Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

Babu Dark City tuanzie hapo, huyo mama Terry alipokuwa anasimulia hayo alisema kuwa hizo Couple hukaa mezani na kujadili au kubargain bei? Kama ni ndio basi mie ninaomba kusimamisha shlingi na kusema kuwa mwanamke awaye yote anayepangia bei papuchi yake kwa mumewe amepewa fursa hiyo (Kwa maanakuwa mume ana matatizo/amewekwa kiganjani) na hajui haki yake kama mume (Kuna wale wanaume ambao chochote atakachosema mke ni ndio, madame amesema, wife anataka e.t.c........na sio mwanaume anayejua haki zake kama mume................ yaani mie MwanajamiiOne nina mume anipendaye, anifikishaye, anikunaye nikaridhika, anitoshelezaye....nahitaji kitu kwake kisha nitingishe kiberiti??(Unless najua kuwa ananipenda kufa kila nisemacho kwake ni katiba ya Muungani na yeye ni Muumini wa Commission of Committed Married men (CCMm) atakifuata ndio ntakuwa na jeuri ya kumtishia usalama wa haki zake.

Ndiyo maana nikashangaa mdogo wangu...

Mama Terry alikuwa na mgeni wake kutoka MUHAS...daktari mmoja wa kike ambaye ni mwongeaji mzuri sana!

Ndiye amesema kuwa rushwa ya ngono ipo hadi kwenye ndoa. Kwamba inafikia mahali bei inapigwa na wanakubaliana hata package...

Ndiyo maana nikabaki kujiuliza kama anaongelea dunia ninayoijua mie au ni nyingine??

Babu DC!!
 
Unashangaa nini mzee mwenzangu??

Kwani hujui hadi leo kwamba biashara ya magendo ina returns kubwa sana on investment?

Babu DC!!
Babu Dark City tatizo ni le Man's ego............. hamtaki kukubali kuwa there are some circumstances women play smater then you ni vile tu kuwa hatukufundwa kujionyesha kuwa nasi tumo..........ndio maana ni rahisi kukuta nyumba ambayo mama ndio kila kitu but yet still ukimwuliza atampa ALL the credits to the Man. Guys we love you so much to the extent of playing on your rules!
 
Last edited by a moderator:
Mzee mwenzangu,

Nimeona nikae nisome ili nijue bibi yao kina MwanajamiiOne anatumiaga mbinu gani kunichuna. Yawezekana namjengea baba mkwe bila kujua.

Mke kumchuna mme, hii nimeisoma leo aisee. Naendelea kujifunza na uzee wangu.

Mke kwa maana ya mke kwa tafsiri yake halisi na halali, anaweza kumchuma mmewe??? Na haya matoto tunayoyalipia ma-ada makubwa shule za Saint Watakatifu??? Mungu apitishie mbali..........!

Hilo la kukamuliwa ni kawaida sana mzee mwenzangu....Naamini umemsoma vizuri MwanajamiiOne....

Ila mie nipata tetenasi ya kichwa kuambiwa kwamba wamefikia mahali pa kubargain kabla ya kupeana...

Haki ya nani hilo kwangu ingekuwa kama kumwagiwa maji ya kwenye freezer kabla ya dinner...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana nikashangaa mdogo wangu...

Mama Terry alikuwa na mgeni wake kutoka MUHAS...daktari mmoja wa kike ambaye ni mwongeaji mzuri sana!

Ndiye amesema kuwa rushwa ya ngono ipo hadi kwenye ndoa. Kwamba inafikia mahali bei inapigwa na wanakubaliana hata package...

Ndiyo maana nikabaki kujiuliza kama anaongelea dunia ninayoijua mie au ni nyingine??

Babu DC!!
Kaka yangu Dark City bado nasisitiza kuwa kama kweli wanakaa na KUBARGAIN NA KUKUBALIANA............... mashangao yangu mie kama MwanajamiiOne yako kwa huyo mwanaume na sio mwanamke.......anakubalije kupangiwa bei kwa kitu ambacho anastahili kupata free of charge (Unless the cost of romancing and convincing) kama either halipi fadhila au halipi fidia ya kile alokifanya??Hata mie na uanamke wangu najua kuwa Baba Mushelelee ni mume wangu na anastahili kunikuna ntamdai kwa nguvu ati...................
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City tatizo ni le Man's ego............. hamtaki kukubali kuwa there are some circumstances women play smater then you ni vile tu kuwa hatukufundwa kujionyesha kuwa nasi tumo..........ndio maana ni rahisi kukuta nyumba ambayo mama ndio kila kitu but yet still ukimwuliza atampa ALL the credits to the Man. Guys we love you so much to the extent of playing on your rules!

Na ndiyo maana kila siku nawahusia wajukuu zangu kuwa wahakikishe mwanamume anabaki kuwa dume linaloendeshwa na testosterone na siyo vinginevyo..

Wakiendelea kuchezea hiyo ergo au kuwafanyia + majeuri yasiyo na sababu, basi wajiandae kuishi na dada-kaka wanaovaa suruali 24/7!

Babu DC!!
 
Hilo la kukamuliwa ni kawaida sana mzee mwenzangu....Naamini umemsoma vizuri MwanajamiiOne....

Ila mie nipata tetenasi ya kichwa kuambiwa kwamba wamefikia mahali pa kubargain kabla ya kupeana...

Haki ya nani hilo kwangu ingekuwa kama kumwagiwa maji ya kwenye freezer kabla ya dinner...

Babu DC!!

Blue: Bado sijamwelewa huyu binti.... Kukamuliwa na mke? Labda siyo mke wangu asee. Atanikamua kwa sababu zipi? Hizihizi hela ndogo kama 50K anazoweza kuziomba kwa ajili ya kitchen party "feki" au tunazungumzia kiasi gani. Manake akihitaji kiasi kikubwa kitahitaji maelezo ambayo lazima niya-approve. Na wife akikukong'olo kiasi kidogo kama 100K yaweza pia kuwa rushwa? Ikumbukwe kuwa hiyo yaeza tokea mara moja kwa mwaka....

Red: Mzee mwenzangu, nimefikia kipindi cha kuomba Mungu wife asiombe game tukilala.... hiyo ya kumhonga mke ili upate ile makitu tuwaachie damu changa kina Mentor na Nicas Mtei. Wazee wenzangu Mtambuzi na EMT wanaweza kuwa mashahidi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Kaka yangu Dark City bado nasisitiza kuwa kama kweli wanakaa na KUBARGAIN NA KUKUBALIANA............... mashangao yangu mie kama MwanajamiiOne yako kwa huyo mwanaume na sio mwanamke.......anakubalije kupangiwa bei kwa kitu ambacho anastahili kupata free of charge (Unless the cost of romancing and convincing) kama either halipi fadhila au halipi fidia ya kile alokifanya??Hata mie na uanamke wangu najua kuwa Baba Mushelelee ni mume wangu na anastahili kunikuna ntamdai kwa nguvu ati...................

Naona leo umefidia siku ambazo umeishi mafichoni....

Ahsante sana kwa kurudi jukwaani...lol!!

Babu DC!!
 
Kaka yangu Dark City bado nasisitiza kuwa kama kweli wanakaa na KUBARGAIN NA KUKUBALIANA............... mashangao yangu mie kama MwanajamiiOne yako kwa huyo mwanaume na sio mwanamke.......anakubalije kupangiwa bei kwa kitu ambacho anastahili kupata free of charge (Unless the cost of romancing and convincing) kama either halipi fadhila au halipi fidia ya kile alokifanya??Hata mie na uanamke wangu najua kuwa Baba Mushelelee ni mume wangu na anastahili kunikuna ntamdai kwa nguvu ati...................

Hahahahahaha!

Mjukuu wangu, lala sasa imetosha. Hivi huko Sudani ya Kusini nyagi zinafika?

Nimekumisi ujue....
 
Blue: Bado sijamwelewa huyu binti.... Kukamuliwa na mke? Labda siyo mke wangu asee. Atanikamua kwa sababu zipi? Hizihizi hela ndogo kama 50K anazoweza kuziomba kwa ajili ya kitchen party "feki" au tunazungumzia kiasi gani. Manake akihitaji kiasi kikubwa kitahitaji maelezo ambayo lazima niya-approve. Na wife akikukong'olo kiasi kidogo kama 100K yaweza pia kuwa rushwa? Ikumbukwe kuwa hiyo yaeza tokea mara moja kwa mwaka....

Red: Mzee mwenzangu, nimefikia kipindi cha kuomba Mungu wife asiombe game tukilala.... hiyo ya kumhonga mke ili upate ile makitu tuwaachie damu changa kina Mentor na Nicas Mtei. Wazee wenzangu Mtambuzi na EMT wanaweza kuwa mashahidi wangu.
Inategemea unadefine vipi neon kukamuliwa......................Naombeni nikalale, watakuja kina@charminglady, sweetlady, amu, madameB e.t.c kuendelea
 
Last edited by a moderator:
Blue: Bado sijamwelewa huyu binti.... Kukamuliwa na mke? Labda siyo mke wangu asee. Atanikamua kwa sababu zipi? Hizihizi hela ndogo kama 50K anazoweza kuziomba kwa ajili ya kitchen party "feki" au tunazungumzia kiasi gani. Manake akihitaji kiasi kikubwa kitahitaji maelezo ambayo lazima niya-approve. Na wife akikukong'olo kiasi kidogo kama 100K yaweza pia kuwa rushwa? Ikumbukwe kuwa hiyo yaeza tokea mara moja kwa mwaka....

Red: Mzee mwenzangu, nimefikia kipindi cha kuomba Mungu wife asiombe game tukilala.... hiyo ya kumhonga mke ili upate ile makitu tuwaachie damu changa kina Mentor na Nicas Mtei. Wazee wenzangu Mtambuzi na EMT wanaweza kuwa mashahidi wangu.

Hilo la kupata mkwanja kidogo nalikubali sana..ndiyo maana siku zote nyumba kubwa hutamba kwa vijizi kwamba inamiliki na kutumia ...unlimited access and download..lol!!

Kwenye kulipishana bwana, kweli tuwaachie hawa dot com na dunia yao...

Babu DC!!
 
Hahahahahaha!

Mjukuu wangu, lala sasa imetosha. Hivi huko Sudani ya Kusini nyagi zinafika?

Nimekumisi ujue....
Hahahah Babu yangu kipenzi huku ni mwendo wa kahawa.....huoni tunakosa usingizi?Haya nalala sasa maana naona leo....mh
 
Hahaha Babu yangu Dark City nialike nikusaidie.....si unajua tena,

Mhhhhhhh,

Mbona unataka kunimaliza MJ1?

Au unataka ndiyo nipewe bei kabisa....

Mie nitachapa interview hivyo hivyo...ila nitakutumia draft ya report unisaidia kuhariri...

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom