Rule namba moja yako ipi?

Rule namba moja yako ipi?

Sina rafiki,nina washirika tuu ninao shirikiana nao kwenye mambo kadha wa kadha tukimaliza hilo jambo kila mtu ashike njia yake.
Kama jambo ni endelevu tutakua tunawasiliana kwenye jambo hilo tuu.

Kwa mfano kuna watu we talk about Manchester united only!
Kuna watu we talk about cr7 only!
Malizia pia kuna watu huwa wanakuletea stori za mayele only
 
Bila ushahidi na kujiridhisha hata uniambie Nini nitakupuuza haijalishi ni mke au mama au yeyote.

Kwa hiyo huwa sifanyi Kazi kwa hisaia au kwa kusikia tuu kama walivyokuwa wanaambiwa wale wanyonge.
Lakini kibongo bongo hii style mbona kama ngum hasa ukiwa kwenye ofisi zao... maana naskia ukiwa kazini ili uendane na boss lazma ujitoe akili kodgo ili mambo yaende sawa ... namanisha asilimia 75% ya majibu yako lazma yawe sawa mkuu .... na asilimia iliyobaki utahitajika usifie tu ikibidi upige makofi na tabasamu juu
 
Lakini kibongo bongo hii style mbona kama ngum hasa ukiwa kwenye ofisi zao... maana naskia ukiwa kazini ili uendane na boss lazma ujitoe akili kodgo ili mambo yaende sawa ... namanisha asilimia 75% ya majibu yako lazma yawe sawa mkuu .... na asilimia iliyobaki utahitajika usifie tu ikibidi upige makofi na tabasamu juu
Mimi sio boss
 
My brain is perfect 100% in each and everything concern me

Usijisumbue kunipa ushauri
 
Nikikukopesha situmii nguvu kukudai ukiona unafaa kunilipa njoo unilipe.
 
Ukinizingua nakulima BLOCK!
Idadi ya watu niliyowablock inaniogopesha nahisi kama nina blocking addiction wakuu sio poa. Tuiite blockiosis
 
Acha utani..mbona mbunye haileti hela zaidi ya kutoa hela..ila unaishobokea.

Mkuu mbunye inaleta hela,, hujajua kuichapa vizuri...

Vibenteni wanalielewa hilo,, wale kuchakata mbunye ni ajira kama ajira zingine na ndio zinawaweka mjini..
 
Lakini mwisho wa siku pesa siyo kila kitu

Mkuu nakuhakikishia kwa dunia ya Sasa Pesa ndio kila kitu.....

Hakuna ufahari wowote wa kutokuwa na pesa kwenye Dunia hii ya sasa....

Kama una mifano ya kukazia ujumbe wako iweke wazi,,,may be ika make sense
 
Habari za muda huu wapendwa wa JF,

Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?

Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Never trade respect for attention
 
Back
Top Bottom