Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

2. Baadhi ya watu ambao wanaonekana wagumu wanawekewa mitego na wafanyakazi wenzao hadi wauvae mkenge. Na kwamba hili linawahusu wanaume wagumu, ambao anaweza kujaribiwa na wafanyakazi wa kike kama 4 au zaidi hadi anaswe. Na akishanaswa, basi anakuwa blackmailed, kiasi kwamba akitaka kujichomoa au kufanya kinyume na huyo mdau anatishiwa usalama wake..!
..
babu jifunze ku-mention FP , hujanitendea haki hii mada kunipita sababu ya kushindwa kuni-mention. unatakiwa usiweze comma wala mkato, lol! wala chochote mbele ya fp, sawa?
sasa nahisi wenye uzoefu wameshaliongelea hili.
Ukweli sijawahi kudai rushwa ndani wala nje ya ndoa.... ingawa mzabzab anasisitiza kuwa kila kitu kina bei....
huwa napewa zawadi tu, lakini rushwa hapana....
nilitaka kuchangia kidogo hii point hapo juu, hayo mambo (blackmail) yapo sana. kuna mkaka mpaka nilimwonea huruma. alikuwa mgumu sana, very faithful kwa mkewe, na alikuwa anampenda saana. wajanja wakamwekea mtego, tena ulikuwa-engineered na mkaka mwingine ambaye ni rafiki yake, jamaa akaingia mkenge, aka-fall. sasa si akaona hawezi endelea na huo mchezo, kila akirudi home akimwangalia wife dhamira inamsuta, ikabidi amwambie bibie nimenyosha mikono, siwezi endelea tena. dada akamwekea mtego, baada ya mabishano makali akamwambia poa nimekubali tuachane, but naomba leo uje home tuongee tu tunaishije baada ya hapa. kaka alipotoka job akaenda. wakaongea, na mwisho dada akaomba mechi ya kwa heri..... kaka akasema hakujiandaa kwa hilo, so hakuja na zana. mdada alilia sana na kusema ananyanyapaliwa na mkaka, hata kama hamtaki hiyo siyo haki. kaka kuona machozi akajisemea "si leo tu, na kwanza ni ya mwisho", kosa lilikuwa hapo. baada ya mwezi mdada anatuma text "nime-miss siku zangu", unalo! mdada akapotea, baada ya miezi 9 text ikatumwa nimejifungua baby boy..... (home kwa wife ana two boys na two girls). dada anadai usipotoa hela za mwanao namwambia mkeo.
Kwa mara ya kwanza niliona mkaka analia kwa uchungu sana. alinipigia huku analia, nikajua kafiwa kama siyo na wife basi na mtoto (maana najua anavyoipenda hiyo familia yake), sikutaka anieleze kisa kwenye simu, nilimwuliza tu swali moja yuko wapi? nikamfwata. aliponihadithia nilitamani kucheka lakini nilishindwa..... baada ya mazungumzo marefu nikamwambia kwanza kajisalimishe kwa wife, ongea ukweli woote, ukiona moto unakuwakia, niite mtaalamu wa MMU niongee na wife (nafahamiana na wife wake). akafanya hivyo, na kweli moto uliwaka sana.
Ikabidi niingilie kati, kumsaidia wife kufikiria. wazo la kwanza nilifikiria inawezekana kabisa hakuna mtoto, ni blackmail tu. nikaongea na wife tumwambie husband tunataka kuona mtoto, na tupo tayari kutoa ushirikiano wa malezi ya mtoto kama mtoto kweli ni wa husband, hapo vipimo vya DNA vinahusika. sisi na mama wa mtoto tukaripoti kwa sijui ndo mkemia mkuu na vipimo vichukuliwe. Mdada baada ya kupewa hayo masharti hatujamsikia tena hadi leo, mwaka wa pili sasa. tukajua mtu alishataka kuingizwa mujini. rafiki anaogopa watoto wa mujini kama ukoma, maana yaliyotaka kumtokea hana hamu.
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhaha sasa kitu nimepewa bure niuze cha nini!
kikiliwa na nyenyere je?
akhu!
 
Hebu fafanua vizuri basi mdogo wangu...

Wengine akili zimeshamaliza pensheni...

Babu DC!!
Babu The Act like a Lady Think like a Man is all to do with how a lady can tap a man's heart, attention, trust and LOVE by allowing a man to be a man in the relationship through understanding what man expect, prefer and want from her. Mf. how to make him COMMIT without forcing him to do so,
 
Nisamehe bure mkubwa mwenzangu FP ,

Yaani nimekuwa na matatizo na jina lako na hii siyo mara ya kwanza..natamani nirudie lile tulilolizoea enzi za ujana wetu..lol!!

Hiyo story imenisikitisha sana...ila kijana ashukuru kwamba alikuwa na mtu wa kumfuta machozi...Kwa sasa angekuwa anafanya finishing ya nyumba!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhaha sasa kitu nimepewa bure niuze cha nini!
kikiliwa na nyenyere je?
akhu!

Bora wewe huna huo msamiati wa kuuza kama vile ni mafungu ya viazi vya Mbeya...lol!!

Wapi Madame B aone hapa??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu The Act like a Lady Think like a Man is all to do with how a lady can tap a man's heart, attention, trust and LOVE by allowing a man to be a man in the relationship through understanding what man expect, prefer and want from her. Mf. how to make him COMMIT without forcing him to do so,

Hapa naona upere umepata wakunaji...

Ngoja nimwite EMT tuendelee na debate.

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nisamehe bure mkubwa mwenzangu FP ,

Yaani nimekuwa na matatizo na jina lako na hii siyo mara ya kwanza..natamani nirudie lile tulilolizoea enzi za ujana wetu..lol!!

Hiyo story imenisikitisha sana...ila kijana ashukuru kwamba alikuwa na mtu wa kumfuta machozi...Kwa sasa angekuwa anafanya finishing ya nyumba!

Babu DC!!
ha haaa, umeona eeeh! watu wanaishi kwa akili mjini.....
hapo alikuwa anawaza investments za mtoto. angemaliza nyumba ingefwata biashara au kununua securities pale stock market..... chezeya wadada wa mujini.
ila mtu mzima mwenzangu haya mambo ni magumu sana.... mimi huwa nina theory ya never.... mtu akinibana sana never say never huwa yananiingia akilini na kusema labda, lol!
sasa umejua la kufanya babu, hiyo ndo siri, enjoy
 
Da Mkubwa @FP, hiyo story ya huyo mkaka imnisikitisha jamani kuna wanawake tuna mioyo........... dah. Nway am glad na kukupongeza kuwa ulimsaidia. Babu kama nilivyotangulia kusema kwenye posts zangu zilizotangulia rushwa hizi zipo sana sema tu kuna makundi ambayo unawezasema hayazipractise sana but kote kote si kwa wasomi na wasiosoma bado watu wanadaiwa hongo hiyo kwa staili mbalimbali.
 
Hii dunia imajaa viumbe wengine wa ajabu sana....

They just enyoy seeing others in pain.....

Basi tu,

ha haaa, mimi pia nafurahia sana kumtoa kwenye huo mtego, maana alishakamatwa hapo.
Na mkewe huwa tukikutana anajiuliza je angeamua kuondoka zake wakati huyo mtoto hata hayupo.... (ingawa kosa la kulala naye tu bila kujali matokeo ni kubwa zaidi).
Hilo la rushwa nakubaliana nalo kabisa mdogo wangu, na kuna watu wanajua saana wana hiyo tabia. ila wengi wao wanajitetea kuwa waume zao sometimes hawatoi vitu bila kutishiwa kunyimwa papuchi.... sasa kama mtu unapewa kila unachotaka kwa nini udai rushwa kwenye ngono?
 
babu mimi watu wa hivyo naamini it's not about kumuumiza mwenzao, it is about them, faida wanayoipata kutoka kwa game. watu wabaya sana
 
Hivi hilo neno lilianzia wapi mkubwa mwenzangu??

Babu DC!!
 
babu mimi watu wa hivyo naamini it's not about kumuumiza mwenzao, it is about them, faida wanayoipata kutoka kwa game. watu wabaya sana

Kwa lolote lile, kwa nini wasifikirie wahanga wengine kama huyo mke wa jamaa na watoto wake?

mtu mzima mwenzangu, hivi mtu anapotaka kujivunia anaweza fikiria kama kuna mtu atakosa?
yeye anaona kabisa hapa kuna kitu, atawaza kweli nijinyime kwa sababu ya wengine? tena hawamuhusu? hapo anawaza mugawane, hata kama 1/3 lakini naye atapata
 
ha haaa, mimi namsikiaga sana Smile, sasa sijui kalitoa wapi?
na ukweli nadhani kaniambikiza, lol!

Unadhani ni wewe peke yako?

Naona limewanasa wengi kama "kugegeda" la mzabzab...

Ndiyo lugha inavyokua hivyo mkubwa mwenzangu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mtu mzima mwenzangu, hivi mtu anapotaka kujivunia anaweza fikiria kama kuna mtu atakosa?
yeye anaona kabisa hapa kuna kitu, atawaza kweli nijinyime kwa sababu ya wengine? tena hawamuhusu? hapo anawaza mugawane, hata kama 1/3 lakini naye atapata

Haya bwana,

Ila haya mambo yanawaingiza waliomo na wasiokuwemo kama "mtego wa panya"....

Bora wahusika wangefikiria mara mbili mbili...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom