Kyaiyembe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 1,706
- 665
Kweli Mkuu gfsonwincartura for god sake nitake radhi. Hivi nitakitoa kwa watu wangapi, mara ngapi ili nipate nini?
Basi ni heri nikitoe bure tu kwa yeyote yule ninayejiskia kuliko kukitoa kwa gharama ya uongozi, ama cheo ama pesa. Hivi my my professional excellency and competency can not sell me???
manake ukitoe kwa Walimu O'& A-Level, kwa ma lecturers na baadae kwa mwajiri na viongozi kitalegea 'nut' zake.
Ukichukulia kuwa watumiaji wengine wanakuwa na ile "nitakipata lini tena"
Kisiwe kigezo cha mafanikio!. Sifa na Jhudi za mtu ndiyo viwe vigezo!, mh...! lakini kwa viongozi wetu nina wasiwasi.