Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
naamini kabisa mkubwa mwenzangu....Unadhani ni wewe peke yako?
Naona limewanasa wengi kama "kugegeda" la mzabzab...
Ndiyo lugha inavyokua hivyo mkubwa mwenzangu...
Babu DC!!
juzi bado kidogo nimwambie binti hilo neno, lol! tulikuwa katika stori zetu za mama na mwana, yaani bado kidogo linitoke, nashukuru haikutokea, lol!