Who is Lema kwani?????? Kwanini habar yake ipewe mvuto. KUna mambo mengi sana ya kuandika na yenye uzito..siyo habari kama hii!!
Hata kama hautokuwa sahihi lakini wewe ndiye pekee niliyekuelewa tena kwa kutumia maneno machache mno. nilitalajia waliopo Mahakamani watupe maelezo ya format hii.Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days
Mwongo mkubwa wewe, katafute vijiwe vya kahawa ndio uende kuwadanganya wajinga na wapuuzi wenzio.
kweli ee!basi tusiwe na mahakama halafu ninyi ndio mtakaokuwa mnaamua kipi haki na kipi si haki.Anayejua haki imetendeka au haijatendeka ni sisi wananchi ambao tulimpa kura mbunge wetu si mahakama,na haki isipotendeka ndio nimesema wataumia.
Mkuu kabla ya rufaa kuanza kusikilizwa pale arusha, upande wa ccm waliweka pingamizi juu ya usikilizwaji wa rufaa hii kutokana na makosa yaliyofanywa na mahakama kuu ya arusha ktk documents zilizowasilishwa na wakili wa cdm, maamuzi juu ya mapingamizi hayo ndio yametolewa leo ambapo mahakama imeamua marekebisho yakafanyike na kesi ya msingi itaendelea baada ya siku 14.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kumbe kuna sisi na ninyi?Nimekujua tayari.kweli ee!basi tusiwe na mahakama halafu ninyi ndio mtakaokuwa mnaamua kipi haki na kipi si haki.
Lema kashinda Pingamizi la kesi leo, kesi inaanzwa kusilizwa kesho then Hukumu after 14 days
Nilikusifu kweli kwa kumuelewa Bara-bara.Kama nimekuelewa vizuri mkuu ni kwamba pingamizi lililokuwa limewekwa na wakili mughwai wa ccm limetupwa na sasa kesi ya msingi ambayo ni rufaa ya Lema itaanza kusikilizwa baada ya hizo siku 14? au nimeelewa tofauti?
Poleni makamanda mmekodisha costa kumi kutoka Arusha na Kilimanjaro mpaka Dar, kesi imepigwa tarehe mtarudi au mtasubiri mpaka tarehe 14.
Ni kweli Upo Marekani.Wewe ndiyo mjinga na mpuuzi, mimi nipo hapa Marekani jimbo la Uhio na mimi mwenyewe nimepiga kura tarehe 20 mwezi jana, sa sijui unachobishana na mimi bila ushahidi ni nini kama siyo ujinga uliokukaa kichwani. Jinga sana
Kama nimekuelewa vizuri mkuu ni kwamba pingamizi lililokuwa limewekwa na wakili mughwai wa ccm limetupwa na sasa kesi ya msingi ambayo ni rufaa ya Lema itaanza kusikilizwa baada ya hizo siku 14? au nimeelewa tofauti?
Mkuu kabla ya rufaa kuanza kusikilizwa pale arusha, upande wa ccm waliweka pingamizi juu ya usikilizwaji wa rufaa hii kutokana na makosa yaliyofanywa na mahakama kuu ya arusha ktk documents zilizowasilishwa na wakili wa cdm, maamuzi juu ya mapingamizi hayo ndio yametolewa leo ambapo mahakama imeamua marekebisho yakafanyike na kesi ya msingi itaendelea baada ya siku 14.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wewe ndiyo mjinga na mpuuzi, mimi nipo hapa Marekani jimbo la Uhio na mimi mwenyewe nimepiga kura tarehe 20 mwezi jana, sa sijui unachobishana na mimi bila ushahidi ni nini kama siyo ujinga uliokukaa kichwani. Jinga sana
Ni kweli Upo Marekani.
Heshima kwenu wakuu,
Tangu mwanzo nilitabiri hii kesi Lema atashinda,leo mapingamizi mawili yametupwa na moja limeamriwa lirekebishwe ndani siku kumi na nne ili kesi iendelee kusikilizwa.
Heshima kwenu wakuu,
Tangu mwanzo nilitabiri hii kesi Lema atashinda,leo mapingamizi mawili yametupwa na moja limeamriwa lirekebishwe ndani siku kumi na nne ili kesi iendelee kusikilizwa.