KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Kweli duniani kuna vibweka...hapo kuna mapenzi au maslahi?
Hapo kuna PENZI PESA
Kweli duniani kuna vibweka...hapo kuna mapenzi au maslahi?
Babu DC? Hata wewe unashangaa? Labda kwa kuwa we ni wa 1947. Siku hizi babu sio kitu cha kushangaza kuwa kunyimwa unyumba ni moja ya strategies za mama kudai akitakacho. Mfano anataka urudi mapema, we unamrudia saa nane, mguse uone kama hujaambulia vipepsi vya yule aloendashtaki kwa Baba Paroko. So uswazi ku'gomewa' ni ishu ya kawa sana maze. Umenikumbusha ile story ya mmama alogundua kuwa mumewe ana tabia ya kununua CD wa Kona Bar, tena kwa bei ya mpaka 50K. Naye akakaa chini, akatafakari na kuamua kuchukua hatua........Yeye anayekaa na kutoa kwa free kila siku na free packages nyingine tele mfano, kukupikia, kukutunzia watoto, e.t.c naye akaweka dau lake. Mume kaja, kabisha hodi, akaonyeswa kiganja (kama konda anavyodai nauli) ......Bila laki hapa baba hupati kitu. Jamaa kahamaki, Eboo we vipi? Yaani mke wangu mwenyewe nimekulipia mahari unanikatalia, Mkewe akamwambia, kama ulilipa mahari kuinunua hii bidhaa ina maana uliipenda ukaona inakufaa na kama kwa sasa unaona haikufai tena either imepitwa na wakati au ni toleo la kale ukaamua kwenda kulipia nyingine basi hii unatakiwa uipige bei au upeleka kwenye soko la mitumba na sio kuitumia tena. So bila 100,000 hapa basi nipige bei wapo wanaotumia mitumba wengi tu. Jamaa akamute siku ya kwanza, ya pili mambo ni yale yale. Ya tatu kazidiwa (Hawara alikuwa kasafiri) akaamua isiwe tabu akatoa 100,000 akapata mchezo ila goli moja tena lisilo na chenga............... mwisho wa siku alisalimu amri
Hivi my wife wangu anaanzaje kuniomba rushwa ya ngono? Labda kama ulimuoa kwa shilingi mbili kwahiyo anatafuta mbinu ya kuongeza mahari yake.
Asprin dunia ya leo imebadilika aisee.
Siku hizi mume kujahimiana na mkewe bila ridhaa ya mke ni kosa la ubakaji na adhabu yake ni kubwa.
Baadhi ya wake wanaitumia hii sheria kwa maslahi mengine kama anayoyashangaa babu Dark City.
The law was supposed to be used as a shield, but it is being used by some as a sword.
Zamani ilikuwa "The Boy is Mine": Brandy & Monica - The Boy Is Mine (Video) - YouTube
Siku hizi mpango mzima ni "It all Belong to Me" Monica, Brandy - It All Belongs To Me - YouTube
Nahisi kama tutaanza vita nyingine ya ukombozi wa mwanamume soon...
Especially when women are urged to "act like a lady" but to "think like a man": https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/467966-act-like-a-lady-think-like-a-man.html
Unataka kunipeleka wapi tena mdogo wangu??
I wish ningemshawishi aje hapa aseme mwenyewe...lol
Babu DC!!
Umeanza lini uchokozi?
Sasaa nisipochokoza babu nikamchokoze nani tenaa.
Unajua raha sana ku kid na babu...km huamini uliza wajukuu zako wengine, au wa babu wenzio.
Back to the topic...NI KWELI EE ee BABU...
Hapa sasa unataka kunitimua kwenye hili jamvi...
Babu DC!!
Not really EMT ..actually this type of ladies wanatoa nafasi kubwa kwa Wanaume kuwa wanaume......they give you what you expect from them.Especially when women are urged to "act like a lady" but to "think like a man": https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/467966-act-like-a-lady-think-like-a-man.html
Hapo itabidi turudi zetu Mars.
Da Asha (AshaDii) umepotea sana hadi tunayakosa mawaidha yako adimu...
Njoo basi utupe upande wako wa shilingi..
Babu DC!!
Not to that extent bhana....
Kaka DC,
Bahati mbaya ama nzuri thread imeniacha mno, hivyo ikitokea naongea suala ambalo limeongelewa then basi kumradhi.
Nakubalina na maelezo ya rushwa ya ngono katika mahusiano. Ikwe kabla ya mahusiano ama ndani ya mahusiano. Rushwa hii however kwa mtazamo wangu mara nyingi huwa a disadvatage kwa akina sasa/mama kama ilivyo kwa akina baba.
Rushwa hii ni more effective kabla ya mahusiano kuliko ndani ya mahusiano. Na hapo hapo ipo more effective ndani ya mahusiano ya kirafiki/wapenzi kuliko ndani ya mahusiano ya watu wanao ishi pamoja kama wapenzi or wanandoa.
So nakubaliana na kuwa kweli ipo rushwa ya ngono.