Rule namba moja yako ipi?

Rule namba moja yako ipi?

Rule namba 1. Always Wali ni wamasela na ugali ni wamadem

Rule hiii imenipatia credit sana kwa masela na madem wananchukia wakija getu wanakutana na hii quote kwenye ukuta
 
Cjajiwekea Rule maana nikijiwekea rule ni kama nimejiwekea mashart napenda kuwa flexble. Nipo vile nilivyo
 
Sio kila aliyepo huku yupo kama unavyodhani
 
My no 1 rule.

Ikitokea umemtongoza mwanamke usimuombe jibu.
 
Back
Top Bottom