Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days
Kwa akili yako ndogo unadhani kila mtu ni mtumwa!! box oyee, mimi nasubili makusanyo ya biashara zangu jioni.Sina muda wa kupoteza kupiga porojo na kilaza wa kijiweni kama wewe, maana ndiyo asili yenyu watanzania ngoja nikapige kazi
Nilikusifu kweli kwa kumuelewa Bara-bara.
Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days
Kwa akili yako ndogo unadhani kila mtu ni mtumwa!! box oyee, mimi nasubili makusanyo ya biashara zangu jioni.
Mwea, unajua umemkosoa Matola na maneno makali huku ukimuaminisha kuwa wewe upo Marekani na kuwa ulipiga kura mapema. Tatizo lako uliposema sehemu ulipo kuwa ni Uhio hapo ndio uka-raise doubts kwa Matola maana kwa hakika hiyo sehemu haipo, si tu Marekani, bali pia duniani kote! Sasa wewe uko sayari gani? Au uko mwezini?Sina muda wa kupoteza kupiga porojo na kilaza wa kijiweni kama wewe, maana ndiyo asili yenyu watanzania ngoja nikapige kazi
Mkuu Ngongo kwa kipindi hiki tafadhali jitahidi kusahau tofauti zako na Lema, endelea kumtabiria mambo mema ili hatimaye haki yake ionekane ikitendeka na kupatikana.
hivi hawa Guests huwa ni kina nani? inamaana ni wengi kuliko membersThere are currently 971 users browsing this thread. (204 members and 767 guests)
Wanabodi na wanaushirika.
Tujenge utamaduni wa kuheshimu uhuru wa mahakama tukubali hukumu yoyote itakayotolea na mahakama.
Wamo kina Salva Rweyemamu humo, Mkwele mwenyewe akipata muda huwa tunakuwa naye humo pamoja na Members wengine ambao huwa hawapendi kulog in kuchangia.hivi hawa Guests huwa ni kina nani? inamaana ni wengi kuliko members
Jembe Lema anaongea na wanahabari, jamaa anajiamini sana!
Pipoooooooz Pawaaaaaa!
CCM mtatafuta hifadhi ya kisiasa mwaka huu hadi ifike 2015 mtakuwa hoi!
Hebu sahihisha kwanza hapa!! kwa data nilizo nazo Tanzania kwa sasa haina mbunge yoyote anayeitwa LemaLema ni mbunge wa zaidi ya watu laki 2, na mwanaharakati wa chama nyenye mamlioni ya wafuasi wenye mapenzi makubwa sana kwa chama nchini.
Hujaona bado wapi umihmu wake unaonekana?hembu fikiria kinachoweza tokea ktk ya wafuasi wote hao nyumba yake kama hakiwezi kuwa habari tena ya kutisha kama si ya kushangaza sana.
Huyu alikimbia shule kati ya darasa la tatu na la tano.
Kumbe Chadema ni kama PAKA??? Nimependa sana huo uwakilishi
Zitakuja zaidi n amagari binafsi pamoja na pikipiki za kutosha,hasa kwa wale watu waliokuwa hawana hakika sana kuwa ni dar au arusha.Watu wa arusha wamezoea kudrive na kwenda mbali.Hata timu ya wazee huenda nzhi nzima kucheza mechi za kujifurahisha na watu wa huko, na huko hupiga mechi kuanzia asubuhi hadi jioni kwa viwanja tofauti ktk hiyo mikoa.So usisngae kuona rubega za kutosha siku hiyo.