Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

Naongea, akiwa mbogo natulia

Next week, nasema tena kwa mtindo tofauti, na akinipa dk 2 za ku-explain kaumia, lazima anafanya nitakacho.

Hata yeye huwa anashangaa how? Maneno, hoja, timing vinasaidia

Huwa hushangai wanawake wanahongwa maVX? Wanaweza kuwa wala sio wazuri kwenye huduma, ila kumwelewa mtu tu.
Mke wa ujana wangu Kongosho, hebu nikumbushe, una umri gani?
 
Last edited by a moderator:
Nambie Da Mkubwa Madame B...........hao wanaume wanataka nini ambacho sie hatuwapi? mwe

Unajua mjukuu mwenzangu, penye ukweli lazima tuseme.
Kuna mazingira flani yanapofika inabidi mwanaume wako umtoze fidia.
Maana mkiwa macho makavu hataki kutimiza hzo ahadi.
 
Last edited by a moderator:
Naongea, akiwa mbogo natulia

Next week, nasema tena kwa mtindo tofauti, na akinipa dk 2 za ku-explain kaumia, lazima anafanya nitakacho.

Hata yeye huwa anashangaa how? Maneno, hoja, timing vinasaidia

Huwa hushangai wanawake wanahongwa maVX? Wanaweza kuwa wala sio wazuri kwenye huduma, ila kumwelewa mtu tu.

Hapa umeongea mapoint utadhani siyo yule Kongosho wa bange bange nibangue...

Nakubaliana na wewe kabisa....mwanamume ukimpa ukuu wake hata kwa usanii, anaweza kukukopea hata kwa benk au kuiba kwa ajili yako..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Unajifanya hujui Babu DC!
Tatizo wanaume wa siku hizi mmezidi kubania pesa, nasi twatafuta mbinu zote ili tuzikamate wote.
Hau Kam utumie peke yako bhana.

Sasa ndiyo tufikia hatua ya kuuziana tena kwa bandwidth?

Babu DC!!
 
Binamu Madame B ujue nilikuwa nakusubiri wewe uje hapa kufunguka ndipo nilale. Hebu funguka vizuri ili nikuelewe.

Binamu wangu Mwita Maranya,
wanaume wa dotCOM hupenda sana kuwategea wake zao majukumu.
Sasa ili kwenda nao sawa hatuna jinsi,zaidi ya kuwatoza kadri ya mahitaji yao Binamu.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha, mie nililigundua mapema, maana mnyamwezi ni kisiki haswaa bila hivyo nitakuwa naula wa chuya kila siku

Hapa umeongea mapoint utadhani siyo yule Kongosho wa bange bange nibangue...

Nakubaliana na wewe kabisa....mwanamume ukimpa ukuu wake hata kwa usanii, anaweza kukukopea hata kwa benk au kuiba kwa ajili yako..lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nimetokea kufuatilia (accidentally) kipindi cha Mama Terry kwenye TV yao (TBC1) na kukutana na vitu ambavyo vimeniacha hoi...

1. Eti kuna rushwa ya ngono kwenye ndoa...mzee ananyimwa unyumba hadi atoe pesa kwa ajili ya kitu fulani. Mfano, sare za harusi au kununua vito. Pia kwamba anaweza kutakiwa kuongeza dau kama anahitaji dozi ya pili...

2. Baadhi ya watu ambao wanaonekana wagumu wanawekewa mitego na wafanyakazi wenzao hadi wauvae mkenge. Na kwamba hili linawahusu wanaume wagumu, ambao anaweza kujaribiwa na wafanyakazi wa kike kama 4 au zaidi hadi anaswe. Na akishanaswa, basi anakuwa blackmailed, kiasi kwamba akitaka kujichomoa au kufanya kinyume na huyo mdau anatishiwa usalama wake..!

3. Watu wanaleweshwa na maneno ya kitapeli...baby, honey, sweetie etc...hadi anatangaza ndoa ndani ya muda mfupi...

Yamesemwa mengi ila haya kwa kweli yamenitisha....

Hivi akina Babu tuko salama??...

Babu DC!!

cc: Kaizer, Asprin, PakaJimmy, @FP, Smile, KOKUTONA, snowhite, CHUAKACHARA, Blaki Womani, Filipo, Arushaone, Lily Flower (mama wa nyuki wa machine), marejesho, gfsonwin (najua hawezi kujaribu kwa sasa), Mtambuzi..

Ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe. Ndio maana wanasema mwanaume sio kuvaa suruali ni matendo ya kiume. Humu majumbani kuna vituko, usione wanaume tunatembea na kupaaza sauti tunapokuwa kwa wanaume wenzetu. Inawezekana kabisa hasa mke anapobaini kuwa wewe ni "lofa" wa ku.......(ashukumu si matusi)!
 
. Mume hachunwi bana, anatekeleza tu wajibu wake kwa mkewe

Ndiyo maana nikashangaa mdogo wangu...

Mama Terry alikuwa na mgeni wake kutoka MUHAS...daktari mmoja wa kike ambaye ni mwongeaji mzuri sana!

Ndiye amesema kuwa rushwa ya ngono ipo hadi kwenye ndoa. Kwamba inafikia mahali bei inapigwa na wanakubaliana hata package...

Ndiyo maana nikabaki kujiuliza kama anaongelea dunia ninayoijua mie au ni nyingine??

Babu DC!!
 
Babu Dark City afadhali huu uzi nimeuona asbh lol!

Binafsi siwez kutaka hongo kwa mtu yyte ili eti ni fanye mapenzi.
Lakini kabla ya kukubali usemi wa mama Tery ama kuukataa lazima tujiulize maswali yafuatayo.
  • 1) je mke huyu anayetaka hongo kwa mumewe amezoezwaje na huyu mume?? yumkini ni wale amba wamezoezwa kwamba hata mume akikosea basi bidada ili asamehe ni lazima apewe pesa ama kitu cha thamani kama vito, nguo et e;al. mtu wa namna hii siwez kumshangaa kwamba ili aweze kupewa kitu fulan basi inamlazimu kuweka ngumu kwenye unyumba.
  • 2) kuhusu black mailin hilo naomba nisiliseme manake nitajikuta nataka kutoa mfano ambao ni wa mtu ambaye hata wewe mwenye Babu unamjua ila you have the idea exactly mama terry anamaanisha. tena with vivid example. tuliache hapo.
  • 3) watu kuleweshwa na maneno hny, swtlo et al ili aoe namuona huyu binti ni mjanja sana kuliko huyu mwanaume. you know it is known kwamba TAAMAA YA MWANAUME NI JUU YA MWANAMKE na sio kinyume chake. sasa kama ndivyo basi huyu mwanaume alipaswa tu ashurutishwe na tamaa yake mwenyewe sasa kama maneno ya shostito yameweza kumshawish then the woman is genious.
BTW nashangaa sana vijana wa siku hizi. manake jinsi wanavyozid kuyacomplicate maisa nayo ndivyo yanavyo wa complicate wao.

nahitimisha kwa kusema naomba nirudi fungateni Babu, nilipewa dk 15 off time
 
Last edited by a moderator:
Ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe. Ndio maana wanasema mwanaume sio kuvaa suruali ni matendo ya kiume. Humu majumbani kuna vituko, usione wanaume tunatembea na kupaaza sauti tunapokuwa kwa wanaume wenzetu. Inawezekana kabisa hasa mke anapobaini kuwa wewe ni "lofa" wa ku.......(ashukumu si matusi)!
Kama mwanamume ni lofa basi treatment ya hivyo ni halali yake. Tatizo langu ni pale ambapo jamaa ni responsible husband halafu analimwa invoice kabla ya kula...!!
 
kiu yenu ya papuchi isiyoisha itawaua....mnakuwa watumwa kila mahali
 
Babu Dark City afadhali huu uzi nimeuona asbh lol!

Binafsi siwez kutaka hongo kwa mtu yyte ili eti ni fanye mapenzi.
Lakini kabla ya kukubali usemi wa mama Tery ama kuukataa lazima tujiulize maswali yafuatayo.
  • 1) je mke huyu anayetaka hongo kwa mumewe amezoezwaje na huyu mume?? yumkini ni wale amba wamezoezwa kwamba hata mume akikosea basi bidada ili asamehe ni lazima apewe pesa ama kitu cha thamani kama vito, nguo et e;al. mtu wa namna hii siwez kumshangaa kwamba ili aweze kupewa kitu fulan basi inamlazimu kuweka ngumu kwenye unyumba.
  • 2) kuhusu black mailin hilo naomba nisiliseme manake nitajikuta nataka kutoa mfano ambao ni wa mtu ambaye hata wewe mwenye Babu unamjua ila you have the idea exactly mama terry anamaanisha. tena with vivid example. tuliache hapo.
  • 3) watu kuleweshwa na maneno hny, swtlo et al ili aoe namuona huyu binti ni mjanja sana kuliko huyu mwanaume. you know it is known kwamba TAAMAA YA MWANAUME NI JUU YA MWANAMKE na sio kinyume chake. sasa kama ndivyo basi huyu mwanaume alipaswa tu ashurutishwe na tamaa yake mwenyewe sasa kama maneno ya shostito yameweza kumshawish then the woman is genious.
BTW nashangaa sana vijana wa siku hizi. manake jinsi wanavyozid kuyacomplicate maisa nayo ndivyo yanavyo wa complicate wao.

nahitimisha kwa kusema naomba nirudi fungateni Babu, nilipewa dk 15 off time

Umesomeka vizuri tu teacher,

Nenda kamalizie wajibu wako mkuu wa kulisha mtu sakramenti kuu...lol!

Usisahau ushauri wangu wa kulinda viungo, ....sehemu nyingine hazifungwi POP!
 
Back
Top Bottom