Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Rwanda - Tanzania Tensions Flare Again

Status
Not open for further replies.
Aise Jmali umemkamata kama kuku mwenye kideli. Kweli njia ya mwongo ni fupi. Sijui PK anamlipa shilingi ngapi?
Koba aka murutongore aka Jasusi aka mukamasimba etc teh teh

I am my own man. Niko hapa kwa id moja tu. Kama nilivyosemaq, mnapoishiwa hoja mnaanza kuita watu majina.
 
USHAHIDI RASMI kuwa unatumia ID tofauti tofauti mpaka unasahau unatumia ID gani:

eti "kina koba wakutukane tuu maana sisomi ujinga wako tena" wakati wewe mwenyewe tayari ID yako ni hiyohiyo koba, inaonyesha wazi wazi ulijisahau, ulidhani umelog in kwa ID ya murutongore, jasusi, mukamasimba au one of hizi ID za juzi juzi! Endelea tu na majazba yako labda mwisho utateleza uandike na jina lako halisi.

cc: JokaKuu, NasDaz, cyberspace Swat @schlumberger Mimibaba Mayunga96 rushasha

It's illegal to have double ID and I don't need one nakushauri report to moderators,and they will know in minutes ni issue ndogo sana na wengi tuu wamekula ban for that... go ahead report it and stop this bogus accusations
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu .Hata wale waliokuwa wakijificha miaka walikuwa hawajifichi hasa Tanzania ilipokuwa na uhusiano mzuri na Rwanda.Ilikuwa rahisi kuwajua hata kwenye vikao vya pombe maana wengi wao hasa wanaume ni watu wa starehe kwenda mbele kuanzia pombe na kubadilisha wanawake hasa wale vimwana watoto wa wakubwa serikalini na mashirika ya umma na wanawake high profile wenye madaraka serikalini na mashirika ya umma wenyewe wanawaita classic women.
Pia wanawake wa Kinyarwanda vile vile wapenda kuwinda wanaume high profile men wenye vyeo serikalini na mashirika ya umma nao walikuwa hawafichi identity zao na kazi zao nyeti kwa niaba ya Rwanda n.k

Wanyarwanda Wengine hata waliokuwa maofisini wakijifanya ni wazawa wa bukoba n.k kwa miaka mingi walijitokeza wazi kusema wao ni wanyarwanda baada ya kagame kuingia madarakani.Walijifunua wazi kabisa.Wengi walivua hijabu zao Kagame alipoingia madarakani na kujiweka wazi hivyo wengi wanajulikana barabara.

Kaka itabidi tuunganishe nguvu katika hili ili tusiache hata chembe chembe za majasusi uchwara wa Rwanda Nchini, yaani nina hamu nao kinoma noma...wengi wa wanawake wao ni malaya mno mavyuoni na mitaani...wanaume nao ni watu wa kujikomba mnoo
 
Bongolander, nashukuru kwa majibu yako ijapokuwa sijaridhika na baadhi. Mimi sio msemaji wa Serikali ya rwanda ila ni raia ambae kwa namna moja au nyingine ni muathirika wa mauaji ya kimbari ya 1959,1972,1994. Suala ambalo sisi hatuwezi kulifumbia macho kamwe ni uchochezi wa aina yoyote dhidi ya kabila lolote ndani ya nchi yetu. Mtazamo wangu na wengi humu ni kwamba tukiwaachia watu wachache humu wakasambaza sumu ya chuki dhidi ya wanyarwanda mwishowe hata watu wenye uelewa mkubwa wa masuala ya kisiasa wataanza kuamini kuwa wayasemayo ni ya kweli. Sisi tuna mfano hai hapa wa ile redio RTLM ambayo ilichochea mauaji ya kimbari.

Mimi naamini sana kuwa katika forum hii kuna watu wengi ambao hawajui historia ya rwanda ila kwa kupitia magazeti na mitandao. Wengi hapa aidha walikuwa wadogo wakati wa mauji ya 1994 au hawajui chimbuko na nia ya wanyarwanda kutaka kurudi kwao.

Mimi ningewasihi wana JF kuwa katika threads zinazohusu Rwanda na siasa zetu, wajaribu kufanya utafiti kidogo na wasiamini sana hawa "war mongers" kama akina jMali,Rushasha,Mokala1989,Majeshi 1981 and Co. lakini wachambue kwa kina huu uchochezi wao.

Vile vile I believe kwamba raisi wenu ana lake jambo! Ni dhahiri kabisa kuwa hawa akina Twagiramungu na huyo kanali wa FDLR, walialikwa kuja hapa kama vile yule kamanda wa FDLR Nzeyimana alivyo alikwa hapo Tanzania. Huu ni mtiririko wa matukio mengi ya kujaribu kuwakumbatia maadui wetu na yote haya yamefanyika kwenye awamu ya raisi wenu Kikwete. Hili linatupa wasi wasi sana na wahenga wana msemo "where there is smoke, there is fire". Tahadhari kubwa ichukuliwe na viongozi wenu wenye uelewa mkubwa nchi zetu zisije zikajikuta ziko kwenye vita ambayo inasababishwa na watu wachache ambao nina uhakika moto ukianza kuwaka, ndio watakuwa wa kwanza kukimbilia uswisi walikoficha hizo hela zao za wizi.

Mkuu nakuelewa sana. Nafurahi unaeleza kwa utulivu na staha, hapa inakuwa rahisi sana kukuelewa. Naamini unajua kabisa kuwa watanzania, hata rais wetu hana hila wala hiyana na Rwanda. Lakini we must appreciate the fact that there is something going on, regardless of who started it.

At least umeeleza bigger picture ya suala zima, na sio kuliangalia kidogo tu kwa jicho la mvutano kati ya JK na PK. Nasisitza mara kwa mara kwenye jukwaa hili, kuwa Rais sio Mungu, wetu sisi anaondoka mwaka kesho, lakini uhusiano na Rwanda au ujirani na Rwanda hautaondoka. Kwa hiyo yanaoendelea sasa sidhani kama ina anyway yatakuwa balaa.

AMINI hata kama JK ataamua kuwasaidia FDLR, hakuna kitu kinachoitwa genocide, or even close to that, ataruhusu. JK can be accused of anything lakini sio hofu mliyonayo wanyarwanda.

NI kweli kuwa kwa sasa JF inatumiwa na baadhi ya watu ku-chochea mambo, sababu ni kuwa ukianza kuangalia kwa undani kuna watu wanaojifanya representatives wa watutsi (who are not), ambao badala ya kueleza hali halisi, kueleza sababu ya kuwa na wasiwasi na hatari iliyopo ya kucheza na FDLR, wanachofanya ni kutoa matusi,dharau na kejeli, badala ya kuwa wavumilivu na kuwafahamisha watu polepole sababu za wasiwasi wa kinachoendelea kati ya JK na PK, na at least to get us into the mind of Rwandese government or PK, wao wanatukana. This is neither helping nor educating.

Lakini ninachoweza kukuhakikishia ni kuwa Tanzania na Rwanda hazitapigana vita. Lakini kuna uwezekano mkubwa kukatokea mabadiliko kwenye uhusiano kati ya nchi zetu.

Ningependa usi-comment kuhusu hili. Kauli ya PK na kauli za Bibi Louise Mushikwabo kutokana na pendekezo la JK kuongea na FDLR zimetufikisha hapa.

Angalia Marekani wanaongea na Taleban, Angalia Israel wanaongea na Palestina, Renamo na wanaweza kukaa na Frelimo, FARC na serikali ya Colomboa wanaongea, this will be the trend in the future.
 
Bado kidogo tu ningesema ninachokijua lakini sisemi..jinga hili
Watu wa usalama msilale. Lazina habari hizi zinatoka Tanzania kwenda Rwanda na katika kundi hili lazima wamo watanzania. Wengine ni washirika wa M-23 wakati mwingine hufanya kazi kwa niaba ya serikali ya Rwanda. Njaa kitu kibaya sana. ------------ mashamba Bagamoyo. Wengine wanadai ni wanahabari lakini ndo huwasiliana na serikali ya Rwanda kila siku. Fuatilieni nyendo zao, maana wanataka kutuletea balaa
 
So gentlemen in your own right figures how many Tutsis did you kill during genocide? So it's now about the numbers right? Well all I know is that I have a friend whose family was swept to death by a hutu neighbor! Whose pregnant sister was thrown in the pit latrine together with her two children bY her HUTU husband ...who to date has lost strength to go back to Rwanda after her studies abroad because she has absolutely no relative remained there. To her it doesn't matter how many died and all that blablabla...to her what matters is she lost all her all! Whose hundred friends can relate to her story coz it happened to them to. And here you are lying to Tanzanians about how blood thirsty the tutsis are! And how impliedly angelic the hutus are! Shame on you guys. Too bad history can never be erased hata mkiwanga u.c.h.i! Tafuteni strategy nyingine hii imefeli!

Mimi ni Mtanganyika si Mhutu. NAPINGA PROPAGANDA ZENU CHAFU. Ongea ukweli hakuna wahutu wengi waliouawa? Wewe una uzoefu wa kuwanga uchi, mimi silijui hilo. Nendeni shule muelimike siyo muhudhulie tu, mkisema maneno mengi mnadhani ni hoja kumbe vioja.

CHUKI ZENU KWA NDUGU ZENU WAHUTU ZITAWATOA ROHO
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom