Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Hahaa "the one to be disturbed" siyoBila kunichokoza sikuchokozi!


Hahaa "the one to be disturbed" siyoBila kunichokoza sikuchokozi!


wamekufanyaje?-Sijali chohote
-Sihitaji urafiki na mwanamke kamwe
Kama Al Capone,duhNasamehe mbele ya jamii sisamehe moyoni lazma nikupoteze tu,,
Naomba namna yako mkuuSichukuagi namba ya mtu hovyo kama sina mishe na wewe
wajinga ni wengi mno hii duniaOnly God can Judge Me.
Nan akutawale wewe??Kutawaliwa kiboya nimekataa usivuke kipimo
Sema ninazo nyingi halafu nimezipa uzito sawa ila ngoja tuiweke hii...
That is a great one.Sema ninazo nyingi halafu nimezipa uzito sawa ila ngoja tuiweke hii...
Kuwa open na kusambaza upendo, giving people their flowers while they are still living.
Dah! Umenisoma.Hahaa "the one to be disturbed" siyo![]()
Naichukua maana yamenikuta-Sijali chohote
-Sihitaji urafiki na mwanamke kamwe
Ila muhimu sana kuitumia kuwajua watu vizuri mkuu.. ShukraniHii Akili ya Wachache sana bro.
Mkuu umenikumbusha mbali
Kuna siku 1 tulikuwq mazingira ya bar mwanaume 1 akamfokea bar maid hadi nikajiskia vibaya. Ishu ndogo tu jamaa alimdhalilisha yule dada ikabidi niingilie kati kupooza hali ya hewa. Tangu siku ile sikumpenda tena yule kaka, it was so inhuman kwa kweli.