Hahahaha sikati, mweeehhh nitoe kitu muhimu kama hiki jaman, si nitakuwa namkosea muumbaji wangu?
ipo kabisa hasa uoe mtoto wa kitanga au wa kizaramo
Hapo sasa, na mimi ndio maana nilishangaa, kulikoni hadi utake kukufuru uumbaji wa Mungu, na kumbuka hiyo sehemu ndio inakufanya ujiite/uitwe Mrembo by Nature, ukiitoa lazima utafute na jina la kujiita, aidha pia na umhimu hiyo sehemu umepewa kuitunza na kuihudumia kwa ajili ya mtu mwingine kuja kuitumia kwa ajili ya kutimiliza utukufu wa Mungu, hivyo basi wewe kama mwangalizi mkuu inkubidi kuihudumia na kuitunza vizuri.
Stewardship sio?? Ila naitunza kwa ajili yangu mwenyewe na Mungu wangu, ila si kwa z=sababu ya atakaekuja itumia
Sikubaliana na wewe mdogo wangu?
Umuhimu wa products kwa shop keeper siyo mkubwa kivile kama ilivyo kwa consumers!
Stewardship sio?? Ila naitunza kwa ajili yangu mwenyewe na Mungu wangu, ila si kwa z=sababu ya atakaekuja itumia
Stewardship sio?? Ila naitunza kwa ajili yangu mwenyewe na Mungu wangu, ila si kwa z=sababu ya atakaekuja itumia
Unaweza ukawa uko sahihi kwa hayo maneno yako, lakini hiyo inategemea zaidi na wito wako aliokupangia Mungu wako hapa duniani.
Ila kama una wito tofauti hakika unachosema na kufikiri chaweza kuwa sio sahihi, lazima uongeze mtu mwingine kwa umhimu zaidi yako wewe, naye ana kitu ambacho hana mamlaka nacho zaidi,ila wewe utakuwa na hayo mamlaka.
Hayo sio maneno yangu binafsi Mrembo by Nature ni maneno toka vitabu vitakatifu nya Mungu ambaye hakika nawe umemtaja vema na kumtukuza katika andiko lako hapo juu.
Ninakubali Ina umuhimu sana kwa mtumiaji, ila regardless ya huo umuhimu mimi nakitunza tu kwa kuwa kiko mwilini mwangu na so lazima kiwe na hal nzuri ila si kwasababu kitakuja tumiwa na mtu mwingine
Ulishisikia movie ikaitwa movie bila watazamaji?
Hata hivyo haina maana kwamba watengezaji hawana faida nayo!
Mkuu Dark City, lisemwalo lipo, ila binafsi nilichokuwa najua kwenye ndoa wapo wanawake ambao huwapa rushwa ya mapenzi waume zao pindi wanapotaka watekelezewe jambo fulani, hapa ninachomaanisha ni kwamba pindi mwanamke anapokuwa na shida yake iwe binafsi ama ya familia yake, huipenyeza kunako mapenzi, na hiyo siku kawaida huwa na moyo wa kujituma kweli kuliko kawaida, na hatimae wengi wao hufanikisha malengo yao, nadhani wanaume wenzangu hapa mlikwisha liona hilo.
Sasa hili la kugomeana kupeana unyumba hadi malipo ama kutelezeana vitu fulani fulani, mmhh, hakika kwa kufanya hivyo unamkosea hata Mungu wako, maana kumbuka katika lile tendo mnatimiza mapenzi na wito aliowaitia Mungu hapa duniani na ndio maana anatuasa tusinyimane, labda kama tumekubaliana kukaa kwa muda na hapo pia ni kwa ajili ya kusali na anatuonya ya kwamba tusikae sana, bali turudiane mapema.
Kuhusu vituko makazini na kwingineko, siwezi sema kitu.