Naona defender kama nne zimejaa askari na gari la maji ya kuwasha yamepita maeneo ya
tazara yanaelekea mjini,sijui ndio mahakamani.Hivi watanzania tutaishi kwa kutishana hivi
mpaka lini?......
Wakipindisha tu hukumu basi wameumia......
Tujuze kinachoendelea......
Watu ni wengi sana nje na ndani,
Majaji wanatambulishwa!......
Nikijaribu kuchanganua kidogo kwa upeo wangu ni kua CCM sio kwamba hawajui nini kitafuata kama uchaguzi utarudiwa! La hasha wanachokitaka CCM ni kua hawamtaki na wala kumsikia Lema bungeni! wanadai ni bora aje mbunge mwingine wa CHADEMA na sio Lema! Kweli huyu jamaa anawanyima usingizi CCM!
kamanda Lisu yupo? na kuna makamnda gani wengine zaid ya Lema??
Kuna coaster kama tano hivi,zimeingia sasa hivi na watu kutoka Moshi.
Leo mnaruhusiwa kutiririka Live?
Tupo pamoja mkuu!Pompo,
Kamanda Lissu hajafika
-Lema amesindikizwa na Mkewe aliyekaa pembeni yake
Pia wapo makamanda Henry Kileo,Renatus Mrashan Katibu wa BAVICHA Dar,Mashuve M/kiti wa BAVICHA Tanga,Wapo Madiwani wengi.
-Diwani Boniphace wa Ubungo yupp njiani na makamanda wengi
Karibu sana.Tupo Mahakamani.Kamanda Lema ameshaingia amekaa kiti cha Mbele........ .
Tupo pamoja, ndio naelekea mahakamani,nikibahatika kupata nafasi ya kuingia nitawahabarisha tu!
Kuna coaster kama tano hivi,zimeingia sasa hivi na watu kutoka Moshi.......
Pompo,
Kamanda Lissu hajafika
-Lema amesindikizwa na Mkewe aliyekaa pembeni yake
Pia wapo makamanda Henry Kileo,Renatus Mrashan Katibu wa BAVICHA Dar,Mashuve M/kiti wa BAVICHA Tanga,Wapo Madiwani wengi.
-Diwani Boniphace wa Ubungo yupp njiani na makamanda wengi......
mpaka tutakapoacha kuichagua ccm yenye utawala wa mabavu.......