Rwanda, Rwanda. Nani yupo maeneo hayo?

Rwanda, Rwanda. Nani yupo maeneo hayo?

tafadhali fikisha salamu zangu kwa wanakwaya wa AMBASSADORS OF CHRIST.... Pia kwa msisiyizo naomba uniletee CD yao mpya.....

Safari njema!!!!!!
 
Mwanza tupo tumejaa tele kama samaki ndani ya ziwa victoria..... karibu saana....
wapi Elizabeth Dominic???? huyu tutampeleka chimbo lipi hebu fanya mchakato mapema........
 
Last edited by a moderator:

Nitawapa salamu.. halafu kuhusu CD nitajtahd nkuletee zote.
 
Wandugu wa Chitchat kesho navuka border kwenda nchi jirani ya Rwanda. Nitakuwepo jijini Kigali kwa siku 3.. Wale wadau mliopo Rwanda hebu 2ambizane. Kama itawezekana basi tuonane. Elizabeth Dominic hebu kam this side unipe mwongozo. Najua wewe u mwenyeji kimtindo maeneo yale.. Halafu nataka kila chitchat member anayetaka zawadi aiandike hapa. Nitamletea freee mpaka alipo. Afta Rwanda nitarud Tanzagiza mkoani Mwanza. So Mr. Judgement hebu andaa mchakato. Pia charminglady nawe najua upo Mwanza. Niambieni ni wapi pazuri kuwepo ili kutafuna bata mpaka kuku wafungue kesi mahakamani..
Nipo kwenye ziara ya kufanya sensa kwa wale wachaga wote ambao wapo nje ya Mkoa wa kilimanjaro ambao hawatarudi nyumbani kuhesabia.. Hakuna haja ya kujiuliza tuko wangapi. Tunajihesabu wenyewe.

penye red we ni nuksi lazima ujue wanakaa wapi na majina yao halisi

mmi naomba niletee housegal na vikapu basi.
 
Back
Top Bottom