Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Safi sana @ Mrembo by Nature, enenda ukaendelee kumtunzia mwenye mali!!
Amennnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
Safi sana @ Mrembo by Nature, enenda ukaendelee kumtunzia mwenye mali!!
Hahaha, mfano nyumbani kwako una chumba cha wageni, hiki chumba kinasafishwa ppamoja na vyumba viingine hata kama una miaka miwili hujapata mgeni. Kinasafishwa kwa sababu ni sehemu ya nyumba yako lakini hapasafishwi kwasababu ni kwa wageni. Akitokea mgeni sawa, asipotokea pia sawa hata kama miaka 10 ila patasafishwa tu. Kwa mfano huu umenisoma.
Mpendwa Mrembo by Nature, najua wewe waweza kuwa kijana sana, mimi ni kijana lakini sio sana kama wewe, huo mfano unautoa dada yangu hauna uhusiano wowote na msingi wa mjadala wangu na wewe, uliposema unapatunza kwa sababu yako mwenyewe na Mungu wako, hakika hapo ndipo mimi palipo nifanya nikasema kama una wito tofauti, hakika kuna mtu mwingine amesahaulika kutajwa na huyo ni mhimu hata kuliko wewe unajiona kuwa mmliki wa hicho kitu, siku akitokea, yeye atakuwa na mamlaka makubwa zaidi nacho kuliko wewe, na wewe pia utakuwa na mamlaka makubwa zaidi kuliko yeye kwa sehemu aliyokuwa anadhani kwamba ni yake, kumbe yeye ni mtunzaji tu, ila mwenye mali ni wewe bosi umetulia tuli.
Haya ninayo yaandika unaweza kudhani kama imagination fulani, lakini huo ndio ukweli halisi, usione watu wanagombana na wanapigana kwa ajili ya kitu hicho ukweli ni kuwa wanapigania mali zao, mfano, mwanamke anasikia mumewe anatoka nje ya ndoa, inamuuma maana ni mali yake ndio inaibiwa, yule mume ni mtunzaji tu, and the opposite is also true, najua unajua ila tu unafanya makusudi dada na kama kweli hujui hilo ipo siku ukikuwa utajua hilo na hasa siku ukiibiwa mtu wako.
Asante kwa ushauri wako, nimekuelewa japo before nlikuwa sijakuelewa
Basi poa uwe na siku njema, na ndio maana niliamua kuongea kwa mifano, jf hapaharibiki neno, maana huwezi kuwa na ugomvi na mtu hata usiyemjua kwa jina,sura, wala kabila, wala ukanda, kinachotuunganisha hapa ni lugha yetu nzuri ya kiswahili basi tunajua hakika huyu ni Mtanzania mwenzangu, tunaelimishana na kueleshana tunasepa na maisha yetu ya kila siku.
1 LOVE......Siku njema kwako pia
Sir H mm napita tu kwn nimekuja hapa just accidentally,lkn ngoja nimwite kipenz changu,Passion Lady! Nipo nafua,Passion Lady tafadhal ukishafka hapa nibp 0759 947397 nije nione unavyowapa doz! Nalog out
Unamwita akawepe dozi akina nani?
Kweli umekosea njia!
mie nawaambiaga papuchi for sale kila sehemu hamna k ya bure
Asprin dunia ya leo imebadilika aisee.Blue: Bado sijamwelewa huyu binti.... Kukamuliwa na mke? Labda siyo mke wangu asee. Atanikamua kwa sababu zipi? Hizihizi hela ndogo kama 50K anazoweza kuziomba kwa ajili ya kitchen party "feki" au tunazungumzia kiasi gani. Manake akihitaji kiasi kikubwa kitahitaji maelezo ambayo lazima niya-approve. Na wife akikukong'olo kiasi kidogo kama 100K yaweza pia kuwa rushwa? Ikumbukwe kuwa hiyo yaeza tokea mara moja kwa mwaka....
Red: Mzee mwenzangu, nimefikia kipindi cha kuomba Mungu wife asiombe game tukilala.... hiyo ya kumhonga mke ili upate ile makitu tuwaachie damu changa kina Mentor na Nicas Mtei. Wazee wenzangu Mtambuzi na EMT wanaweza kuwa mashahidi wangu.