Rule namba moja yako ipi?

Rule namba moja yako ipi?

Habari za muda huu wapendwa wa JF,

Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?

Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
1)KUJISHUSHA(down to earth)
 
Mwanamke mpenda dini simtilii maanani kwani wengi wao ni mambumbumbu, mafuska wa kisiri siri, wanafiki, pia ni wachawi
 
Sasa ndugu mfano unaenda sehemu ambapo hujawahi kwenda afu Kuna mwenyeji wako ndo unategemea akupokee
Umefika stend umepiga simu yake hajapokea Je hutopiga tena??

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
people are not really my friend
kuna watu wanasema rules zao lakini ukiziangalia hazicomply kabisa na our normal life
 
Habari za muda huu wapendwa wa JF,

Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?

Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Mimi mwanamke mpenda dini, hana thamani kwangu kwani wengi wao ni mafuska waliostaafu.
 
Kuna mpuuzi namdai laki nne ananizungusha sana alafu ni mtu mzima namheshimu tunaheshimiana.

Kila wqzo linanijia,nasema nikamtukane no sio kawaida yangu,nimnunie no ni upuuzi,kila nikienda ananipiga kelenda tu.

Ebu nipeni mawazo
Mpe fact, asilete mazoea kwenye pesa. Pesa inavunja urafiki na udugu
 
Tatizo akiniona tu anaanza kinikumbusha kwamba daah safuher nakumbuka unanidai ila tutakamilisha.

Ila acha nifanye subra tu
 
Habari za muda huu wapendwa wa JF,

Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?

Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Never trust someone anayekimbilia kulia kabla ya kukiri kosa au kuomba msamaha
 
Habari za muda huu wapendwa wa JF,

Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?

Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....
Rule no one
MKUBWA HAKOSEI.
 
Sitazungumza maswala ya mtu mabaya kwa mtu mwingine, mfano najuwa demu anangoma simasnui yoyote anaemfukuzia acha auvae nimejuta,

I trust in karma

Huwa ninamsikiliza mtu namsaidia ila siwi na expectation ya return yoyote

Asieweza kutunza siri ndogo nampa kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom