Rushwa Bungeni: Kamati ya bunge ya Nishati na Madini yavunjwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa Bungeni: Kamati ya bunge ya Nishati na Madini yavunjwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Scofied, Jul 28, 2012.

 1. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  Spika wa bunge ameivunja rasmi kamati ya Bunge ya Nishati na Madini leo akihitimisha kupitishwa kwa bugdet ya Wizara hiyo....

   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni kamati ya Nishati na madini,Hoja imetolewa na Vita Kawawa na Mh makinda akaitekeleza hoja hyo!
   
 3. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Ishavunjwa Rasmi
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,394
  Likes Received: 10,590
  Trophy Points: 280
  ivunjwe ,wachunguzwe halafu wawajibishwe.

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  kamati ya nini iliyovunjwa?
   
 6. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Prof Muhongo na timu yake wako Njema. Kiukweli wameng'ara kwenye Bunge la leo
   
 7. K

  KI2CO Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujuzeni viongozi na wajumbe wa iliyokuwa kamati
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ni ya nishati na madini.
   
 9. K

  KI2CO Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kamati ya nishati na madini
   
 10. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mwenye kuwafahamu wajumbe wa kamati tumwagieni majina yao hapa fasta
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Nani anaiongoza kamati hiyo?
   
 12. K

  K.Msese JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Nyepesi Zuberi Kabwe, kwa hali hii, gombea urais sasa.........!
   
 13. P

  Penguine JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ile ya mrema vipi jamani
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  mkuu nina hofu sana na vitisho ambavyo amekuwa akipata hata leo humu bungeni jamani prof ni kichwa aisee hata simba chawene na mwenzie wako vizuri hofu wasije tu waka mfanya kama mwakyembe walivyo mfanya.
   
 15. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Akina nani hao? Mwenye majina yao tafadhali.
   
 16. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,602
  Likes Received: 2,458
  Trophy Points: 280
  Ni kamati ya kudumu ya bunge ya nishati na madini, sambamba kamati nyingine zinazotuhumiwa nazo zitavunjwa.
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,854
  Trophy Points: 280
  nimeskia wakiitaja st marys so mama lwakatare kama siyo memba lni mmojawapo wa watu waliohusika kuhujumu tanesco
   
 18. S

  Sessy Senior Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhh kazi kweli kweli mungu atusaidie kwa kweli
   
 19. K

  K.Msese JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,470
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Nyepesi Zuberi Kabwe, sasa nakushauri ugombee urais, kwakuwa kweli unafaaaa................!
   
 20. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  January Makamba kuna tetesi kuwa alisababisha hayo yote kwa kuwa MD wanatoka wote Tanga
   
Loading...