Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,920
- 15,609
- Thread starter
- #21
Acha blaa blaa...Hizi akaunti za Ruble walizofungua Ujerumani wanalipia maji ya Uhai? Na hii imeripotiwa jana tu...Unashindwa nini ku Google na kuujua ukweli? Anyway, ngoja niwasaidie wavivu wa kusoma. Ujerumani inalipa kwenye banks za Urusi kwa kutumia Euro Currency. Kisha banks zinalipa Urusi kwa kutumia Rouble. Na hayo ndio makubaliano baada ua Ujerumani kugoma kulipa kwa Rouble. Umeelewa?