CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Fanyeni michakato wa kutafuna bata
yaan mpaka kuku wakate rufaa!!!!
Fanyeni michakato wa kutafuna bata
yaan mpaka kuku wakate rufaa!!!!
charmingirl ukienda mwanza anahificha ni wa JF tu ila physically haonekane mie niliweka book siku zaidi ya tano sikumwona zaidi ya kujibu karibu.
Yaishe.
penye red we ni nuksi lazima ujue wanakaa wapi na majina yao halisi
mmi naomba niletee housegal na vikapu basi.
kila la heri
yaan usiponiletea upite tu juu kwa juu uishilie.....
Jioni uje Lamigo Hotel tukutane hapo tunywe Primus sawa???
charmingirl ukienda mwanza anahificha ni wa JF tu ila physically haonekane mie niliweka book siku zaidi ya tano sikumwona zaidi ya kujibu karibu.
Mtego gani? Kuwanasa vipi?
Sawa mdada.. I will let u know
"Halafu nataka kila chitchat
member anayetaka zawadi aiandike
hapa. Nitamletea freee mpaka alipo."
Karibu sana ila usije na mifuko ya plastic
penye red we ni nuksi lazima ujue wanakaa wapi na majina yao halisi
Sawa Mamndenyi. Ila si walishakinukisha na dada yetu? Ila ushemeji huwa haukufi kamwe. Bado ni shemeji yangu
Kwa atakayehtaji.. Ntakuletea
hahahaha. Ndo maana nlitaka wenyeji wanipe Mwongozo. Kumbe mifuko ya plastic hairuhusiwi?