safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,177
Sahihi mkuu.Kuna kupoteza line na mambo mengine mkuu xo wakati mwingine inatokea tu hajakiliza kwa niambaya
Ila kama ni mtu anakufahamu ukimsalimia na kumuuliza hali atakujua tu.
Sahihi mkuu.Kuna kupoteza line na mambo mengine mkuu xo wakati mwingine inatokea tu hajakiliza kwa niambaya
Mkuu fafanua inakusave kivipi ..Mr DON'T CARE,huwa inanisave sana hii kitu
Hahah mkuu fafanua..naamini siwezi kuwa kwenye matatizo na shida kwani thats not my purpose na inafanya kazi
Sitoi advice kama sijaombwa
Ha ha haMisimamo sivunji bora nivunje mahusiano
Hahahahah.Maana kuna wasee wana zingua saana kila ukikaa kimya nafsi inakataa
1.Huwa sisamehi.. yaan ukinifanyia ubaya ni imetoka hyo... Tutaongea .. kusalimiana ila kusamehe .. huwa sisamehi.. nahis hili jambo si zuri
2.sishobokei mtu hata awe nani
3.hata kama ni shida/tatzo.. huwa sionyeshi.. nakua kawaida.. hata kama napitia kipind kigum vip.. some1 from outside.. will neva ever know
Ufafanuzi tafadhali[emoji17]"It's all relate". Simple tu hivyo.
Ufafanuzi hapo kaka!Nakazia ... for every action there is equal or opposite reaction.
Mkuu hiyo picha hapo.. ni Mdindifu au Mkangafu?Sipokeagi simu.
Huwa naiangalia inavyoita ikikata tu nakupigia ili niwe huru kumaliza maongezi.
Hakuna kitu nachoonaga uvivu kama kuongea na simu muda mrefu.
Kwanza pole sana, tulia mpe mda be patient,atakulipa Kwa surprised,shida haziishi atarud tu na akirud asahau Msaada wako . jaribu tu kumkumbusha unashida na iyo ela .Kuna mpuuzi namdai laki nne ananizungusha sana alafu ni mtu mzima namheshimu tunaheshimiana.
Kila wqzo linanijia,nasema nikamtukane no sio kawaida yangu,nimnunie no ni upuuzi,kila nikienda ananipiga kelenda tu.
Ebu nipeni mawazo
Umetisha jamaaa..Sina rafiki,nina washirika tuu ninao shirikiana nao kwenye mambo kadha wa kadha tukimaliza hilo jambo kila mtu ashike njia yake.
Kama jambo ni endelevu tutakua tunawasiliana kwenye jambo hilo tuu.
Kwa mfano kuna watu we talk about Manchester united only!
Kuna watu we talk about cr7 only!
Tafuta Kitabu kinaitwa "The Subtle Art of not Giving a ***" kimeandikwa na Mark Manson.Mr DON'T CARE,huwa inanisave sana hii kitu
This is me!mm ni mwema,mtiifu mcha mungu mnyenyekevu sana, napenda kujari watu wa rika zote ndani na nje ya ofisi lkn ...mm ni nani?? unapoleta deep shit zako utafurah sanaa
mm ni zaidi V.PUTIN kwa wa ukraine
Bora wewe, mimi huwa nafuta kabisa namba.Ukinizingua nakulima BLOCK!
Idadi ya watu niliyowablock inaniogopesha nahisi kama nina blocking addiction wakuu sio poa. Tuiite blockiosis
Sasa ndugu mfano unaenda sehemu ambapo hujawahi kwenda afu Kuna mwenyeji wako ndo unategemea akupokeeHabari za muda huu wapendwa wa JF,
Najua katika maisha kila moja ana msimamo wake ambao mwenyewe anauamini... naamini pia hapa kuna watu tofauti kila moja Ana falsafa yake ... hebu share nasi yako ni ipi?
Tuanze na mimi binafsi rule namba moja yangu ni
SUKUPIGII SIMU MARA MBILI ...imeisha hiyo ....