Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

Rushwa ya ngono kwenye ndoa na mahusiano....!!

He he he, babu mie huwa sikopwi wala silipwi, nimepewa bure na ninatoa bure

Ya nini nimtese mtoto wa mwanamke mwenzangu?

Huyo mama Tery ana ndoa? Kama hana atawapoteza. Kwenye utanmaduni huu wa mitala uanze kumpangia rushwa? Si anakimbia kimoja?!

Hahahahahahahahah,

Na wewe umechomokea wapi?

Au umekopwa?

Babu DC!!
 
Nshakwambia mke wangu acha bangi kunywa viroba hutaki kunisikia.

Haya sasa maswali ya hesabu umeyajibia kwenye pepa ya Jografia.....

Ntakuhonga ujue...

Umeona na wewe...

Kachomokea mlango usio wenyenyewe....may be mzigo wa mnyamwezi umemshinda...lol!!

Babu DC!!
 
Naomba unohonge kuanzia unapovalia mkanga hadi magotini

Mie vya kukupangia siwezi, hata kama nimekufumania

Nshakwambia mke wangu acha bangi kunywa viroba hutaki kunisikia.

Haya sasa maswali ya hesabu umeyajibia kwenye pepa ya Jografia.....

Ntakuhonga ujue...
 
He he he, babu mie huwa sikopwi wala silipwi, nimepewa bure na ninatoa bure

Ya nini nimtese mtoto wa mwanamke mwenzangu?

Huyo mama Tery ana ndoa? Kama hana atawapoteza. Kwenye utanmaduni huu wa mitala uanze kumpangia rushwa? Si anakimbia kimoja?!

Hayo maneno hajayasema Mama Terry bwana...yamesemwa na mgeni wake....

Na suala siyo kuwa na ndoa au la...

Ndiyo maana nikapanua mjadala ili hata wale wasio na ndoa watupe uzoefu wao!

Babu DC!!
 
Babu mie siamini katika kutumia ngono kupata kitu hata kwa mnyamwezi.

Hivi hoja zote zimeisha hadi nimkonvisi kwa kutumia pipi?

Anyway, kama mtu hajiongezi
Hayo maneno hajayasema Mama Terry bwana...yamesemwa na mgeni wake....

Na suala siyo kuwa na ndoa au la...

Ndiyo maana nikapanua mjadala ili hata wale wasio na ndoa watupe uzoefu wao!

Babu DC!!
 
Naongea, akiwa mbogo natulia

Next week, nasema tena kwa mtindo tofauti, na akinipa dk 2 za ku-explain kaumia, lazima anafanya nitakacho.

Hata yeye huwa anashangaa how? Maneno, hoja, timing vinasaidia

Huwa hushangai wanawake wanahongwa maVX? Wanaweza kuwa wala sio wazuri kwenye huduma, ila kumwelewa mtu tu.

Unatumia nini??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom