Rule namba moja yako ipi?

Rule namba moja yako ipi?

Nikikupgia au kukutumia msg na namba yangu huwa ni ile ile miaka inaenda 10 sasa

ukaniuliza "NANI" au "wewe nani" au "nani mwenzangu" Huwa nakata simu on spot

na hapo hapo nafuta no.yako cause hata yangu kumbe hauna,Tukikutana tena face to Face tutapeana upya namba.
 
Kuna kupoteza line na mambo mengine mkuu xo wakati mwingine inatokea tu hajakiliza kwa niambaya
 
Si save namba yako kwenye simu yangu,kisa tumekutana leo tukapena namba.

Tukipeana namba ukani beep nika kubeep ,yako itabaki kwenye dialed Calls pale pale

si i save kuipeleka popote,huwa na save namba inayokaa kwenye dialed call zaidi ya mwezi.
 
Kuna kupoteza line na mambo mengine mkuu xo wakati mwingine inatokea tu hajakiliza kwa niambaya
HAPANA,tukikutana tena face to face tutapeana namba.

Thats,my Rule haina ya "what if" sitaki kbsa hilo swala
 
naamini siwezi kuwa kwenye matatizo na shida kwani thats not my purpose na inafanya kazi
 
Back
Top Bottom