Rushwa Bungeni: Kamati ya bunge ya Nishati na Madini yavunjwa

hata mimi nimemuona prof kang`ara kweli leo speed yake inatisha!!

Hata Mwakyembe aling'ara kweli katika sakata la Richmond...lakini mwisho wa siku nani alivaa Pingu na kufungwa jela kwa manufaa ya Taifa?

So hata huyo Profesa hana jipya ktk series inayoendelea nchini Tanzania.

Utanikumbuka.
 
Kifuatacho: Wajumbe kuanza kujitetea randomly kwenye media. Au waitwe ndani ya chama na kufungwa midomo.
 
January Makamba si ndo alikuwa anam-finance dada yake kujenga lile hekalu tulilooneshwa picha zake hapa JF?

Hii ni kwa hisani ya Mwandishi wa habari wa Ferbuary Marope/Mwamwar Marope. Mjukuu wa Malechela, mtoto wa Mwele, Mpwa wa Lemutz. Mange Kiambi muke ya kibabu.... Na mtalia sana tu!

MWAM'S HOUSE WARMING DUA (KISOMO)....siku ya uzinduzi wa mjengo wa binti Makamba...! picha na maandishi by Mange Kimambi!

Not rented....(bought)...yes, if we dream hard enough, we can live out

our dreams...

the door way...

This is when wivu wa maendeleo unahusika kabisaaaa.....

IM INSPIRED MEEEEINNN.....

mange

Mwam,Noela and Bimdo...

Chaya,bimdo, etc...

Girls..

kwa kweli hiki kisomo kilihusika mnoo kushinda hata party....

Kiki and Mwam...

Mange,Kiki and Mwam...

Kiki and i...

Tulikulajeeee sasa.......

Mzee Makamba akicheza na mjukuu wake, mtoto wa January...

The girls wakiwa wanamsikiliza Aunty Sadaka....

Girl chatting...was really fun.....

aaawwww, Mwam's abaya is really nice...

Mama Claus.....hizi nguo anauza kama unataka mzukie...

Mr. & Mrs Makamba wakiwa na binti yao Mwamvita.. They must be really proud of

their daughter...

Kiki and Jameel....

TV ROOM.....(UP STAIRS)...

Master bedroom...Damn Damn....uwiiiii....

sina cha kusema kwa kweli...5 star hotel right here....

in the past 3 days nimejikuta naondoka humu kwa kuvutwa...hahahahaha....

Bathroom....

shower...

Huge Balcony in the master bedroom...

Malaika in her bedroom....

Stairway...

Duh...

The living room (downstairs)....

Living room....

Kitchen....

nafwaaaaaa........

Doorway....

IT’S ALL IN THE DETAILS…..

Hata Mwakyembe aling'ara kweli katika sakata la Richmond...lakini mwisho wa siku nani alivaa Pingu na kufungwa jela kwa manufaa ya Taifa?

So hata huyo Profesa hana jipya ktk series inayoendelea nchini Tanzania.

Utanikumbuka.
Penye zuri lazima tusifie. Siyo vema kutabiri mabaya.
 
nimekuoana shem ukinichungulia tu. aisee miye huwa napenda sana siasa ila huwa sipend za kwenye majukwaa bali nashauri wanasiasa nikiwa nje tu. ni mchezo mchafu kweli.

lakini kweli umeskia mama Lwakatare anaiba umeme wa mamilion jamani is it fair???? niliwah kuwa mwl ktk shule yake wakati ndo zinaanza enzi hizo kule tbt bima sisemi uongo na hata leo anajua aliwah kuwapigisha wanafunzi picha wakiwa na sura za huzuni mabwenini kama vile ni yatima wamekusanywa mahali ili hali ni watoto wa wazazi wenye pesa zao and they were paying about a million by then kama fees. akazituma ulaya haikupita miezi akajenga mbezi beach na kenton.

sasa sijui wafadili wake wamempiga chini kaamua kuiibia tanesco umeme hadi mamilion??

Hii kenton aliwatapeli PPF, lile eneo alikopa PPF kwa jumla ya shs. 315milioni ikiwa ni cost plus interest, na linalipwa kwa miaka 15 toka 2004. Kwa mkataba huu mbovu, huyu mama hulipa Tshs. 1,750,000. Ataendelea kulipa hivyo hadi 2018.

1.Hivi kwa eneo lile pale lenye ukubwa wa karibu eka 6 na palikuwa na majengo ya ghorofa 1 manne, kuuzwa na PPF kwa bei hii si UFISADI?
2. Hivi kwa eneo lote la shule ya Kentoni kulipia Tshs 1,750,000 kwa mwezi, wanachama wa PPF walitendewa haki? Na je kama ni uwekezaji ulikidhi VALUE FOR MONEY AND PRUDENCE INVESTMENT?
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,..............................jamani na miye naitamani hii pepo nikiwa dunian lolest mwamvita anaisha kama yuko peponi??? hivi kweli ni kwamba wengine tumeumbwa kusindikiza wenzetu kimaisha hapa dunian ama ndo maisha yalivyo?? je n kwamba sisi wengine ni wavivu ama hatujui vitu vizuri???....................uwiiii rutta hebu cheki hiyo nyumba ya Binti Makamba and tell me sisi si ******* tu in this life?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: ram
Hii kenton aliwatapeli PPF, lile eneo alikopa PPF kwa jumla ya shs. 315milioni ikiwa ni cost plus interest, na linalipwa kwa miaka 15 toka 2004. Kwa mkataba huu mbovu, huyu mama hulipa Tshs. 1,750,000. Ataendelea kulipa hivyo hadi 2018.

1.Hivi kwa eneo lile pale lenye ukubwa wa karibu eka 6 na palikuwa na majengo ya ghorofa 1 manne, kuuzwa na PPF kwa bei hii si UFISADI?
2. Hivi kwa eneo lote la shule ya Kentoni kulipia Tshs 1,750,000 kwa mwezi, wanachama wa PPF walitendewa haki? Na je kama ni uwekezaji ulikidhi VALUE FOR MONEY AND PRUDENCE INVESTMENT?

mkuu yaani kwa huyu mama anaitapeli NSSF na PPF kimacho macho na ushahidi upo sijui kwanini hawajibishwi manake hata kule BIMA majengo yale aliyanunua kwa mkopo so far ana hidden agenda nyingi sana huwa anasema hawa watoto ni yatima kumbe si kweli ni mwongo sana ila nikae kimya tu nisiseme niyajuayo manake nilishafanya kazi kwake na niliacha ndani ya masaa 24 akaniletea hadi polis nimemwibia chaki kumbe ni baada ya kutokea tukio ambalo lingegharimu maisha ya mwanafunzi na akaona ni jambo la kawaida tu kisa msomali analipa ada.

hebu jiulize kweli wanafunzi wanapoekeana sumu kwenye vyakula kama mmiliki wa shule halafu ukaona kisa huyu msomali ndo mlipa hela nzuri ukaona mswahili ata akifa ni sawa tu???? sitokusahau wewe mama.
 
Hadi kufikia 2015 viongozi wote watakuwa wametuhumiwa kwa rushwa nani atafaa kuwa kiongozi 2015 tafakari chukua hatua
 
January Makamba wewe si msafi

Mama lwakatare aka mlima wa moto aka getrude pangalile lwakatare aka dr aka mheshimiwa wewe si mkristo! Tena si msafi!

Serikali imfilisi huyu mama asiendelee kuwekeza kwenye majengo ya umma kwa bei ya kutupa
 
hii kamati kama imewekwa mfukoni na mafisadi basi haina haja yakuwa na bunge maana ni hatari imejaa wasomi, watu wenye hekima na kama wa narubuniwa kwa mulungura basi bunge halina masaada kwa taifa
 
Kuna wakati kulikuwa na tuhuma kuwa walihongwa sh milioni 300 na makampuni fulani ya mafuta ili wazuie bulk procurement system isianze na pia kuiua program ya kudhibiti wizi wa transit fuel inayofanywa na ewura...mambo ambayo wanaendelea kupigania kwa niaba ya mafisadi hata kwenye taarifa yao ya juzi kabla hawajapigwa chini. Wengi wa wabunge wa kamati hii pia ni wafanyabiashara wa mafuta pia tutegemee nini?
 
mkuu yaani kwa huyu mama anaitapeli NSSF na PPF kimacho macho na ushahidi upo sijui kwanini hawajibishwi manake hata kule BIMA majengo yale aliyanunua kwa mkopo so far ana hidden agenda nyingi sana huwa anasema hawa watoto ni yatima kumbe si kweli ni mwongo sana ila nikae kimya tu nisiseme niyajuayo manake nilishafanya kazi kwake na niliacha ndani ya masaa 24 akaniletea hadi polis nimemwibia chaki kumbe ni baada ya kutokea tukio ambalo lingegharimu maisha ya mwanafunzi na akaona ni jambo la kawaida tu kisa msomali analipa ada.

hebu jiulize kweli wanafunzi wanapoekeana sumu kwenye vyakula kama mmiliki wa shule halafu ukaona kisa huyu msomali ndo mlipa hela nzuri ukaona mswahili ata akifa ni sawa tu???? sitokusahau wewe mama.
Kuwa makini unamwongelea mafia mkuu wa kike!.
 
uzuri wa kipochi manyoya kipo tu, na kama kinaweza kulainisha njia why not....
cartura for god sake nitake radhi. Hivi nitakitoa kwa watu wangapi, mara ngapi ili nipate nini?
Basi ni heri nikitoe bure tu kwa yeyote yule ninayejiskia kuliko kukitoa kwa gharama ya uongozi, ama cheo ama pesa. Hivi my my professional excellency and competency can not sell me???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom