Ukiiweza hii kuiishi inaondoa stress zoote... Sio ile mikausho usoni moyoni unacomplain.Never complain and never explain
Mkuu ,umefunga DMHuli hela yangu mpaka nikutafune kwanza haina ufagio hio!
Hiyo 2 na 3 tunashare mkuu1.Huwa sisamehi.. yaan ukinifanyia ubaya ni imetoka hyo... Tutaongea .. kusalimiana ila kusamehe .. huwa sisamehi.. nahis hili jambo si zuri
2.sishobokei mtu hata awe nani
3.hata kama ni shida/tatzo.. huwa sionyeshi.. nakua kawaida.. hata kama napitia kipind kigum vip.. some1 from outside.. will neva ever know
Ukweli daima!Habari za muda huu wapendwa wa JF,
Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Unaogopa kuliwa na boss mkuu-Marufuku kuwa na urafiki wa karibu na mtu ninayemwita boss
- Swali lolote kuhusu maisha yangu binafsi huwa sijibu au nikikujibu nakudanganga.naheshimu my privacy sana.
Wenye pesa hawasalimiwi mkuuNdugu wengine ukimpigia tu simu anahisi unataka kumpiga kizinga anakupotezea na kukukwepa.
Kumbe ulitaka kumsabahi tu
Kuna mpuuzi namdai laki nne ananizungusha sana alafu ni mtu mzima namheshimu tunaheshimiana.Mtu namdai, sitachoka kumpigia hata anipe block