Rule namba moja yako ipi?

Rule namba moja yako ipi?

mm ni mwema,mtiifu mcha mungu mnyenyekevu sana, napenda kujari watu wa rika zote ndani na nje ya ofisi lkn ...mm ni nani?? unapoleta deep shit zako utafurah sanaa
mm ni zaidi V.PUTIN kwa wa ukraine
 
Never force a connection.
Habari za muda huu wapendwa wa JF,

Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?

Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
 
1. Stop telling people more than they need to know. Information ni ghali sana.

2. Napenda revenge, haijalishi nitatumia muda gani kuitimiza.

3. Sitafuti validation kwa mtu au watu.
Ww ni mimi hasa hapo kwenye revenge
 
Rule namba 1.
sijihusishi na mapenzi na mwanamke niliyemkopesha Hela.

nashukuru Mungu hii imenisaidia sana maana nakopesha wadada kwa wamama na hakuna aliyewahi kuniletea pigo za kumlala ili akwepe deni.
 
L
Nikikupgia au kukutumia msg na namba yangu huwa ni ile ile miaka inaenda 10 sasa

ukaniuliza "NANI" au "wewe nani" au "nani mwenzangu" Huwa nakata simu on spot

na hapo hapo nafuta no.yako cause hata yangu kumbe hauna,Tukikutana tena face to Face tutapeana upya namba.
Labda cmu yangu ili poteza contact mkuu,ndio maana mtu anauliza we Nan ili aisave Tena namba yako cio Kwa ubaya .
 
Habari za muda huu wapendwa wa JF,

Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?

Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Bila ushahidi na kujiridhisha hata uniambie Nini nitakupuuza haijalishi ni mke au mama au yeyote.

Kwa hiyo huwa sifanyi Kazi kwa hisaia au kwa kusikia tuu kama walivyokuwa wanaambiwa wale wanyonge.
 
Sina muda wa kijieleza (hasa kwa mtu asiyetaka kusikia kutoka kwangu) kama umesikia kitu njoo niulize nitakupa maelezo ,ukiamini ulichokisikia mimi sijali.
 
Sina rafiki,nina washirika tuu ninao shirikiana nao kwenye mambo kadha wa kadha tukimaliza hilo jambo kila mtu ashike njia yake.
Kama jambo ni endelevu tutakua tunawasiliana kwenye jambo hilo tuu.

Kwa mfano kuna watu we talk about Manchester united only!
Kuna watu we talk about cr7 only!
 
Tangu nimegundua ukiwa mwema sana utaonewa hata na wadhaifu, nacheza na beat, nitakujibu mara mbili ya utakavyokuja. Ukija kwa wema utaukuta, ukija kwa ubaya sikuachi.
Same here

I'm really nice guy but if f**ck with me , we gonna have some issues
 
Back
Top Bottom