Babu, believe me, we are very smart on this.................. tatizo lenu huwa mnazidiss kitchen party kuwa hazina kitu!! Am telling you zina impact kubwa sana katika ndoa pale ambapo muhusika ataamua kuzifanyia kazi kikamilifu. Mie nilifundishwaga kuwa mumesio wa kubishana naye, kama kuna kitu unaona ni cha muhimu kwenye familia na mume haoni huo umuhimu (after all men are color blind!!) tumia techniques to get it bila kumconfront.............. (Ila sio kumdai, tax mpaka ashtuke) Mume wangu mwenetu Mgeni anatakiwa kwenda picknick na wenzake (Anadaiwa 50,000) utamaka 50,000 zote hizo za nini? sina bwana mpe hii 20,000/= Eh (na goti umepiga) mume wangu aksante sana, dah kwa kweli mume wangu unampenda mwaneti jamani aksante mpenzi na mmmmmnmwaaaa huku ukikipapasa kile kitambi......... ukifika kunako game, motto wa kike umeachia mkuno wa Nazi, anakolea katikati unasizi...............ikitoka ahhh vipi tena Mama Mgeni mbonaaa?.... unaachia ....samahani mpenzi (sauti ya pua ati) nisamehe yaani ghafla limepita wazo la ntapata wapi pa kuongezea ile hela ya Mgeni ndo mana network imekata dah..hata sijui ntafanyaje, na tuchozi twa mbali.........kama hujasikia usijali tuendelee kesho ntamtuma dereva ailete ilobaki. Mwe usiku mwema wajameni, mie nlikuwa natania tu. mkinionea aliyeiiba passwedi yangu mnijuze kwa PM