwete,wa UN wala wa nani wao ni kuimba tu hizo nyimbo mbili.
 
Ukiona mtu anatoa povu bila kutoa hoja mbadala imemuingia. Your hero is a murderer and so are you. Innocence is my hero

Nilishakuambia kavue samaki hakuna unachochangia zaidi ya kuonyesha ulivyo zero tuu
 
Ukiona mtu anatoa povu bila kutoa hoja mbadala imemuingia. Your hero is a murderer and so are you. Innocence is my hero

MURDERER!? Kwani huyo dingi wako vipi? mbona ananyoa kilasiku? au kwasababu hazungumzwi na hao magabachori ndio kusema hawa dedishi? tulia kijana mtu yeyote anaye cross anga zako lazima afe kwani hata yeye hakutakii mema.
 
Uko sahihi Rwanda haina wanadiplomasia waliobobea.

Rwanda kuna waimba kwaya wajuao kuimba nyimbo mbili tu.
Wimbo wa kwanza ni wa kumsifu Kagame na wa pili ni kuimba kuhusu Genocide.Wasioimba hizo nyimbo hawawataki wanawalenga mitutu tu ya bunduki.Kungekuwa na wanadiplomasia waliobobea wangeisaidia Rwanda kwenda vizuri mbele ya jumuiya ya kimataifa.Lakini kwa kuwa wengi ni waimbaji basi wanabaki tu majukwaani kote wakiimba nyimbo hizo mbili tu hawasikii cha ushauri wa Kikwete,wa UN wala wa nani wao ni kuimba tu hizo nyimbo mbili.

luhanga atamshauri nani? pk hahitaji ushauri wa samweri hata kidogo,kwani hujawahi ona presidential advisor team ya pk? ahahahaha usinichekeshe.
 
Nyote mnaoweka jukwaani picha za watu waliouawawa kikatili mnapashwa kupigwa ban.
 
So it is not wrong for Kagame to host Laurent Nkunda and M23 at his private home!

hapa umenena
kikawaida huwa tunaangalia yanayotokea kwa wenzetu na kuyasemea,lakini pale tunapofanya kile tusipopenda wenzetu watufanyie hatuoni kuwa ni shida
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom