Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Ndugu wengine ukimpigia tu simu anahisi unataka kumpiga kizinga anakupotezea na kukukwepa.Sahihi kabisa,
Bora rafiki masikini anaye kujali kuliko ndugu tajiri asiye kujali.
Kumbe ulitaka kumsabahi tu
