Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

Wakati mwingine wanayataka wenyewe, mwanaume hana Christmas wala Pasaka, Idd wala Maulid katika familia, kwa maana nyingine hajuhi familia kuwa wanahitaji kuvaa wala kupendeza. Mama huyo hiyo ndiyo kaona ni kona nzuri ya kumbania ili naye aweze kununua nguo na viatu. Mpo hapo?
 
Hivi akaigoma kutoa, wataishia wapi?

Babu DC!!
 
mkubwa mwenzangu inapofikia hapo kwenye ndoa ni migogoro isiyoisha what if usipotoa rushwa ndio mtanyimana kwa muda gani?? mie nafikiri rushwa ya ngono kwenye mahusiano sio mazuri isipokuwa labda kwa voda fasta

Ahsante mkubwa mwenzangu...

Unajua niwaza nikawauzua hadi mvi zikaanza kupukutika...yaani eti wanandoa wanaweza kupigiana bei kama vile wanauziana ubuyu??

Bora nina wenzangu wasioamini kitu kama hicho..

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom