Ruhazwe Jr anatafutwa


Dah! kumbe jamaa kalazwa! tumtake radhi waungwana.

Ruhazwe JR
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahah
nasikitika sana kwa kitendo cha Ruhazwe JR kukimbia na zawadi za wawakilishi hii inatupa picha watanzania hatutakiwi kuwasema ovyo mafisadi wala rushwa kwa kuwa ukitaka kujua tabia za wananchi waangalie viongozi wao na hili limedhihirika wazi kwa ndugu yetu kumbe yeye ni kafisadi kadogo kanakosubiri kapewe mamlaka ali aweze kukua.
Copy kwa Baba V
 
Last edited by a moderator:
kazi ipo na wazamini wote wale kweli mbongo mbongo tu hata akae wapi..
 
kitalolo Nipo ndani ya nyumba nasubiri tu pepo aanze kuwapigeni makofi ndipo niingize upako wangu
Aminia Bujibuji usisubirie wapigwe bana wasaidie mapema.
Rejea Matendo ya Mitume 19:13 unasema kuwa baaadhi ya Wayaudi wenye kutangatanga , nao ni wapunga pepo wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu juu yao waliopagawa na pepo wachafu, wakisema," Nawaapisha kwa Yesu, yule anayeubiriwa na Paulo.
Na anaendelea kusema katika mstari wa 14 Walikuwako wana sabawa mtu mmoja skewa, myahudi, kuhani mkuu , waliofanya hivyo
katika mstari wa 15 anamalizia kwa kusema yule pepo mchafu akawajibu , akawaambia " Yesu namjua na Paulo namfahamu , lakini wewe Bujibuji ni nani?"
 
Last edited by a moderator:
Hizi taarifa ni confirmed au ni mambo ya Chitchat....???

jamaa anaumwa. leo nmeongea naye, anaendelea vizuri kidogo japo bado amelala. amesema kama atapata nguvu leo anaweza kutoa updates. Hili linaweza thibitishwa na wadogo zake waliomo humu jf japo naona hamna hata mmoja aloingia leo.
So tuwe wavumilivu.
cc. charminglady, Madame B , Arabela, Nicas Mtei, Arushaone, Baba V, etc. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…