Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Hii inataka maji ya kumezea ndipo ishuke

Badala ya kuomba radhi unacheka wewe amu?
Shauri yako...usipokuwa mwangalifu nitatoa ruhusa kama aliyotoa Pinda,
Babu DC!!
mie nalala pole sana hao wa mwaka 1947 unaowategemea wakukibu wanatoa rushwa mda huu.
Kalagabaho.
Ngoja kwanza kwani bibi yukwapi hadi mda huu upo huku?
Maji yapi unataka Mrembo by Nature??
Hata kama ni machozi ya simba tutakuletea..
Kweni wewe ulishamchaji ujira mtu?
Babu DC!!
Mkuu haya mambo mbona yapo tu,
tena sana, ila kwa wanaume wengine, ni kinyume chake. mwanamke anatafuta maisha na mwanaume anabembelezwa apige
mambo, nionavyo mimi ni udhaifu katika ndoa..
swala la wafanyakazi hiyi ipo, mimi imenikuta sana, madeni wanatengeneza alliance, wanakuwekea kikao hata kama si rasmi, chaweza kuwa cha kumnasa mwanaume mbahili au mgumu. wakifanikiwa wanaweka utaratibu kukushikisha na kukudhibiti, ila mimi walishindwa kwa sabb si kwamba nilikuwa mgumu, bali walimelngesha binti tunafanyakazi nae, nikammega na nikammwaga, nikawa sipokei simu zake, kanteen nakaa mbali nae nk. pikinick nakuwa karibu na wanaume zaidi kuliko wanawake..amesalimu amri. na wanzake wamebaki midomo wazi..kwa sasa wanajiandaa kunipa jina la malaya
Babu DC mimi siyajui mambo haya....sijawahi kufanya. Ila Kwa misingi aliyoainisha huyu bibi mkubwa basi wengi watakuwa walishawachaji
Kweli duniani kuna vibweka...hapo kuna mapenzi au maslahi?
Babu DC? Hata wewe unashangaa? Labda kwa kuwa we ni wa 1947. Siku hizi babu sio kitu cha kushangaza kuwa kunyimwa unyumba ni moja ya strategies za mama kudai akitakacho. Mfano anataka urudi mapema, we unamrudia saa nane, mguse uone kama hujaambulia vipepsi vya yule aloendashtaki kwa Baba Paroko. So uswazi ku'gomewa' ni ishu ya kawa sana maze. Umenikumbusha ile story ya mmama alogundua kuwa mumewe ana tabia ya kununua CD wa Kona Bar, tena kwa bei ya mpaka 50K. Naye akakaa chini, akatafakari na kuamua kuchukua hatua........Yeye anayekaa na kutoa kwa free kila siku na free packages nyingine tele mfano, kukupikia, kukutunzia watoto, e.t.c naye akaweka dau lake. Mume kaja, kabisha hodi, akaonyeswa kiganja (kama konda anavyodai nauli) ......Bila laki hapa baba hupati kitu. Jamaa kahamaki, Eboo we vipi? Yaani mke wangu mwenyewe nimekulipia mahari unanikatalia, Mkewe akamwambia, kama ulilipa mahari kuinunua hii bidhaa ina maana uliipenda ukaona inakufaa na kama kwa sasa unaona haikufai tena either imepitwa na wakati au ni toleo la kale ukaamua kwenda kulipia nyingine basi hii unatakiwa uipige bei au upeleka kwenye soko la mitumba na sio kuitumia tena. So bila 100,000 hapa basi nipige bei wapo wanaotumia mitumba wengi tu. Jamaa akamute siku ya kwanza, ya pili mambo ni yale yale. Ya tatu kazidiwa (Hawara alikuwa kasafiri) akaamua isiwe tabu akatoa 100,000 akapata mchezo ila goli moja tena lisilo na chenga............... mwisho wa siku alisalimu amri

Mkuu Dark City mimi nilipomuoa Mama Rhobi nilimtolea mahari ng'ombe 20 kwahiyo hata siku moja siwezi kudaiwa dau lolote iwe kwa huduma ya kawaida ama huduma ya ziada.
Ila mimi kinachonishangaza hili la wanandoa kupigiana bei...na hata kudaiwa kuongeza dau kama mtu anahitaji huduma ya ziada!!
Babu DC!!
Me ni KE, na kama huamini sijui nikusaidieje, labda nikikate nikutumie kwenye bahasha ili uamini